Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

Nikichaa pekee anayeweza kuamini kuwa huyu mzanzibari kafanya makubwa kuliko wengine waliomtangulia.
hakuna hata kimoja, labda kuuza bandari kwa dp world hata kama Watanganyika walipinga sana, kuuza mbuga, kufukuza masai na mambo kibao ambayo asingeweza kuyafanya zanzibari.
 
Nyie punguani hivi mnaishi Dunia gani?

Tuanze na Afya
-Amejenga Hospital za Wilaya zote Tanzania (127 Mpya) na kumalizika zile zilizoanzishwa na Mwendazake
-Amejenga Vituo vya Afya zaidi ya 360
-Amejenga Hospital za Mkoa Mpya 5(Shy,Songea, Ukerewe,Rukwa,Mbagala)
-Ameweka MRIMachines 13
-Amenunua CT scans 26
-Amejenga Majengo ya Dharura Hospital zote za Wilaya,Mkoa na Vituo vya Afya
-Amenunua magari ya Wagonjwa 700
-Amenunua Vifaa tiba kushinda Rais mwingine yeyote hapa Tanzania
-Ameajiri maelfu ya Watumishi kwenye sekta ya Afya
-Anajenga hospital ya Rufaa ya Knada ya Magharibi-Kigoma na Kanda ya Ziwa Ukerewe
-Amemaliza Hospital zote ambazo Mwendazake alishindwa


Vyote hivyo havikuwepo kabla ya 2021-2023 ,na vingine vingi vinaendelea.

Na wewe taja alivyofanya Magufuli
 
kwahiyo wewe kama mtu mzima kabisa, una familia pengine, unaamini hayo uliyoandika ndio yamezidi yale ambao marais wengine wameyafanya? unajua MRI na CT SCAN zinauzwa shilingi ngapi hadi yeye anunua hizo chache?
 
NI WANANCHI GANI AMBAO CHADEMA WANAWASEMEA KUWA WANAITAKA TANGANYIKA YAO??HAO CHADEMA NI WEHU TU MUDA MCHACHE UJAO WATAANZA KUOKOTA MAKOPO NA KULA KWENYE MAJALALA
 
Kafanya kitu gani kwa mwananchi zaidi ya kuwabeba wafanyabiashara wenzie kama wewe jizi namba moja?
 
Ebu orodhesha mambo ambayo ameyafanya ili hoja yako ikubalike.
Ni mengi mnoo,nimeshamjibu mwenzio kwenye Afya tuu hapo.Wewe sema unataka sekta gani manaa Samia kapiga kote kuanzia michezo Hadi Kilimo.

Wewe sema unataka sekta gani ,mfano sekta ya Anga ya ujenzi wa wa viwanja vya ndege unaendelea Mikoa 14 na vyote ni vipya.
 
Elimu hii isiyokuwa na manufaa, kaangalia Dubai 1990 ilikuwa jangwa leo iko wapi? Htuwezi kukariri ujinga huo tupeni mikoa yetu tujitegemee muona tutakuwa wapi.

Mmefanya nn mpaka leo? Bunduki zipi wakati kabla ya mkoloni mpaka leo wazigua ni maarufu kwa kutengenzea bunduki , jaribu kzunguka sio kukariri. πŸ˜€ πŸ˜€ Japan wapo 6G wewe na elimu yako ya kuletwa utabaki kuvaa suti kama maiti.
 
NI WANANCHI GANI AMBAO CHADEMA WANAWASEMEA KUWA WANAITAKA TANGANYIKA YAO??HAO CHADEMA NI WEHU TU MUDA MCHACHE UJAO WATAANZA KUOKOTA MAKOPO NA KULA KWENYE MAJALALA
tupo wengi tu, ninyi magaidi ndio hamuitaki Tanganyika, ila sisi wengine, Tanganyika is just a matter of time, itarudi tu.
 
kwahiyo wewe kama mtu mzima kabisa, una familia pengine, unaamini hayo uliyoandika ndio yamezidi yale ambao marais wengine wameyafanya? unajua MRI na CT SCAN zinauzwa shilingi ngapi hadi yeye anunua hizo chache?
Ndio maana nakwambia wewe ni punguani kama sio mpumbavu.Wakati unasali ni chache hakuna hata Mkoa mmja ulikuwa na hivyo vifaa kabla ya 2021.Kama ni bei chee why hawakununua?

Nikikuita punguani nitakuwa nimekosea? Bei za hivyo vifaa ninzaodinya Bilioni 3 CT Scan 1 ,Zaidi ya Bil.6 MRI na Kwa taarifa Yako tuu amenunua Digita X rays Kwa hospital zote za Wilaya ,hivyo vifaa mlikuwa mnavipata hospital chache sana hapa Tanzania.

Usirudie tena kumlinganisha Samia na wajinga mliozoea maneno badala ya kazi.
 
Umeongea KWELI kabisa,

Amefanya makubwa kuliko yeyote aliyepita,

Kugawa Bure bandari zote, kufukuza maasai ngorongoro, nk nk, ni mambo makubwa hayajawahi fanywa na yeyote kabla.

HOJA nzuri!!
 
Ni Samia ndio amefanya Mageuzi makubwa ya Elimu , wengine vipaombele vyao ilikuwa ni madaraja huku wakiendelea kuwaacha na ujinga wenu kichwani.

Kwa Samia Hilo ni historia,uelekeo ni Elimu ujuzi na wewe unajua kwamba amefanya Mageuzi ya mitaala na Sasa kazi ya utekelezwaji imeanza.

Hakuna mtoto wa Tanzania atamaliza ngazi yeyote ya Elimu awe hajui skills yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…