Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumkataa mgombea wako ni kuharibu kura, kama hapa ndio akili yako inapo ishia mimi sina cha kukujibu
kuharibu kura ni haki ya mpiga kura, so enjoy it freely...

but it is clear that Dr Samia Suluhu Hassan possibly anaweza kupata zaid ya 90% ya kura za urais endapo atagombea 2025...
ni Muhimu sana ukaliweka kichwani mwako hili 🐒
 
Wapigaji wote big 👏 YES 🙌
But wanyonge wote wanaendelea kumkumbuka Ngosha
Wanasemaga RIP JPM 🙄😳🤠

Hapa nimewachanganya watu 😳😅😅
mie naona umejichanganya mwenyewe🐒

ni muhimu kukazia tu kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa na anakubalika sana nchini,
ni dhahiri ushindi wa kishindo wa zaid ya 90% unamuhusu endapo atawania Uchaguzi ujao 🐒

ni vizuri hili ukaliweka kichwani na moyoni mwako ili isije mbele tukashikana mashati 🐒
 
Wewe mdanganye tu
Mbona anataka ccm itoe fomu moja ya urais kama anakubarika?
Maana yake hata ndani ya CCM hakubaliki, uchaguzi wa ndani ni mgumu maana huu wa nje wanatumia dola kuipigania ccm sio Kizimkazi tena.
 
kuharibu kura ni haki ya mpiga kura, so enjoy it freely...

but it is clear that Dr Samia Suluhu Hassan possibly anaweza kupata zaid ya 90% ya kura za urais endapo atagombea 2025...
ni Muhimu sana ukaliweka kichwani mwako hili 🐒
Huna akili
 
Maana yake hata ndani ya CCM hakubaliki, uchaguzi wa ndani ni mgumu maana huu wa nje wanatumia dola kuipigania ccm sio Kizimkazi tena.
kwahiyo wangwana mpo mnapotoshana na kupeana moyo wenyewe kwa wenyewe kwa raha zenu dah 🤣
 
kuna ubaya wowote gentleman, mfano akapata ushindi wa kishindo wa zaid ya 90% ya kura zote za urais?🐒
Hapana, atavunja rekodi ya dunia na si ajabu akapata zaidi ya 100%. Kwa Tanzania hii ya leo hilo mbona ni jambo dogo sana na linalowezekana!
 
Hapana, atavunja rekodi ya dunia na si ajabu akapata zaidi ya 100%. Kwa Tanzania hii ya leo hilo mbona ni jambo dogo sana na linalowezekana!
100% hawezi kupata,
kumbuka pia wenye mihemko na ghadhabu wanaokusudia kwenda tu kuharibu kura kwa makusudi nao pia lazima watakuepo kwenye foleni la kupiga kura 🐒

kwahiyo hao nao nimewazingatia kwenye hoja yangu.🤣
 
kwamba kuna changamoto ya kua good to reply than to understand the content or writing and reading skills? 🐒
Ushauri wa bure kwako...acha kiburi na kudandia lugha za watu usio na uwezo nao. Bila shaka hapo ulipo unaamini kutoka rohoni kwamba unajua...watu kama wewe ni hasara tupu kwa taifa.
 
Ushauri wa bure kwako...acha kiburi na kudandia lugha za watu usio na uwezo nao. Bila shaka hapo ulipo unaamini kutoka rohoni kwamba unajua...watu kama wewe ni hasara tupu kwa taifa.
mwenye jeuri, majivuno na kiburi mingi si ni yule mjamaa alikua anakomaa kufanya uongo kua kweli na sasa ameadanishwa na bunge ama?🐒

hiyo ingine,
kwamba mimi nione haya au aibu kuzungumza lugha ya wenyewe kwasababu yako wewe mwenye lugha yako?🐒

uoga wako ndio umaskini wako...

ndio maana wengine hatuogopi kusema ukweli kwamba Dr Samia Suluhu Hassan anaweza kupata zaidi 90% ya kura zote za Urais endapo atagombea 🐒

wewe unaogopa na kuona aibu kuzungumza kilugha, si utakua mtumwa sasa 🤣
 
Basi km uhakika ni huo wa ushindi waweke fair election uone
usiendekeze Imani haba kwenye mambo haya,

Uchaguzi utakua huru,haki na wa wazi mno. usije kuzira uchaguzi, halafu baada au uchaguzi ukiisha ndio ukagundua kwamba ulikua kweli wa haki, wazi na huru 🤣

itakubidi usubiri miaka mitano ijayo tena 🐒
 
kwa dalili hizi,
ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025..

kwa mfano,
kwa sapoti kubwa sana na ya uhakika ya kura za wasichana wote nchini wenye sifa za kupiga kura, wanawake wote kwa umoja wao bila kujali vyama vyao na wenye vitambulisho vya mpiga kura, lakini pia sapoti ya uhakika usio na shaka wa kura za akina mama na mabibi wa vyama vyote vya siasa, inatosha kumuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan, ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo mkuu, muhimu sana kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania...

makundi mengine maalumu ambayo yatamuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo ni pamoja na asasi za kiraia, makundi maalumu yote, mashirika ya kidini, vyama vya wafanyakazi mathalani walimu, madaktari, wakulima, wafugaji, wavuvi, wasafirishaji, wafanyibiashara, wanamichezo n.k
hawa wote tayari wameonyesha nia na kuamuua kumuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan sasa, na wakati ujao wa uchaguzi watafanya vivyo hivyo tena....

katika kuhakikisha ushindi wa kushindo wa uhakika kwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
vyama vya kisiasa vyenye usajili wa kudumu na ule wa muda zaidi ya 19, kati ya 22 vilivyopo, wameonyesha nia ya kujizuia kusimamisha wagombea urais, na badala yake watamuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan na chama chake endapo atagombea urasi kwa ngwe ya pili ijayo...
vyama hivyo vimeridhishwa na kasi ya Maendeleo inayochochewa na mama huyo madhubuti Dr.Samia Suluhu Hassan..

makundi mengine ni ya wanazuoni vijana wa kike na wa kiume, walioko vyuo vikuu mbalimbali nchini, walioko kwenye biashara, waliopo makazini na mtaani wana imani na matumaini makubwa sana na Dr Samia Suluhu Hassan, katika kutimiza ndoto na matarajio yao ya maisha, kwa jitihada na mipango yenye matumaini makubwa inayosimamiwa na mpendwa wao huyu Dr.Samia Suluhu Hassan, na kwahiyo wameamua kwa pamoja kua sehemu ya ushindi huo wa kishindo...

na kwa upinzani uliyo gawanyika nchini, kukosa sera, dira na uelekeo, pamoja na viongozi wao dhaifu sana wanaotarajiwa eti kua wagombea, uanakwenda tu kukamilisha na kuthibitisha uhalali wa ushindi wa kishindo wa Dr.Samia Suluhu Hassan kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na labda tu kutimiza azma zao kwamba siku moja waliwahi kugombea urais 🤣
wapinzani watashindwa kwa aibu sana kwenye sanduku la kura..

ukiwa umerilax tu,
unadhani ni jambo gani muhimu jingine litakalo mpa na kumuhakilishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo wa zaidi ya asilimia 90% katika uchaguzi mkuu ujao endapo atagombea ?:pulpTRAVOLTA:
kumbeee, Mpe pongezi 🐸 KIZIWI 🤣🤣

Ushabwada.
 
mie naona umejichanganya mwenyewe🐒

ni muhimu kukazia tu kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa na anakubalika sana nchini,
ni dhahiri ushindi wa kishindo wa zaid ya 90% unamuhusu endapo atawania Uchaguzi ujao 🐒

ni vizuri hili ukaliweka kichwani na moyoni mwako ili isije mbele tukashikana mashati 🐒
Haya bana let’s wait and see 🙄
 
Back
Top Bottom