Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Wazazi wengine wanajuta kwanini hawakutumia condom kupata matoto waliyo nayo ..Kama uko na wazazi wanaojielewa basi watakuwa wanahesabu kuwa kwako wamepata garash
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi wengine wanajuta kwanini hawakutumia condom kupata matoto waliyo nayo ..Kama uko na wazazi wanaojielewa basi watakuwa wanahesabu kuwa kwako wamepata garash
Kwa nini asipate asilimia 100%?kwa dalili hizi,
Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025
kama Taifa yafaa kuwalaani, kuwakemea na kuwafichua majambazi, wporaji, waonevu na watekaji wa aina yoyote ile tundelee kufurahia matunda ya amani na utulivu kama ilivyo mila, desturi na utamaduni wetu wa kuheshimiana na kujali heshima na utu wa kila mtu 🐒Na hawa Wanaotekwa na kupigwa katika awamu hii ya Samia pia watampigia kura sio?
Jiwe alikuwa mtu wa hovyo sana na alikubalika na watu kama weweAmini nakwambia hata ikichukuliwa Picha ya hayati Magufuli vs Samia still Picha ya hayati itashinda japo hayupo. Samia hapendwii huo ndo ukweli mchungu
vyombo vya ulinzi na usalama ni mali ya waTanzania wote, na mihimili yote ya dola na katiba ni mali ya umma na wananchi wote wa Tanzania.Jeshi la kwenu, katiba ya kwenu, tume ya uchaguzi ya kwenu, mihimili yote ya kwenu, machawa wote wa kwenu. Kwanini msishinde kwa asilimia mia?
Mtu kaweza mpaka kuongeza siku za mwizi kutoka 40 mpaka 42 kwanini asipate 100%Kwa nini asipate asilimia 100%?
Imeandikwa,Mwisho wa siku Mungu ndiye mwamuzi wa yote. Hata yule mwingine aliamini katika hila, nguvu, ubabe, uonevu, ukaidi, nk. Ila kilichokuja kutokea, kimebakia kuwa ni historia.
Awamu yenu hii wanawake. Pambaneni... tuko nyuma yenu.Imeandikwa,
Nchi na vyote viijazavyo ni Mali ya Bwana..
Mungu ni wetu sote, zawadi ya uhai na afya alizotujaalia bure tuzitumie vizuri, ni yeye pekee mwenye uamuzi navyo kwa miongoni mwetu wanadamu, wala hapana haja ya kutishika na hilo ..
kwa wengine kuishi ni Kristo kufa ni faida 🐒
naona ushindi wa kishindo wa zaidi ya 90% kwa Dr.Samia Suluhu Hassan, unaonaje hili gentleman 🐒
ni mtazamo tu,Sawa, atapata asilimia zote
... tuseme mje mtupeleke katavi.
100%✓ sio 90kwa dalili hizi,
ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025..
kwa mfano,
kwa sapoti kubwa sana na ya uhakika ya kura za wasichana wote nchini wenye sifa za kupiga kura, wanawake wote kwa umoja wao bila kujali vyama vyao na wenye vitambulisho vya mpiga kura, lakini pia sapoti ya uhakika usio na shaka wa kura za akina mama na mabibi wa vyama vyote vya siasa, inatosha kumuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan, ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo mkuu, muhimu sana kwa mustakabali mwema wa mama Tanzania...
makundi mengine maalumu ambayo yatamuhakikishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo ni pamoja na asasi za kiraia, makundi maalumu yote, mashirika ya kidini, vyama vya wafanyakazi mathalani walimu, madaktari, wakulima, wafugaji, wavuvi, wasafirishaji, wafanyibiashara, wanamichezo n.k
hawa wote tayari wameonyesha nia na kuamuua kumuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan sasa, na wakati ujao wa uchaguzi watafanya vivyo hivyo tena....
katika kuhakikisha ushindi wa kushindo wa uhakika kwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
vyama vya kisiasa vyenye usajili wa kudumu na ule wa muda zaidi ya 19, kati ya 22 vilivyopo, wameonyesha nia ya kujizuia kusimamisha wagombea urais, na badala yake watamuunga mkono Dr.Samia Suluhu Hassan na chama chake endapo atagombea urasi kwa ngwe ya pili ijayo...
vyama hivyo vimeridhishwa na kasi ya Maendeleo inayochochewa na mama huyo madhubuti Dr.Samia Suluhu Hassan..
makundi mengine ni ya wanazuoni vijana wa kike na wa kiume, walioko vyuo vikuu mbalimbali nchini, walioko kwenye biashara, waliopo makazini na mtaani wana imani na matumaini makubwa sana na Dr Samia Suluhu Hassan, katika kutimiza ndoto na matarajio yao ya maisha, kwa jitihada na mipango yenye matumaini makubwa inayosimamiwa na mpendwa wao huyu Dr.Samia Suluhu Hassan, na kwahiyo wameamua kwa pamoja kua sehemu ya ushindi huo wa kishindo...
na kwa upinzani uliyo gawanyika nchini, kukosa sera, dira na uelekeo, pamoja na viongozi wao dhaifu sana wanaotarajiwa eti kua wagombea, uanakwenda tu kukamilisha na kuthibitisha uhalali wa ushindi wa kishindo wa Dr.Samia Suluhu Hassan kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na labda tu kutimiza azma zao kwamba siku moja waliwahi kugombea urais 🤣
wapinzani watashindwa kwa aibu sana kwenye sanduku la kura..
ukiwa umerilax tu,
unadhani ni jambo gani muhimu jingine litakalo mpa na kumuhakilishia Dr.Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo wa zaidi ya asilimia 90% katika uchaguzi mkuu ujao endapo atagombea ?![]()
Ni mjinga na zombie pekee kama wewe anayeweza kuchagua tapeli na dhaifukwa dalili hizi,

Nikuulize kwa wema tu je unadhani Rais Samia anapendwa zaidi na Watu kutoka Zanzibar au Tanganyika? Halafu pia je unadhani uchaguzi ukiwa huru na CCM anashinda kwa kiasi gani?kwa dalili hizi,

hadi watoto wa dogo chekechea, msingi, sekondari, vyuo vikuu, taasisi za kidini na zisizo za kidini, wafanyabiashara, wakulima, wafugaji wanawake aise...Nikuulize kwa wema tu je unadhani Rais Samia anapendwa zaidi na Watu kutoka Zanzibar au Tanganyika? Halafu pia je unadhani uchaguzi ukiwa huru na CCM anashinda kwa kiasi gani?