Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Kwa wasiouelewa huu mfuno. Contrarian approach ni idea kwenye mambo ya uwekezaji ambapo mtu unakuwa unafanya maamuzi ambayo kinyume kabisa na matarajio ya watu.
Kwenye uwekezaji, mfano kama bei ya nyumba inapanda kqa kasi, contrarian investor hawezi kuwekeza kwenye nyumba bali atawekeza kwenye shughuli ambazo zinahusiana na ujenzi wa nyumba kama viwanda vya cement, mabati, rangi n.k kwa maana ya kwamba watu wakizidi kuzijenga hizo nyumba lazima watanunua cement, mabati, rangi n.k na hapo ndipo contrarian investor anavotengeneza pesa.
Kwa upande wa Samia nimenotice pia kwamba labda ame adopt huu mfumo especially kwenye hizi teuzi za top officials. Mkuu wa JWTZ na IGP.
Watu walibashiri sana baadhi ya majina kuchukua hizo nafasi lakini imekuwa vice versa maradufu na ni kama ni teuzi ambazo sio maarufu kwenye medani za kiuongozi wa hii nchi.
Ambacho naamini ni kwamba wateuliwa wote lazima wata deliver zaidi ya maradufu na ukiangalia vizur ambacho anaitaji Rais kwa hawa watendaji wa juu ni unquestionable loyalty. Na hii nadhani atakuwa ame achieve pakubwa sana ukizingatia kwamba viongozi wote wakubwa wa JWTZ na huyu IGP wamepatikana kwa kupandishwa vyeo maradufu.
Inaweza isisaidie sana utendaji kazi wa hivi vyombo, ila itamsaidia sana Rais ku win loyality ya hawa makamanda wa vikosi vya ulinzi kitu ambacho obviously ilikuwa ngumu ku achieve alipokuwepo Mabeyo na Sirro.
Ndo maana siku zote huwa naamini, contrarian approach ni mfumo mzuri pia kwenye siasa. Nadhani raia kulalamika hiyo ni kawaida pale huu mfumo unapotumika kwa sababu, ni kasumba ya binadamu kutokupenda mabadaliko ambayo wao hawakuyatazamia.
All in all, i think Samia anazicheza karata zake vizuri.