Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ukisikia kuchanganyikiwa, ndio huku.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile .
Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi gani lakini kama viongozi hawana Utashi wa Kuifuata na kuiheshimu Katiba husika hakuna ambacho kitabadilika ama kuwa cha tofauti. Utashi wa Rais na dhamira yake njema kwa Taifa ndio vinaweza Kuonekana na kuonyesha katiba Ni nzuri ama Mbaya.
Hulka Ya Mtu na kiongozi ndio itatoa muelekeo wa Nchi na Masuala Mbalimbali na siyo Makaratasi ama kijitabu kinachoitwa Katiba . Makaratasi hataweza kumzuia mtu akitaka kuwa Dikteta ama kukanyaga na kusigina kila kitu kilicho Mbele yake.
Dhamira njema aliyonayo Rais wetu ndani ya kifua chake kwa Taifa letu na upendo Mkubwa alionao kwa Watanzania anaweza kuongoza Taifa hili hata bila uwepo wa katiba ama sheria ya aina yoyote ile. Kwa sababu ni kiongozi aliye na dhamira njema kwa Taifa na watanzania.
Kama kiongozi hana Uchungu na Taifa ama maisha ya watu hata ungekuwa na katiba nzuri ya aina gani hakuna kitakacho fanyika . Lakini Rais wetu Mpendwa ameonyesha namna alivyo na dhamira njema ,uwezo wa kiuongozi na kutumia mamlaka yake vizuri kwa ustawi wa watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake. Alifanya hivyo wakati wa Bunge la katiba akiwa kama Makamu Mwenyekiti na ameendelea kuonyesha uwezo wake na nyota yake ya Uongozi
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili View attachment 3645364
Mental health is realNdugu zangu Watanzania,

We mshamba,Ndugu zangu Watanzania,

umevimbiwa na makande wewe siyo bureNdugu zangu Watanzania,

Huyo ni bora kumekucha tu hana ajuwaloWe mshamba,
Umajua maana ya katiba?
Au mahaba yamekuzid umepoteza consciousness?
Kipi ambacho hakifuatwi kwenye Katiba yetu..hata sasa hivi Ssh hafuati Katiba.
Uwe na adabu wewe. Kwa hiyo unabisha kuwa katiba siyo Makaratasi?Hivi unajua huyo bibi yako mwenyewe aliapa kwa kutumia hiyo katiba unayoita makaratasi? Jitambue basi!
Na wewe unabisha kuwa huyo kwenye picha siyo bibi yako ?Uwe na adabu wewe. Kwa hiyo unabisha kuwa katiba siyo Makaratasi?
Mkiambiwa ukweli mnaanza kuweweseka. Kenya wana katiba Mpya lakini vijana wake kila siku wanalia njaa tu mpaka wanatamani chakula kilichoachwa na wabunge waoWe mshamba,
Umajua maana ya katiba?
Au mahaba yamekuzid umepoteza consciousness?
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile .
Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi gani lakini kama viongozi hawana Utashi wa Kuifuata na kuiheshimu Katiba husika hakuna ambacho kitabadilika ama kuwa cha tofauti. Utashi wa Rais na dhamira yake njema kwa Taifa ndio vinaweza Kuonekana na kuonyesha katiba Ni nzuri ama Mbaya.
Hulka Ya Mtu na kiongozi ndio itatoa muelekeo wa Nchi na Masuala Mbalimbali na siyo Makaratasi ama kijitabu kinachoitwa Katiba . Makaratasi hataweza kumzuia mtu akitaka kuwa Dikteta ama kukanyaga na kusigina kila kitu kilicho Mbele yake.
Dhamira njema aliyonayo Rais wetu ndani ya kifua chake kwa Taifa letu na upendo Mkubwa alionao kwa Watanzania anaweza kuongoza Taifa hili hata bila uwepo wa katiba ama sheria ya aina yoyote ile. Kwa sababu ni kiongozi aliye na dhamira njema kwa Taifa na watanzania.
Kama kiongozi hana Uchungu na Taifa ama maisha ya watu hata ungekuwa na katiba nzuri ya aina gani hakuna kitakacho fanyika . Lakini Rais wetu Mpendwa ameonyesha namna alivyo na dhamira njema ,uwezo wa kiuongozi na kutumia mamlaka yake vizuri kwa ustawi wa watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake. Alifanya hivyo wakati wa Bunge la katiba akiwa kama Makamu Mwenyekiti na ameendelea kuonyesha uwezo wake na nyota yake ya Uongozi
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili View attachment 3645364
Kwa akili yako na jinsi unavyompamba huyo mamaako...nina uhakika ukiambiwa kupigwa paipu ni dawa, utawapa wana kinyeoNdugu zangu Watanzania,

Uwe na adabu wewe. Kwa hiyo unabisha kuwa katiba siyo Makaratasi?
Kipi ambacho hakifuatwi kwenye Katiba yetu