Rais Samia anataka mtu wa namna gani kwenye nafasi ya Uenezi wa CCM?

Pole pole yule ni mweupe kichwani anategemea dola tu ila hajui kujenga hoja za ushindani. Ni kama bashiru tu Kuna wakati watu hawakumjua kama.ni MC, mwenezi au karibu mkuu baad aya lisu kuwapelekesha.
Basi ccm huko Kuna vilaza tupu.
 
Makonda alikuwa anafaa Sana lakini kilichomtoa pale ni Magufuli. Kuna watu pale hawataki kabisa kusikia Neno Magufuli likitajwa. Sasa makonda ni Magufulist kila atakapoongea lazima ataje hilo jina.
 
Makonda alikuwa anafaa Sana lakini kilichomtoa pale ni Magufuli. Kuna watu pale hawataki kabisa kusikia Neno Magufuli likitajwa. Sasa makonda ni Magufulist kila atakapoongea lazima ataje hilo jina.
Hata mm sitaki kumsikia huyu muuaji jiwe.
 
Inawezekana lengo la hii panga pangua ni kututoa tu kwenye mjadala wa maustadhi kule visiwani.

Kama kakosa kabisa mtu,ajiteue yeye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…