Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatutaenda kupiga kura . Mwanasiasa ni msaliti . Mwanasiasa anaweza kuwavunja moyo watu .
 
Mwambie huyo mama yako akiiba kura 2025 hawezi kuishi beyond 3 years tayari watu washafanya yao.
 
Mwambie huyo mama yako akiiba kura 2025 hawezi kuishi beyond 3 years tayari watu washafanya yao.
hakunaga wizi wa kura Tanzania,
hiyo ni dhana potofu ya kishirikina gentleman πŸ’
 
Hatutaenda kupiga kura . Mwanasiasa ni msaliti . Mwanasiasa anaweza kuwavunja moyo watu .
huo ni uamuzi mbaya utakaokutesa na kukupa hasara wewe mwenyewe,

chagua kwa makini, chagua viongozi sahihi, hutavunjika moyo wala kuhisi usaliti πŸ’
 
huo ni uamuzi mbaya utakaokutesa na kukupa hasara wewe mwenyewe,

chagua kwa makini, chagua viongozi sahihi, hutavunjika moyo wala kuhisi usaliti πŸ’
Mimi ni nimeamua kumchagua Yesu Kristo wa kwenye Biblia-takatifu kuwa kiongozi wangu bora wa muda wote . Siwategemei binadamu-wanasiasa.
 
Huna adabu!

Mbona unampunguzia kura mheshimiwa raisi?

Anaweza kupata 98 hadi 99 asilimia.
 
Mimi ni nimemchagua Yesu Kristo wa kwenye Biblia-takatifu kuwa kiongozi wangu bora wa muda wote . Siwategemei binadamu-wanasiasa.
serikali za wanadamu zimetoka kwa Mungu,

sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.

Ni muhimu sana kua na Imani lakini pia kua makini kwenda kinyume na imani hiyo hiyo πŸ’
 
Kwa upinzanihuu wenye wanachama mbumbumbu wanao shabikia vitabu uchwara, nidhahiri CCM wanaweza kuiongoza hii nchi kwamiaka mingisanaijayo.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…