Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatutaenda kupiga kura . Mwanasiasa ni msaliti . Mwanasiasa anaweza kuwavunja moyo watu .
 
Mwambie huyo mama yako akiiba kura 2025 hawezi kuishi beyond 3 years tayari watu washafanya yao.
 
Mwambie huyo mama yako akiiba kura 2025 hawezi kuishi beyond 3 years tayari watu washafanya yao.
hakunaga wizi wa kura Tanzania,
hiyo ni dhana potofu ya kishirikina gentleman 🐒
 
Hatutaenda kupiga kura . Mwanasiasa ni msaliti . Mwanasiasa anaweza kuwavunja moyo watu .
huo ni uamuzi mbaya utakaokutesa na kukupa hasara wewe mwenyewe,

chagua kwa makini, chagua viongozi sahihi, hutavunjika moyo wala kuhisi usaliti 🐒
 
huo ni uamuzi mbaya utakaokutesa na kukupa hasara wewe mwenyewe,

chagua kwa makini, chagua viongozi sahihi, hutavunjika moyo wala kuhisi usaliti 🐒
Mimi ni nimeamua kumchagua Yesu Kristo wa kwenye Biblia-takatifu kuwa kiongozi wangu bora wa muda wote . Siwategemei binadamu-wanasiasa.
 
kwa dalili hizi,
ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025..

kwa mfano,
kwa sapoti kubwa sana na ya uhakika ya kura za wasichana wote nchini wenye sifa za kupiga kura, wanawake wote kwa umoja wao bila kujali vyama vyao na wenye vitambulisho vya mpiga kura, lakini pia sapoti ya uhakika usio na shaka wa kura za akina mama na mabibi wa vyama vyote vya siasa, inatosha kumuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan, ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo mkuu, muhimu sana kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania...

makundi mengine maalumu ambayo yatamuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo ni pamoja na asasi za kiraia, makundi maalumu yote, mashirika ya kidini, vyama vya wafanyakazi mathalani walimu, madaktari, wakulima, wafugaji, wavuvi, wasafirishaji, wafanyibiashara, wanamichezo n.k
hawa wote tayari wameonyesha nia na kuamuua kumuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan sasa, na wakati ujao wa uchaguzi watafanya vivyo hivyo tena....

katika kuhakikisha ushindi wa kushindo wa uhakika kwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
vyama vya kisiasa vyenye usajili wa kudumu na ule wa muda zaidi ya 19, kati ya 22 vilivyopo, wameonyesha nia ya kujizuia kusimamisha wagombea urais, na badala yake watamuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan na chama chake endapo atagombea urasi kwa ngwe ya pili ijayo...
vyama hivyo vimeridhishwa na kasi ya Maendeleo inayochochewa na mama huyo madhubuti Dr.Samia Suluhu Hassan..

makundi mengine ni ya wanazuoni vijana wa kike na wa kiume, walioko vyuo vikuu mbalimbali nchini, walioko kwenye biashara, waliopo makazini na mtaani wana imani na matumaini makubwa sana na Dr Samia Suluhu Hassan, katika kutimiza ndoto na matarajio yao ya maisha, kwa jitihada na mipango yenye matumaini makubwa inayosimamiwa na mpendwa wao huyu Dr.Samia Suluhu Hassan, na kwahiyo wameamua kwa pamoja kua sehemu ya ushindi huo wa kishindo...

na kwa upinzani uliyo gawanyika nchini, kukosa sera, dira na uelekeo, pamoja na viongozi wao dhaifu sana wanaotarajiwa eti kua wagombea, uanakwenda tu kukamilisha na kuthibitisha uhalali wa ushindi wa kishindo wa Dr.Samia Suluhu Hassan kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na labda tu kutimiza azma zao kwamba siku moja waliwahi kugombea urais 🤣
wapinzani watashindwa kwa aibu sana kwenye sanduku la kura..

ukiwa umerilax tu,
unadhani ni jambo gani muhimu jingine litakalo mpa na kumuhakilishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo wa zaidi ya asilimia 90% katika uchaguzi mkuu ujao endapo atagombea ?:pulpTRAVOLTA:
Huna adabu!

Mbona unampunguzia kura mheshimiwa raisi?

Anaweza kupata 98 hadi 99 asilimia.
 
Mimi ni nimemchagua Yesu Kristo wa kwenye Biblia-takatifu kuwa kiongozi wangu bora wa muda wote . Siwategemei binadamu-wanasiasa.
serikali za wanadamu zimetoka kwa Mungu,

sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.

Ni muhimu sana kua na Imani lakini pia kua makini kwenda kinyume na imani hiyo hiyo 🐒
 
Kwa upinzanihuu wenye wanachama mbumbumbu wanao shabikia vitabu uchwara, nidhahiri CCM wanaweza kuiongoza hii nchi kwamiaka mingisanaijayo.


Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom