Rais Samia anatengenezewa Ajali za kisiasa

olimpio

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
418
Reaction score
866
Kwanza nianze kwa kuwapa starter moja muhimu sana maana Watanzania tumeumbwa kukumbuka ya leo, ya jana tunayasahau kirahisi sana.

Mnakumbuka Rais Samia alitangaza kuifungua nchi na watu wote tukashangilia? Mnakumbuka alisema atakamilisha miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli na watu wote tukashangilia? Mnakumbuka aliwahi kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja na wote tukashangilia?

Rais Samia ametimiza yote hayo na anaelekea kuvuka matarajio ya wengi sana, wengi walidhani inawezekana akaishiwa pumzi mapema sana, ndio maana utaona ndani ya CCM kuna makundi mpaka sasa makubwa mawili yanayoamini Rais Samia hatafika 2025.

Dhana ya kundi la kwanza ni kuwa Rais Samia hatafanikiwa kuwaridhisha watanzania na kufikia approval rating zakumpa go ahead ya re-election, hivyo mgombea mmoja ameamini kwa kigezo hiki yeye akajiweka tayari kuwa mbadala.

Dhana ya kundi la pili ni kuwa hata akifanikiwa, kundi hili limejipanga kumwekea ajali za kisiasa ili ajikwae na kuanguka kisiasa, kundi hili lina nia ovu zaidi kwa kua linatumia hadi njia zisizoelezeka kwenye jukwaa hili maana ni njia haramu na za kijinai kumkwamisha Rais Samia na Mhe Rais analijua hilo.

Sasa baada ya utangulizi huo naomba niwaeleze jambo moja ambalo baada ya mihemko ya Bandari kuisha mtarudi hapa na kufanya thread hii kama marking scheme ya mambo mengi sana mnayoyaota.

Kuna ajali kubwa tano ambazo kundi la pili limeziandaa kwa Mheshimiwa Rais, na ajali mbili tayari zimeshakua executed systematically and very carefully

1. AJALI YA KISIASA KWA WAFANYABIASHARA
Kundi hili katili linalosaka urais 2025 na linaamini kwa 80% litaupata , liliandaa mgogoro wa wafanyabiashara wa soko la Kariakoo, na kuset up Rais achafuke kisiasa, lilifanikiwa vipi?

Watu hawa kwa kushirikiana na wafanyabiara waovu, walianza kudeclare mizigo inayopita bandarini kama kama vifaa visivyo na thamani , mfano mzigo wa Vigae unakua declared kama tissue paper, hivyo kulipiwa pesa kidogo bandarini, watu hawa wakawa wanatunza kwenye store mizigo hii na kulipa kodi kidogo za tissue paper kwa mzigo wa vigae.

Suprising, watu hawa wakajifanya wanamtonya Rais kuwa kuna uhujumu uchumi kwa wafanyabiashara, waambie TRA waanze kukagua Mizigo store utatuamini, Rais baada ya kuchunguza kweli akakuta ni valid case kuwa vigae vinapita kama tissue bandarini hivyo mizigo ikaguliwe store kukamata wahujumu hao.

Muda wote huo watu hawa walikua calculative sana, wakawaandaa wafanyabiashara upande wa pili kuwa serikali inaanza kuwa harass msikubali, script ikatick Rais wakampigisha ajali ambayo Waziri Mkuu aliokoa dakika za jioni sana.

2. MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO E-GA KUBINAFSISHWA
Genge hili la pili, likaratibu pia ajali nyingine ambayo 70% imeiva soon wataiweka barabarani, kupitia viongozi waandamizi wapatao sita toka TAMISEMI, wizara ya fedha na mipango , BOT, TRA na wengine wako wizara mbali mbali, wameunda mbinu ya kudhoofisha ufanisi wa mifumo iliyotengenezwa na E-GA wanashawishi makampuni binafsi na mengine toka nje yaje kuendesha mifumo ya TEHAMA serikalini, na E-GA ibaki kama mwangalizi tu yaani regulator.

Watu hawa wameshaanza kufanikiwa, wameleta wataalamu wa mifumo toka nje na kulazimisha kuandika report zinazoonesha mifumo sio salama na inaweza kuingiliwa na mataifa ya nje kirahisi, hivyo makampuni binafsi yapewe kandarasi hio.

Lengo lao Rais Samia aridhie ili public outcry isikie kua anaua vipaji vya ndani na kuwapa wageni, set up imekamilika wanasubiri muda walipue .

3. BANDARI ZETU
Kundi hili hatari limefanikiwa kugeuza mjadala wa ubadhilifu bandarini na kufanya watanzania waone ubinafsishaji ni uuzaji wa nchi.

Duration ama urefu wa mkataba haujulikani publically kwa sababu maalumu, lakini kwa 100% sio wa milele wala sio wa miaka 100. Ilikuaje kundi hili lika set up trap hii?

Bandarini kuna wizi unafanywa na hawa tunaowaita wazawa, wa mpaka 200milion kwa week kwa mtu mmoja kwa baadhi ya government senior officials, wengi wanakula njama hizi kwa kushirikiana na TRA.

Wanasiasa wengi wanapitisha mizigo yao bandarini bure kabisa yenye thamani ya billions of money.

Rais aliporidhia awekwe mwekezaji ambaye ataziba mianya hii tena kwa mkataba wa miaka isiyo zidi 20 kwa kipindi renewable kundi hili likaona fursa, lika spinn na kuvujisha sehemu ya makubaliano na kuyaita uuzaji wa nchi, jambo amabalo sio la kweli, wanatia pressure ili Rais aachana na ubinafsishaji wa bandari waendelee kunyonya rasilimali kwa jina la uzawa.

Watanzania mngejua wachache wananyokula bandari mneandamana, Rais ameamua aweke watu serious, kundi lime spin taarifa na kulipa pesa nyingi sana wapinzani na baadhi ya vyombo vya habari kutia moto jambo hili.

4. BWAWA LA NYERERE
Bwawa hili limebeba hatima ya Rais samia re-election, kundi ovu limejipanga kuharibu kingo za bwawa hilo kabla ya vikao uchaguzi wa serikal za mitaa mwakani ili CCM ikose uungwaji mkono na kuonesha kua Rais hatoshi.

Mipango ya kuharibu bwawa la mwalimu nyerere ilmeandaliwa kifundi kabisa na sababu zitakazotolewa hazitakua kuharibiwa bali ikolojia ya eneo kushindwa kustahimili nguvu za bwawa ili kumuepusha mkandarasi na lawama maana wanajua anaweza kushtaki kuhujuliwa.

Wameshamlazimisha kuandika maelezo yanayoonyesha eneo hilo lina miamba dhaifu aridhini hivyo life span yake haiwez kuwa kubwa, kupasuka kwa bwawa kutazika matumaini ya umeme nafuu na kuzika kabisa matumaini ya Rais Samia kuchaguliwa tena.

Wameshaandaa mtu wao ambaye atakuja kama masiah ambaye katika ajali hizi wanamweka mbali systematically asiwe sehemu ya uovu wowote

5. AJALI YA 5 NI CONFIDENTIAL
Hii naomba kwa sababu za kiusalama wa nchi nisiiandike, lakini people are very serious, they are ready to to the unthinkable.

My Take: Idara yetu pendwa ya Makumbusho najua mvutano unaoendelea, am sad kwa sababu tumeanza kuchagua pande za wagombea .

Wazo la kutaka kumrudisha Kipilimba mngeliacha kwanza, aliyepo anatosha na anaye attempt ya kubadili DGIS ita spark unprecedented issues.

Rais Samia is so innocent, aachwe aongoze nchi

Samia.jpg
 
Mkuu hoja namba 4 imeshakutoa mstarini kwa sababu mkenge unaotuingiza katu hatunasi.

Sponsor anahusika na haya madhila maana tulishasoma move zote na dalili zilishaonesha atafika huku.

Tulishamshauri kwa upendo na mahaba makubwa kuhusu genge lililomzunguka na malengo yao lakini kama kawa kama dawa mkubwa hashauriki yeye anaamini all things are God's given.

Binafsi siwezi kuilaumu Makirikiri kwa sababu siyo kwamba hawasemi bali hawana la kufanya zaidi ya kuripoti. Nimeuogopa Muswada wao wa majuzi hapa kwa sababu theory ya mbwa kala mbwa ishakuwa nevitable kimtindo, tunaojaribu kushauri kwa wema tunaonekana wapuuzi.

Haya uliyosema ili kuepusha lawama za moja kwa moja ni mkakati maalumu wa kujaribu kuokoa jahazi ambalo tayari limezama na shehena.

Majaliwa ni msemo unaosafikisha lakini akili mu kichwa.
 
Acha umbea na uchawa, nyinyi ndio wafitini na vimbaombao kama mwiko wa ubao! Hakuna atakaekuja kulilia andiko lako na litapita Kama mengine yalivyopita Tena patupu!.
 
Sasa kama wizi bandarini unajulikana dawa siyo kuuza bandari, dawa ni kuwafikisha wezi katika mkono wa sheria. Kama hafanyi hivyo basi anajitakia mwenyewe ajali ya kisiasa.

Kuhusu muda wa ukomo wa mkataba. Haumo katika mkataba, labda mleta mada utueleze kama kuna mikataba miwili tofauti. Huwezi kufanya makubaliano kwa kauli tu bila maandishi.

Kiufupi ni kwamba Samia anajilet down yeye mwenyewe kwa kuingia mikataba ya Kimangungo. Ajilaumu yeye mwenyewe, asitafute mchawi!
 
Kwenye siasa kuna vitu vingi nyuma ya pazia ambavyo wengi hawajui ,watu wanakesha kupanga mipango na njama mbalimbali..
Kama ilivyokuwa kwa Dkt Magufuli, bahati mbaya sana Rais Dkt Samia alikuwa sehemu ya hilo kundi lenye nia ovu kupitia kutoa siri nyeti kwa Mange na Kigogo14 (inavyosadikika), na ndiyo maana baada ya kufariki Dkt Magufuli hilo kundi lake lilionesha furaha kuu (rejea pia Zitto alivyofurahia lile tukio la Mtwara Dkt Magufuli alipokoswa koswa kufa). Nadhani karma is real! Yetu masikio na macho. Kosa kubwa la Dkt Samia ni kujisahau na kuaza kubeza na kuonesha furaha ya kifo cha bosi wake kiasi kwamba watanzania walishamchukulia alihusika na kifo cha mtangulizi wake. Mungu amsaidie hakika amuepushe na hila maana hatutaki nchi iingie tena migogoro. Kikubwa watanzania tumuombee Rais Dkt Samia ili Mungu ampe hekima ya kutawala na awe mwenye afya njema. Naamini Dkt Samia ana nia njema sana kuhusu Tanzania, tumpe nafasi!
 
Kwanza nianze kwa kuwapa starter moja muhimu sana maana Watanzania tumeumbwa kukumbuka ya leo, ya jana tunayasahau kirahisi sana.

Mnakumbuka Rais Samia alitangaza kuifungua nchi na watu wote tukashangilia? Mnakumbuka alisema atakamilisha miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli na watu wote tukashangilia? Mnakumbuka aliwahi kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja na wote tukashangilia?

Rais Samia ametimiza yote hayo na anaelekea kuvuka matarajio ya wengi sana, wengi walidhani inawezekana akaishiwa pumzi mapema sana, ndio maana utaona ndani ya CCM kuna makundi mpaka sasa makubwa mawili yanayoamini Rais Samia hatafika 2025.

Dhana ya kundi la kwanza ni kuwa Rais Samia hatafanikiwa kuwaridhisha watanzania na kufikia approval rating zakumpa go ahead ya re-election, hivyo mgombea mmoja ameamini kwa kigezo hiki yeye akajiweka tayari kuwa mbadala.

Dhana ya kundi la pili ni kuwa hata akifanikiwa, kundi hili limejipanga kumwekea ajali za kisiasa ili ajikwae na kuanguka kisiasa, kundi hili lina nia ovu zaidi kwa kua linatumia hadi njia zisizoelezeka kwenye jukwaa hili maana ni njia haramu na za kijinai kumkwamisha Rais Samia na Mhe Rais analijua hilo.

Sasa baada ya utangulizi huo naomba niwaeleze jambo moja ambalo baada ya mihemko ya Bandari kuisha mtarudi hapa na kufanya thread hii kama marking scheme ya mambo mengi sana mnayoyaota.

Kuna ajali kubwa tano ambazo kundi la pili limeziandaa kwa Mheshimiwa Rais, na ajali mbili tayari zimeshakua executed systematically and very carefully

1. AJALI YA KISIASA KWA WAFANYABIASHARA
Kundi hili katili linalosaka urais 2025 na linaamini kwa 80% litaupata , liliandaa mgogoro wa wafanyabiashara wa soko la Kariakoo, na kuset up Rais achafuke kisiasa, lilifanikiwa vipi?

Watu hawa kwa kushirikiana na wafanyabiara waovu, walianza kudeclare mizigo inayopita bandarini kama kama vifaa visivyo na thamani , mfano mzigo wa Vigae unakua declared kama tissue paper, hivyo kulipiwa pesa kidogo bandarini, watu hawa wakawa wanatunza kwenye store mizigo hii na kulipa kodi kidogo za tissue paper kwa mzigo wa vigae.

Suprising, watu hawa wakajifanya wanamtonya Rais kuwa kuna uhujumu uchumi kwa wafanyabiashara, waambie TRA waanze kukagua Mizigo store utatuamini, Rais baada ya kuchunguza kweli akakuta ni valid case kuwa vigae vinapita kama tissue bandarini hivyo mizigo ikaguliwe store kukamata wahujumu hao.

Muda wote huo watu hawa walikua calculative sana, wakawaandaa wafanyabiashara upande wa pili kuwa serikali inaanza kuwa harass msikubali, script ikatick Rais wakampigisha ajali ambayo Waziri Mkuu aliokoa dakika za jioni sana.

2. MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO E-GA KUBINAFSISHWA
Genge hili la pili, likaratibu pia ajali nyingine ambayo 70% imeiva soon wataiweka barabarani, kupitia viongozi waandamizi wapatao sita toka TAMISEMI, wizara ya fedha na mipango , BOT, TRA na wengine wako wizara mbali mbali, wameunda mbinu ya kudhoofisha ufanisi wa mifumo iliyotengenezwa na E-GA wanashawishi makampuni binafsi na mengine toka nje yaje kuendesha mifumo ya TEHAMA serikalini, na E-GA ibaki kama mwangalizi tu yaani regulator.

Watu hawa wameshaanza kufanikiwa, wameleta wataalamu wa mifumo toka nje na kulazimisha kuandika report zinazoonesha mifumo sio salama na inaweza kuingiliwa na mataifa ya nje kirahisi, hivyo makampuni binafsi yapewe kandarasi hio.

Lengo lao Rais Samia aridhie ili public outcry isikie kua anaua vipaji vya ndani na kuwapa wageni, set up imekamilika wanasubiri muda walipue .

3. BANDARI ZETU
Kundi hili hatari limefanikiwa kugeuza mjadala wa ubadhilifu bandarini na kufanya watanzania waone ubinafsishaji ni uuzaji wa nchi.

Duration ama urefu wa mkataba haujulikani publically kwa sababu maalumu, lakini kwa 100% sio wa milele wala sio wa miaka 100. Ilikuaje kundi hili lika set up trap hii?

Bandarini kuna wizi unafanywa na hawa tunaowaita wazawa, wa mpaka 200milion kwa week kwa mtu mmoja kwa baadhi ya government senior officials, wengi wanakula njama hizi kwa kushirikiana na TRA.

Wanasiasa wengi wanapitisha mizigo yao bandarini bure kabisa yenye thamani ya billions of money.

Rais aliporidhia awekwe mwekezaji ambaye ataziba mianya hii tena kwa mkataba wa miaka isiyo zidi 20 kwa kipindi renewable kundi hili likaona fursa, lika spinn na kuvujisha sehemu ya makubaliano na kuyaita uuzaji wa nchi, jambo amabalo sio la kweli, wanatia pressure ili Rais aachana na ubinafsishaji wa bandari waendelee kunyonya rasilimali kwa jina la uzawa.

Watanzania mngejua wachache wananyokula bandari mneandamana, Rais ameamua aweke watu serious, kundi lime spin taarifa na kulipa pesa nyingi sana wapinzani na baadhi ya vyombo vya habari kutia moto jambo hili.

4. BWAWA LA NYERERE
Bwawa hili limebeba hatima ya Rais samia re-election, kundi ovu limejipanga kuharibu kingo za bwawa hilo kabla ya vikao uchaguzi wa serikal za mitaa mwakani ili CCM ikose uungwaji mkono na kuonesha kua Rais hatoshi.

Mipango ya kuharibu bwawa la mwalimu nyerere ilmeandaliwa kifundi kabisa na sababu zitakazotolewa hazitakua kuharibiwa bali ikolojia ya eneo kushindwa kustahimili nguvu za bwawa ili kumuepusha mkandarasi na lawama maana wanajua anaweza kushtaki kuhujuliwa.

Wameshamlazimisha kuandika maelezo yanayoonyesha eneo hilo lina miamba dhaifu aridhini hivyo life span yake haiwez kuwa kubwa, kupasuka kwa bwawa kutazika matumaini ya umeme nafuu na kuzika kabisa matumaini ya Rais Samia kuchaguliwa tena.

Wameshaandaa mtu wao ambaye atakuja kama masiah ambaye katika ajali hizi wanamweka mbali systematically asiwe sehemu ya uovu wowote

5. AJALI YA 5 NI CONFIDENTIAL
Hii naomba kwa sababu za kiusalama wa nchi nisiiandike, lakini people are very serious, they are ready to to the unthinkable.

My Take: Idara yetu pendwa ya Makumbusho najua mvutano unaoendelea, am sad kwa sababu tumeanza kuchagua pande za wagombea .

Wazo la kutaka kumrudisha Kipilimba mngeliacha kwanza, aliyepo anatosha na anaye attempt ya kubadili DGIS ita spark unprecedented issues.

Rais Samia is so innocent, aachwe aongoze nchi

View attachment 2650494
Ajali nyingine anajitafutia mwenyewe mtu anstoka hapa anapanda ndege kwenda kusaini mkataba wa kijinge ,usioleleweka
 
Back
Top Bottom