Rais Samia Anaweza Kuongoza Taifa Kwa Mafanikio Makubwa Hata Bila Katiba

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile .

Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi gani lakini kama viongozi hawana Utashi wa Kuifuata na kuiheshimu Katiba husika hakuna ambacho kitabadilika ama kuwa cha tofauti. Utashi wa Rais na dhamira yake njema kwa Taifa ndio vinaweza Kuonekana na kuonyesha katiba Ni nzuri ama Mbaya.

Hulka Ya Mtu na kiongozi ndio itatoa muelekeo wa Nchi na Masuala Mbalimbali na siyo Makaratasi ama kijitabu kinachoitwa Katiba . Makaratasi hataweza kumzuia mtu akitaka kuwa Dikteta ama kukanyaga na kusigina kila kitu kilicho Mbele yake.

Dhamira njema aliyonayo Rais wetu ndani ya kifua chake kwa Taifa letu na upendo Mkubwa alionao kwa Watanzania anaweza kuongoza Taifa hili hata bila uwepo wa katiba ama sheria ya aina yoyote ile. Kwa sababu ni kiongozi aliye na dhamira njema kwa Taifa na watanzania.

Kama kiongozi hana Uchungu na Taifa ama maisha ya watu hata ungekuwa na katiba nzuri ya aina gani hakuna kitakacho fanyika . Lakini Rais wetu Mpendwa ameonyesha namna alivyo na dhamira njema ,uwezo wa kiuongozi na kutumia mamlaka yake vizuri kwa ustawi wa watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake. Alifanya hivyo wakati wa Bunge la katiba akiwa kama Makamu Mwenyekiti na ameendelea kuonyesha uwezo wake na nyota yake ya Uongozi

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili View attachment 3645364
Watakubandua sasa, unapitiliza mno
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile .

Inaonekana hujui umuhimu wa Kata!
Bila Katiba hakuna Taifa... Hakuna Mihimili ya Dola... Hakuna vyombo vya dola... Nchi inakuwa kwenye state ya lawlessness! Nchi ya machawa!
Ndiko mnakotupeleka!

WaTanganyika tunasema HAPANA! Tunataka Katiba Mpya ya Tanganyika... Zanzibar wana ya kwao.
Tukiendelea kuwaruhusu wata tutawala!
 
Katiba Mpya Siyo Kipaombele cha Watanzania
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile .

Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi gani lakini kama viongozi hawana Utashi wa Kuifuata na kuiheshimu Katiba husika hakuna ambacho kitabadilika ama kuwa cha tofauti. Utashi wa Rais na dhamira yake njema kwa Taifa ndio vinaweza Kuonekana na kuonyesha katiba Ni nzuri ama Mbaya.

Hulka Ya Mtu na kiongozi ndio itatoa muelekeo wa Nchi na Masuala Mbalimbali na siyo Makaratasi ama kijitabu kinachoitwa Katiba . Makaratasi hataweza kumzuia mtu akitaka kuwa Dikteta ama kukanyaga na kusigina kila kitu kilicho Mbele yake.

Dhamira njema aliyonayo Rais wetu ndani ya kifua chake kwa Taifa letu na upendo Mkubwa alionao kwa Watanzania anaweza kuongoza Taifa hili hata bila uwepo wa katiba ama sheria ya aina yoyote ile. Kwa sababu ni kiongozi aliye na dhamira njema kwa Taifa na watanzania.

Kama kiongozi hana Uchungu na Taifa ama maisha ya watu hata ungekuwa na katiba nzuri ya aina gani hakuna kitakacho fanyika . Lakini Rais wetu Mpendwa ameonyesha namna alivyo na dhamira njema ,uwezo wa kiuongozi na kutumia mamlaka yake vizuri kwa ustawi wa watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake. Alifanya hivyo wakati wa Bunge la katiba akiwa kama Makamu Mwenyekiti na ameendelea kuonyesha uwezo wake na nyota yake ya Uongozi

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili View attachment 3645364
Kula sana mboga mboga na matunda Kwa wingi,bila kusahau samaki ili Akili ikae sawa!
 
Back
Top Bottom