Rais Samia anatumia 'Contrarian approach' kwenye teuzi. Ni mfumo mzuri pia wa kupata matokeo

Rais Samia anatumia 'Contrarian approach' kwenye teuzi. Ni mfumo mzuri pia wa kupata matokeo

Kwa wasiouelewa huu mfuno. Contrarian approach ni idea kwenye mambo ya uwekezaji ambapo mtu unakuwa unafanya maamuzi ambayo kinyume kabisa na matarajio ya watu.

Kwenye uwekezaji, mfano kama bei ya nyumba inapanda kqa kasi, contrarian investor hawezi kuwekeza kwenye nyumba bali atawekeza kwenye shughuli ambazo zinahusiana na ujenzi wa nyumba kama viwanda vya cement, mabati, rangi n.k kwa maana ya kwamba watu wakizidi kuzijenga hizo nyumba lazima watanunua cement, mabati, rangi n.k na hapo ndipo contrarian investor anavotengeneza pesa.

Kwa upande wa Samia nimenotice pia kwamba labda ame adopt huu mfumo especially kwenye hizi teuzi za top officials. Mkuu wa JWTZ na IGP.

Watu walibashiri sana baadhi ya majina kuchukua hizo nafasi lakini imekuwa vice versa maradufu na ni kama ni teuzi ambazo sio maarufu kwenye medani za kiuongozi wa hii nchi.

Ambacho naamini ni kwamba wateuliwa wote lazima wata deliver zaidi ya maradufu na ukiangalia vizur ambacho anaitaji Rais kwa hawa watendaji wa juu ni unquestionable loyalty. Na hii nadhani atakuwa ame achieve pakubwa sana ukizingatia kwamba viongozi wote wakubwa wa JWTZ na huyu IGP wamepatikana kwa kupandishwa vyeo maradufu.

Inaweza isisaidie sana utendaji kazi wa hivi vyombo, ila itamsaidia sana Rais ku win loyality ya hawa makamanda wa vikosi vya ulinzi kitu ambacho obviously ilikuwa ngumu ku achieve alipokuwepo Mabeyo na Sirro.

Ndo maana siku zote huwa naamini, contrarian approach ni mfumo mzuri pia kwenye siasa. Nadhani raia kulalamika hiyo ni kawaida pale huu mfumo unapotumika kwa sababu, ni kasumba ya binadamu kutokupenda mabadaliko ambayo wao hawakuyatazamia.

All in all, i think Samia anazicheza karata zake vizuri.
Anacheza karata zake vizuri kwa gharama kubwa ya wananchi na taasisi husika. Wanao tumbuliwa na kupangwa kazi nje ya nchi hawa endi na familia zao. Simu kila dakika nyumbani na safari zisizo isha kurudi nchini kwa gharama ya serikali. Walio pandishwa vyeo ili kupata wadhifa wa juu hawana uzoefu wa mkutwa wa kiutawala na mbinu za medani. Walio rukwa huumia na kuwa aliniated, matokeo utendaji wao hupungua kwa kujua wanaongozwa kiuhalisia na junior official. Anacho faidi ni forced royalty. Mwiguru alisema wanao tumbuliwa na kupangiwa nafasi za chini watapata mishahara ya nafasi mpya, tusubiri.
 
Mada yako ni nzuri lakini kumbuka sio rahisi kwa mkuu wa nchi kuteua wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa matakwa yake .Hii ni kwa Nchi zote zenye mifumo imara ya ulinzi na usalama ikiwemo Tanzania.Hawa watu Huwa wanaandaliwa kwenye mifumo yao ya kazi ili badae wawe wakuu wa hizo taaasisi .Yeye anambiwa tu mpe huyu nafasi ya ukuu flani .Hata ukichunguza mkuu wa majeshi alivoteuliwa ni ishu planed na sio matakwa ya Rais.Wameandaliwa kabisa ni kama pia ishu ya mtu kuwa Rais huwa wanaandaliwa na taasisi nyeti za nchi husika na Kila Rais huwekwa kwa kazi maalumu.
Utetezi usio na ushahidi. Hakuna maandalizi ya viongozi ktk nchi zenye mifumo ya utawala isio eleweka. Licha ya maandalizi hakuna hata vetting.
 
Sidhani. Kama Tume huru ya Uchaguzi itapatikana hapa Tanzania, Rais atafute royalty ya wananchi na asifanye majaribio kwenye teuzi. Labda upinzani ufanye mzaha tena katika kuteua Rais mtaraijwa wao na katika ushindani kwenye kinyang'anyiro cha Wabunge. Maoni yangu hayaegemei upande wo wote wa Chama. Naangalia Tanzania ijayo tu.

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
Upinzani unafanyiwa mizengwe na sheria zilizopo bado ni za mfumo wa chama kimoja. Tuna vyama vingi kinadharia. Chaguzi za Tanzania viongozi hawa chaguliwi na wananchi, huteuliwa na CCM chini ya usimamizi wa dola. Tuna chaguzi kivuli kuwalaghai wafadhili kupata mikopo na misaada.
 
Tumehuru itapatikana kwa utashi wa kisiasa wa Rais Samia.
Hana uwezo na utashi huo. Maneno uyasikiayo ni ya kwenye majukwaa, hata Kikwete aliya hubiri sana, mwisho kwenye ufunguzi wa bunge la katiba akageuka jiwe.
 
Issue hapa ni very simple, na sidhani kama inauhusiano wowote na hiyo approach yako.

The fact is, hao wateuliwa huendana na tabia na matendo ya bosi wao, bila kujali sura zao.

Kwa mfano, kwa uteuzi huu wa Kingai, sasa tutegemee kumuona "Kingai wa Samia" wala sio yule "Kingai wa Magufuli"

Hapa usiingize suala la ku deliver au vyovyote vile, muhimu utambue; mwisho wa siku hata huyu "Kingai wa Samia" akitumwa kufanya "kazi chafu" kwa maslahi ya CCM atafanya.
Umemaliza ubishi
 
I always talk about the Constitution and its importance to us as a military in that we - of all the countries in the world, I think that we are the only one - or at least one of the very few - that swears an oath of allegiance to an idea that's embedded in a document called the U.S. Constitution.

We don't swear an oath of allegiance to an individual, a king, a queen, a president or anything else.

We don't swear an oath of allegiance to a country, for that matter. We don't swear an oath of allegiance to a flag, a tribe or religion or any of that. We swear an oath to an idea or a set of ideas and values that are embedded in our Constitution. And we, the U.S. military, are willing to die for - to preserve those ideas and values. And we're willing to die in order to preserve them and pass them onto the next generation.
..................
USA chairman of the Joint Chiefs of Staff,
Gen Mark Milley.
Duniani kote.. kinachoanza ni kutii mamlaka.. Na kiukweli, mtumishi mzuri wa vyombo vya usalama ni yule anayeweza kutii mamlaka ya uteuzi.

Hiyo ndo sifa ambayo inapaswa kupewa kipaumbele. Issue ya kwamba anachokitenda kiwe kinafuata sheria nadhani inatakiwa iamuliwe na mamlaka ya uteuzi.

Mi naweza kukuambia hawa mnasema ni wabovu kiutendaji akina Kingai, Sirro, na wote ambao wameitwa wabovu kwenye vyombo vya ulinzi. Binafsi hawana buo ubovu, ubovu na ubaya wa hawa watu umechangiwa pakubwa na mamlaka za uteuzi na mifumo ya utendaji kazi.
 
Kwa wasiouelewa huu mfuno. Contrarian approach ni idea kwenye mambo ya uwekezaji ambapo mtu unakuwa unafanya maamuzi ambayo kinyume kabisa na matarajio ya watu.

Kwenye uwekezaji, mfano kama bei ya nyumba inapanda kqa kasi, contrarian investor hawezi kuwekeza kwenye nyumba bali atawekeza kwenye shughuli ambazo zinahusiana na ujenzi wa nyumba kama viwanda vya cement, mabati, rangi n.k kwa maana ya kwamba watu wakizidi kuzijenga hizo nyumba lazima watanunua cement, mabati, rangi n.k na hapo ndipo contrarian investor anavotengeneza pesa.

Kwa upande wa Samia nimenotice pia kwamba labda ame adopt huu mfumo especially kwenye hizi teuzi za top officials. Mkuu wa JWTZ na IGP.

Watu walibashiri sana baadhi ya majina kuchukua hizo nafasi lakini imekuwa vice versa maradufu na ni kama ni teuzi ambazo sio maarufu kwenye medani za kiuongozi wa hii nchi.

Ambacho naamini ni kwamba wateuliwa wote lazima wata deliver zaidi ya maradufu na ukiangalia vizur ambacho anaitaji Rais kwa hawa watendaji wa juu ni unquestionable loyalty. Na hii nadhani atakuwa ame achieve pakubwa sana ukizingatia kwamba viongozi wote wakubwa wa JWTZ na huyu IGP wamepatikana kwa kupandishwa vyeo maradufu.

Inaweza isisaidie sana utendaji kazi wa hivi vyombo, ila itamsaidia sana Rais ku win loyality ya hawa makamanda wa vikosi vya ulinzi kitu ambacho obviously ilikuwa ngumu ku achieve alipokuwepo Mabeyo na Sirro.

Ndo maana siku zote huwa naamini, contrarian approach ni mfumo mzuri pia kwenye siasa. Nadhani raia kulalamika hiyo ni kawaida pale huu mfumo unapotumika kwa sababu, ni kasumba ya binadamu kutokupenda mabadaliko ambayo wao hawakuyatazamia.

All in all, i think Samia anazicheza karata zake vizuri.
Mkuu lakini tunaweza kupata angalizo muhimu kupitia "Kanuni ya Petro" ambayo kwa kimombo inabeba ujumbe ufuatao;

"The Peter Principle is a concept in management developed by Laurence J. Peter, which observes that people in a hierarchy tend to rise to "a level of respective incompetence":
Employees are promoted based on their success in previous jobs until they reach a level at which they are no longer competent, as skills in one job do not necessarily translate to another"

Kwa mantiki iliyopo nyuma ya dhana iliyopo ndani ya kanuni hii ni kwamba, mtu anaweza kupandishwa cheo lakini akafika kiwango ambacho hawezi tena kuonyesha umahiri wowote ule tena katika nafasi ambayo amepewa.
 
Una-complicate mambo bila sababu yoyote kwa kutoa maelezo marefu. Marais wa Afrika huchagua watu wanaoweza kuwa-manipulate watakavyo kwa interest zao (siyo za nchi).
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
 
Mkuu lakini tunaweza kupata angalizo muhimu kupitia "Kanuni ya Petro" ambayo kwa kimombo inabeba ujumbe ufuatao;

"The Peter Principle is a concept in management developed by Laurence J. Peter, which observes that people in a hierarchy tend to rise to "a level of respective incompetence":
Employees are promoted based on their success in previous jobs until they reach a level at which they are no longer competent, as skills in one job do not necessarily translate to another"

Kwa mantiki iliyopo nyuma ya dhana iliyopo ndani ya kanuni hii ni kwamba, mtu anaweza kupandishwa cheo lakini akafika kiwango ambacho hawezi tena kuonyesha umahiri wowote ule tena katika nafasi ambayo amepewa.
Asante mkuu sikuwa naifahamu hii principle. Bila shaka ipo kwenye mambo ya management
 
Back
Top Bottom