Rais Samia: Anayekosea maamuzi nitamrekebisha, sitamfukuza

Na lukuvi nae kosa lake nini? Au pia roho mbaya?
 
Urais wa kuokota ndio unaomchanganya.
 
Huyu mama kila akiongea anaharibu, anaonesha hawezi hata kuongea bila kujiuliza anachoongea kitaleta muonekano/mtazamo gani kwa jamii
Nimekaa kaa zenji, asilimia kubwa ya wazanzibari hawana sensitivity ya maneno wanayoongea, anaweza akaonge kitu ukabaki unaona aibu wewe!
 
Hakuna kiongozi hapo......
 
Damu ya jpm inamlilia ndoa maana ameanza kuharibu mapema, 2025 anakazi sana ya kuwasahulisha watu kwa huu ulopokaji wake.
 
Chonde chonde "madereva" msiifate kauli hii ya kukosea mara nne mtatutoa uhai wetu na hasara kwa familia na taifa kwa ujumla.

Hatari sana hii sheikh....(in sheikh kipozeo voice)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati huwa nasema yajayo yanafurahisha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Reactions: nao
Mimi nilipita kwenye ukristo Mkiristo mwenyewe alituelekeza tutenganishe mambo yahusuyo dini dhidi ya mambo ya kidunia!
Kule kwenye uislamu cjawah kujua wao wanaamini nini kuhusu hilo.
Lakini walimwengu hawa wa leo,kudhan utaweza kuwaongoza pasipo kuungurumiana,kukoromeana na hata kutishiana km si kuachishana ugali,huenda ni kuandaa kuwaumiza wale raia wa chini tu.
Wabongo ni mithili ya panya mama,watakuguguna huku wakikupulizia hewa barid kwenye jeraha. Mwisho wa siku ww ndo utabaki na makovu ya majeraha maisha yako yote!!
 
Utamrekebisha nini wakati mwenyewe unapotupeleka sipo. Umemsaliti mtangulizi wako umeungana kutetea wapigaji na wafanyabiashara fisadi. Mungu anakuona πŸ˜’
 

2 Wafalme 7:1-20​

Mungu aende na Mama kwa KISHINDO KIKUU, kama alivyowahi kwenda na watu wanne wakati wa njaa kali na kupelekea watu hao kugundua uwepo wa chakula kingi cha kuweza kulisha Taifa zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…