Rais Samia Anaweza Kuongoza Taifa Kwa Mafanikio Makubwa Hata Bila Katiba

Watakubandua sasa, unapitiliza mno
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile .

Inaonekana hujui umuhimu wa Kata!
Bila Katiba hakuna Taifa... Hakuna Mihimili ya Dola... Hakuna vyombo vya dola... Nchi inakuwa kwenye state ya lawlessness! Nchi ya machawa!
Ndiko mnakotupeleka!

WaTanganyika tunasema HAPANA! Tunataka Katiba Mpya ya Tanganyika... Zanzibar wana ya kwao.
Tukiendelea kuwaruhusu wata tutawala!
 
Katiba Mpya Siyo Kipaombele cha Watanzania
 
Kula sana mboga mboga na matunda Kwa wingi,bila kusahau samaki ili Akili ikae sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…