Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Na lukuvi nae kosa lake nini? Au pia roho mbaya?Marais wakiwa Waislamu Wanakuwa na utu Sana na ubinadamu, nakumbuka magufuli alimfukuza mtu mbele ya hadhila ya wananchi,yule mtumishi akaizirai hapohapo, au Kama alivyomfukuza NAPE NNAUYE! mpaka Leo uwezi kujua kosa la Nape lilikuwa nini Zaid ya roho yake mbaya tu