A Ame JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 6,468 Reaction score 5,626 Sep 11, 2023 #101 Earthmover said: EU na nyundo KUBWA Click to expand... Tangu EU wameongea nimegundua mama ni mzalendo sana...Nilikuwa namlaumu sasa nimefuta lawama zangu, TEC waache ujinga!
Earthmover said: EU na nyundo KUBWA Click to expand... Tangu EU wameongea nimegundua mama ni mzalendo sana...Nilikuwa namlaumu sasa nimefuta lawama zangu, TEC waache ujinga!
olimpio JF-Expert Member Joined Apr 5, 2023 Posts 418 Reaction score 866 Sep 11, 2023 Thread starter #102 sysafiri said: Mungu amsaidie Mama yetu. Sasa sijui hilo la bandari, TEC nao kuukataa huo mkataba wa DPW wana mkono katika kumwangusha Mama? Kiukweli ukisikia ufisadi wa bandari unaogopa! Click to expand... Bandarini kuna watu kwa week hua wanakunja Milion mia mbili (200M),ujio wa DP world unakata mirija ya watu ,acha watu waranduke
sysafiri said: Mungu amsaidie Mama yetu. Sasa sijui hilo la bandari, TEC nao kuukataa huo mkataba wa DPW wana mkono katika kumwangusha Mama? Kiukweli ukisikia ufisadi wa bandari unaogopa! Click to expand... Bandarini kuna watu kwa week hua wanakunja Milion mia mbili (200M),ujio wa DP world unakata mirija ya watu ,acha watu waranduke
olimpio JF-Expert Member Joined Apr 5, 2023 Posts 418 Reaction score 866 Oct 1, 2023 Thread starter #103 Wamechoma tena soko jipya la kariakoo hii yote Rais aonekane hatoshi ,yaani wanafanya kila hila kumvuruga Rais ,
Wamechoma tena soko jipya la kariakoo hii yote Rais aonekane hatoshi ,yaani wanafanya kila hila kumvuruga Rais ,