Rais Samia anatengenezewa Ajali za kisiasa

Rais Samia anatengenezewa Ajali za kisiasa

Mungu amsaidie Mama yetu.
Sasa sijui hilo la bandari, TEC nao kuukataa huo mkataba wa DPW wana mkono katika kumwangusha Mama?
Kiukweli ukisikia ufisadi wa bandari unaogopa!
Bandarini kuna watu kwa week hua wanakunja Milion mia mbili (200M),ujio wa DP world unakata mirija ya watu ,acha watu waranduke
 
Wamechoma tena soko jipya la kariakoo
hii yote Rais aonekane hatoshi ,yaani wanafanya kila hila kumvuruga Rais ,
 
Back
Top Bottom