Rais Samia anatengenezewa Ajali za kisiasa

Hili la mkataba wa Waarabu na bandari ni self distruction bwana/bibi. Kwa nini hii kampuni iwe na makandokando yote hayo ambayo yamewapa nafasi wanao mhujumu mheshiwa Rais kuyatumia. Kuna milolongo ya kesi za hii kampuni huko duniani kote. Hizi kesi zimesababishwa na hao wanaomtengenezea Mh Rais ajali??? Labda. Kwa nini itafutwe kampuni itakayo wapa wanao mhujumu Mh Rais kusema ni kampuni ya wajomba Uarabuni? Kwa nini ubia uwe ni wa bandari za Tanganyika tu. Kwa hiyo haya yote yanafanywa na wanao mtafutia Mh Rais ajali?? Labda! Ila hila na fitina hazijawahi muacha yeyote salama muda wake inakuwa ni kwa kitambo tu. Halafu mwisho wake.
 
Hata mtengeneze sympathy ya aina gani, kwa hili la bandari hakuna mtanganyika atawakubalia...This is a scam a terrible one!
 
Kweli hata ishu ya Corona zile week karibia na kifo cha Magu ilikuwa inapigiwa promo humu akifa mtu kidogo nyuzi za Tanzia kibao na vitisho ila baada ya kufariki Magu zikapotea ghafla.

Kama sasa swala la bandari nyuzi kibao humu na mijadala mitandaoni kutia presha mpaka jambo limewaka moto mkali.

Kwenye uzi wa Yoga na The bold vipepeo weusi unatoa picha ya michezo ya kisiasa hapa bongo na yanayofanyika nyuma pazia full kugeukana ,njama na makundi.
 
Watu wa hovyo sana, huko mnakoelekea mtabinafsisha kila kitu, mkitoka hapo mtabinafsisha mlima Kilimanjaro, Viwanja vya ndege, Bunga za wanyama, beach zote nk nk.
 
Halafu kibaya mijitu yote inakuja kufa huku imeacha umasikini na hizo hela zinaozea tu nje ya nchi. Fikiria Dkt Magufuli angekuwepo, dah nchi ingekuwa mbali
 
Tatizo LA nchi hii viongozi wananidhamu ya uoga chukulia kipindi cha korona hapa ndio utapata picha kamili ya what kind of the leaders we have hii issue ya bandari IPO wazi kabisa kwamba we are going to loose lakini utakuta kiongozi anasimama kabisa na kutetea ili kumfurahisha mtoa teuzi Alafu MTU huyo huyo Leo na kesho Samia hayupo atasimama na kulaani kile kilicho fanywa nyuma,viongozi wetu tuache unafiki stand for rights even if it Will cost you.
 
I see! Mbona kama ni za ndani sana?
 
Sasa si anawang'ang'ania mwenyewe sisi tufanyeje sasa! Tulishamwambia Makamba,Mwigulu hawakufai wanakuharibia na wana malengo yao binafsi anashupaza shingi anawakumbatia..

Kwa mtu mwenye akili ni rahisi sana kutambua huyu raisi Samia ana malengo mazuri na hii nchi tatizo hao vikaragosi aliowaamini ndio tatizo!
 
Ma@poisonous aka masumu kweli wewe masumu, hivi dawa ya wizi unaofanyika bandarini ni kuwakabidhi waarabu kwamba hauna mahakama, hauwezi kujenga mfumo imara, hauna PCCB, kwamba hao waarabu ndo hawatoiba, na mikesi yote huko duniani walikovurunda hao waarabu wa dp, au we ni mZanzibar maana huwez kosa uchungu kwa jambo nyeti kama hili
 
Makilikil nahitaji matair ya pale jirani makilikili na pajero utaratibu wake wa minada ukoje



Anyway mama amekosea pakubwa
 
Kwahiyo kwa mamlaka aliyonayo Rais toka kwa hii katiba anashindwa kudili nao akodingle?,au anaogopa kufa kwa sababu hatakufa milele?

Nitakuwa wa mwisho kuamini maelezo yako
 
Ajali nyingine anajitafutia mwenyewe mtu anstoka hapa anapanda ndege kwenda kusaini mkataba wa kijinge ,usioleleweka
Aliingizwa chaka na Mastermind Rostam Aziz,CIA agent hapa East and Central Africa,hutaki acha,
Watu aina hii hupewa mitaji mikubwa na kujifanya wafanyabiashara kumbe ni double agent,na hushiriki kusimika na eliminate tawala kwa namna wazungu itakavyowapendeza kuhusu kuzingatiwa kwa maslahi yao,hasa unyonyaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…