Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kwa dalili hizi,
ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025..

kwa mfano,
kwa sapoti kubwa sana na ya uhakika ya kura za wasichana wote nchini wenye sifa za kupiga kura, wanawake wote kwa umoja wao bila kujali vyama vyao na wenye vitambulisho vya mpiga kura, lakini pia sapoti ya uhakika usio na shaka wa kura za akina mama na mabibi wa vyama vyote vya siasa, inatosha kumuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan, ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo mkuu, muhimu sana kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania...

makundi mengine maalumu ambayo yatamuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo ni pamoja na asasi za kiraia, makundi maalumu yote, mashirika ya kidini, vyama vya wafanyakazi mathalani walimu, madaktari, wakulima, wafugaji, wavuvi, wasafirishaji, wafanyibiashara, wanamichezo n.k
hawa wote tayari wameonyesha nia na kuamuua kumuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan sasa, na wakati ujao wa uchaguzi watafanya vivyo hivyo tena....

katika kuhakikisha ushindi wa kushindo wa uhakika kwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
vyama vya kisiasa vyenye usajili wa kudumu na ule wa muda zaidi ya 19, kati ya 22 vilivyopo, wameonyesha nia ya kujizuia kusimamisha wagombea urais, na badala yake watamuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan na chama chake endapo atagombea urasi kwa ngwe ya pili ijayo...
vyama hivyo vimeridhishwa na kasi ya Maendeleo inayochochewa na mama huyo madhubuti Dr.Samia Suluhu Hassan..

makundi mengine ni ya wanazuoni vijana wa kike na wa kiume, walioko vyuo vikuu mbalimbali nchini, walioko kwenye biashara, waliopo makazini na mtaani wana imani na matumaini makubwa sana na Dr Samia Suluhu Hassan, katika kutimiza ndoto na matarajio yao ya maisha, kwa jitihada na mipango yenye matumaini makubwa inayosimamiwa na mpendwa wao huyu Dr.Samia Suluhu Hassan, na kwahiyo wameamua kwa pamoja kua sehemu ya ushindi huo wa kishindo...

na kwa upinzani uliyo gawanyika nchini, kukosa sera, dira na uelekeo, pamoja na viongozi wao dhaifu sana wanaotarajiwa eti kua wagombea, uanakwenda tu kukamilisha na kuthibitisha uhalali wa ushindi wa kishindo wa Dr.Samia Suluhu Hassan kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na labda tu kutimiza azma zao kwamba siku moja waliwahi kugombea urais 🤣
wapinzani watashindwa kwa aibu sana kwenye sanduku la kura..

ukiwa umerilax tu,
unadhani ni jambo gani muhimu jingine litakalo mpa na kumuhakilishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo wa zaidi ya asilimia 90% katika uchaguzi mkuu ujao endapo atagombea ?:pulpTRAVOLTA:
True
 
nikuondolee wasiwasi na nikuhakikishie tu kwamba, kwanza maboresho ya daftari la kudumu la wapiga kura baadae mwaka huu, litaorodhesha vijana wengi mno wapya wenye umri wa miaka 18,

na hii inaweza kuchochea watakaojitokeza kupiga kura kwa zaidi ya asilimia zaidi ya 95 ya waliojiandikisha kupiga kura 🐒

wenye mihemko, ghadhabu na hulka za fujo wanashauriwa kujizuia nyumbani kama wewe hivi...

Ili ushindi wa kishindo wa wa 90% wa Dr.Samia Suluhu Hassan upatikane kwenye mazingira wazi na ya amani 🐒
Nasema hivi, hao 90% ya watakaojitokeza kupiga kura kwa mazingira haya ni mazombie, sasa atakosaje hiyo 90%?
 
kwa dalili hizi,
ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025..

kwa mfano,
kwa sapoti kubwa sana na ya uhakika ya kura za wasichana wote nchini wenye sifa za kupiga kura, wanawake wote kwa umoja wao bila kujali vyama vyao na wenye vitambulisho vya mpiga kura, lakini pia sapoti ya uhakika usio na shaka wa kura za akina mama na mabibi wa vyama vyote vya siasa, inatosha kumuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan, ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo mkuu, muhimu sana kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania...

makundi mengine maalumu ambayo yatamuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo ni pamoja na asasi za kiraia, makundi maalumu yote, mashirika ya kidini, vyama vya wafanyakazi mathalani walimu, madaktari, wakulima, wafugaji, wavuvi, wasafirishaji, wafanyibiashara, wanamichezo n.k
hawa wote tayari wameonyesha nia na kuamuua kumuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan sasa, na wakati ujao wa uchaguzi watafanya vivyo hivyo tena....

katika kuhakikisha ushindi wa kushindo wa uhakika kwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
vyama vya kisiasa vyenye usajili wa kudumu na ule wa muda zaidi ya 19, kati ya 22 vilivyopo, wameonyesha nia ya kujizuia kusimamisha wagombea urais, na badala yake watamuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan na chama chake endapo atagombea urasi kwa ngwe ya pili ijayo...
vyama hivyo vimeridhishwa na kasi ya Maendeleo inayochochewa na mama huyo madhubuti Dr.Samia Suluhu Hassan..

makundi mengine ni ya wanazuoni vijana wa kike na wa kiume, walioko vyuo vikuu mbalimbali nchini, walioko kwenye biashara, waliopo makazini na mtaani wana imani na matumaini makubwa sana na Dr Samia Suluhu Hassan, katika kutimiza ndoto na matarajio yao ya maisha, kwa jitihada na mipango yenye matumaini makubwa inayosimamiwa na mpendwa wao huyu Dr.Samia Suluhu Hassan, na kwahiyo wameamua kwa pamoja kua sehemu ya ushindi huo wa kishindo...

na kwa upinzani uliyo gawanyika nchini, kukosa sera, dira na uelekeo, pamoja na viongozi wao dhaifu sana wanaotarajiwa eti kua wagombea, uanakwenda tu kukamilisha na kuthibitisha uhalali wa ushindi wa kishindo wa Dr.Samia Suluhu Hassan kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na labda tu kutimiza azma zao kwamba siku moja waliwahi kugombea urais 🤣
wapinzani watashindwa kwa aibu sana kwenye sanduku la kura..

ukiwa umerilax tu,
unadhani ni jambo gani muhimu jingine litakalo mpa na kumuhakilishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo wa zaidi ya asilimia 90% katika uchaguzi mkuu ujao endapo atagombea ?:pulpTRAVOLTA:
Ongeza kidogo ni 96 asilimia
 
Nasema hivi, hao 90% ya watakaojitokeza kupiga kura kwa mazingira haya ni mazombie, sasa atakosaje hiyo 90%?
kuna uchaguzi mlishindwa vibaya sana,

halafu mkawaita wapiga kura waTanzania lile jina jingine ambalo liliwaumiza sana na mpaka leo huwa hawalisahau na ndicho kilichofanya wawakatae kila uchaguzi kwenye sanduku la kura🐒

leo unawaita waTanzania wapiga kura nani eti, halafu baadae mkawaombe kura?🤣

unasema waTanzania wapiga kura ni nini?🐒
 
Nikawaombe watanzania kura kwani kuna uchaguzi?
 
kwa dalili hizi,
ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025..

kwa mfano,
kwa sapoti kubwa sana na ya uhakika ya kura za wasichana wote nchini wenye sifa za kupiga kura, wanawake wote kwa umoja wao bila kujali vyama vyao na wenye vitambulisho vya mpiga kura, lakini pia sapoti ya uhakika usio na shaka wa kura za akina mama na mabibi wa vyama vyote vya siasa, inatosha kumuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan, ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo mkuu, muhimu sana kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania...

makundi mengine maalumu ambayo yatamuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo ni pamoja na asasi za kiraia, makundi maalumu yote, mashirika ya kidini, vyama vya wafanyakazi mathalani walimu, madaktari, wakulima, wafugaji, wavuvi, wasafirishaji, wafanyibiashara, wanamichezo n.k
hawa wote tayari wameonyesha nia na kuamuua kumuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan sasa, na wakati ujao wa uchaguzi watafanya vivyo hivyo tena....

katika kuhakikisha ushindi wa kushindo wa uhakika kwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
vyama vya kisiasa vyenye usajili wa kudumu na ule wa muda zaidi ya 19, kati ya 22 vilivyopo, wameonyesha nia ya kujizuia kusimamisha wagombea urais, na badala yake watamuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan na chama chake endapo atagombea urasi kwa ngwe ya pili ijayo...
vyama hivyo vimeridhishwa na kasi ya Maendeleo inayochochewa na mama huyo madhubuti Dr.Samia Suluhu Hassan..

makundi mengine ni ya wanazuoni vijana wa kike na wa kiume, walioko vyuo vikuu mbalimbali nchini, walioko kwenye biashara, waliopo makazini na mtaani wana imani na matumaini makubwa sana na Dr Samia Suluhu Hassan, katika kutimiza ndoto na matarajio yao ya maisha, kwa jitihada na mipango yenye matumaini makubwa inayosimamiwa na mpendwa wao huyu Dr.Samia Suluhu Hassan, na kwahiyo wameamua kwa pamoja kua sehemu ya ushindi huo wa kishindo...

na kwa upinzani uliyo gawanyika nchini, kukosa sera, dira na uelekeo, pamoja na viongozi wao dhaifu sana wanaotarajiwa eti kua wagombea, uanakwenda tu kukamilisha na kuthibitisha uhalali wa ushindi wa kishindo wa Dr.Samia Suluhu Hassan kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na labda tu kutimiza azma zao kwamba siku moja waliwahi kugombea urais 🤣
wapinzani watashindwa kwa aibu sana kwenye sanduku la kura..

ukiwa umerilax tu,
unadhani ni jambo gani muhimu jingine litakalo mpa na kumuhakilishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo wa zaidi ya asilimia 90% katika uchaguzi mkuu ujao endapo atagombea ?:pulpTRAVOLTA:
Nakushauri tembelea Mirembe haraka sana
 
Muhimu watu wote wenye imani japo kidogo ya Uwepo wa Mungu tunawakumbusha kwamba hata wizi wa kura ni Dhulma kama Dhulma nyinginezo !!😳

Kazi kwenu kwa wenye tamaa ya maisha mazuri ya muda mfupi hapa Duniani 😳😅👍
 
Nakushauri tembelea Mirembe haraka sana
maoni yako ni mazuri ila hayana maana,

ukweli ndio huo,
ni ushindi wa kishindo wa wazi kabisa kwa Dr.Samia Suluhu Hassan 🐒
 
Muhimu watu wote wenye imani japo kidogo ya Uwepo wa Mungu tunawakumbusha kwamba hata wizi wa kura ni Dhulma kama Dhulma nyinginezo !!😳

Kazi kwenu kwa wenye tamaa ya maisha mazuri ya muda mfupi hapa Duniani 😳😅👍
kwamba Mungu ni wako pekeyako na Imani yako, right?🤣

wenye Imani hawanaga hofu wala nongwa, husemaga kweli tu kwa Dr Samia Suluhu Hassan atashinda uchaguzi mkuu ujao ikiwa atagombea kwa zaid ya 90%🐒
 
Mtu akila sana anavimbiwa !
Na hata wakila vipi mwisho ni kwenda Toilet tu !
Na mwisho wa maji huwa ni tope tu !!
na hata ukiwa na mihemko na ghadhabu kiasi gani eneo ulilolitaja Lazima utalitembelea tu bila kulazimishwa 🤣

hata hivyo,
hiyo haibadili ukweli kwamba endapo Dr Samia Suluhu Hassan atagombea urais 2025, basi ushindi wa kishindo wa zaid ya 90% utamuhusu 🐒
 
Huu woga ndio ushindi wao wala sio tume.
Wale ni raia tu kama raia wengine.
Ni waoga kama Kunguru kwa sababu kibaka ni jasiri akiona jamii inamiogopa.
mnadanganyana sio na kupeana moyo kwa kupotoshana 🤣
 
Sidhani kama unampenda Samia kweli! Ninachokiona kwako ni unafiki.
 
Ni nani y
na hata ukiwa na mihemko na ghadhabu kiasi gani eneo ulilolitaja Lazima utalitembelea tu bila kulazimishwa 🤣

hata hivyo,
hiyo haibadili ukweli kwamba endapo Dr Samia Suluhu Hassan atagombea urais 2025, basi ushindi wa kishindo wa zaid ya 90% utamuhusu 🐒
ule aliyesemaga hata mkipigia kura wengine lakini sisi ndio washindi. 🙄😅😅
 
Back
Top Bottom