peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kweli amefanya makubwa kuuza bandari, ngorongoro, KIA, misitu, DC wa kilosa kutoka Zanzibar, madini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuuza Sasa pesa zinamimimika kwenye Bajeti ya Nchi kama zote.Kweli amefanya makubwa kuuza bandari, ngorongoro, KIA, misitu, DC wa kilosa kutoka Zanzibar, madini
Wewe unaakili kweli rais ndio amefanya hayo au ni bajeti ilipangwa kutekeleza hayo, unapozungumzia rais kufanya Jambo ni lazima liwe linahusisha taifa Kwa ujumla lenye kubadilisha mipango ya nchii.Nyie punguani hivi mnaishi Dunia gani?
Tuanze na Afya
-Amejenga Hospital za Wilaya zote Tanzania (127 Mpya) na kumalizika zile zilizoanzishwa na Mwendazake
-Amejenga Vituo vya Afya zaidi ya 360
-Amejenga Hospital za Mkoa Mpya 5(Shy,Songea, Ukerewe,Rukwa,Mbagala)
-Ameweka MRIMachines 13
-Amenunua CT scans 26
-Amejenga Majengo ya Dharura Hospital zote za Wilaya,Mkoa na Vituo vya Afya
-Amenunua magari ya Wagonjwa 700
-Amenunua Vifaa tiba kushinda Rais mwingine yeyote hapa Tanzania
-Ameajiri maelfu ya Watumishi kwenye sekta ya Afya
-Anajenga hospital ya Rufaa ya Knada ya Magharibi-Kigoma na Kanda ya Ziwa Ukerewe
-Amemaliza Hospital zote ambazo Mwendazake alishindwa
View attachment 2984225View attachment 2984226View attachment 2984227
Vyote hivyo havikuwepo kabla ya 2021-2023 ,na vingine vingi vinaendelea.
Na wewe taja alivyofanya Magufuli
Nenda bank kama Kuna USD 😂Baada ya kuuza Sasa pesa zinamimimika kwenye Bajeti ya Nchi kama zote.
Bado Kuna mashirika mengi ya kipumbavu yanatakiwa kuuzwa Ili kuleta ufanisi
Hata huku kijijini,Nyie punguani hivi mnaishi Dunia gani?
Tuanze na Afya
-Amejenga Hospital za Wilaya zote Tanzania (127 Mpya) na kumalizika zile zilizoanzishwa na Mwendazake
-Amejenga Vituo vya Afya zaidi ya 360
-Amejenga Hospital za Mkoa Mpya 5(Shy,Songea, Ukerewe,Rukwa,Mbagala)
-Ameweka MRIMachines 13
-Amenunua CT scans 26
-Amejenga Majengo ya Dharura Hospital zote za Wilaya,Mkoa na Vituo vya Afya
-Amenunua magari ya Wagonjwa 700
-Amenunua Vifaa tiba kushinda Rais mwingine yeyote hapa Tanzania
-Ameajiri maelfu ya Watumishi kwenye sekta ya Afya
-Anajenga hospital ya Rufaa ya Knada ya Magharibi-Kigoma na Kanda ya Ziwa Ukerewe
-Amemaliza Hospital zote ambazo Mwendazake alishindwa
View attachment 2984225View attachment 2984226View attachment 2984227
Vyote hivyo havikuwepo kabla ya 2021-2023 ,na vingine vingi vinaendelea.
Na wewe taja alivyofanya Magufuli
Benki kungekuwa hakuna USD mbona uchumi ungesha collapse kitambo au dukani ungekosa bidhaa .Nenda bank kama Kuna USD 😂
Kwa hiyo kabla ya Samia hajajenga vyoo vya Mkopo mlikuwa mnakunya wapi? 🤣🤣,Ziwani au vichakani? 😁😁Hata huku kijijini,
Ujenzi wa choo, Huwa hatuendi kukopa mkopo.
Iweje Serikali ijisifie kwenda kukopa Ili kujenga vyoo?
Kwa hiyo unamlalamikia Lissu akugawie maokoto!?Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo nchini ndio hoja kweli ya kuwaambia watanzania?
Hatujui hata mnakosimamia, mara maandamano, mkitoka huko mna hoja ya maisha magumu wakati Tundu Lissu ulimdai Rais Samia hela zako zote za ubunge na amekulipa, sasa hivi unakula raha tu mwenzetu maana maokoto uliyolipwa ya maana.
Tuachane na hoja hizo, ukweli ni kuwa huyo Rais ambaye analalamikiwa kuwa sio mtanganyika ndiye amefanya balaa kubwa la maendeleo hapa nchini.Hivi leo hakuna kijiji wala kata wala Tarafa wala wilaya ambazo hazina maboresho ya miradi ya elimu, kila shule ya kijiji ina miundombinu mizuri ya madarasa ukilinganisha na marais waliopita.
Rais Samia amejenga hospitali kubwa mpya za kisasa mikoani na wilayani, watoto wa Mbowe, shangazi zake, wajomba zake wanakwenda kutibiwa.
Zahanati kila kijiji zimejengwa kwa fedha za serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.Tunamtaja yeye kwa sababu ndiye mwenye serikali.Fedha hizi hazitolewi na Mnyika, wala Heche wala Lissu, ni serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Miradi ya barabara sio ya kawaida, leo Lissu unaharibu barabara iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa maandamano, kazi ya ujenzi wa barabara ilianza wakati wa awamu ya Kikwete lakini kwa sasa Dkt.Samia ameifungua nchi, leo unaweza kutembea umbali wa kilomita 2000 na usikutane na barabara ya vumbi.
Miradi ya maji imeboreshwa sana, kazi ya kumtua mama ndoo kichwani inaendelea.Rais Samia hatumii nguvu kujibizana na watu, yeye anahangaika na maisha ya watanzania, period.
Kwa kazi hiyo anayoifanya Rais Samia ya kujenga miundombinu ya elimu, afya, barabara nk unadhani utazungumza hoja gani zaidi ya ubaguzi wa kifala.
Hao wananchi unaowahutubia kwa kuwaambia unadai Tanganyika yako wanakushangaa kwa sababu hakuna hata mmoja kati ya hao unaowahutubia wanaojua jina hila limetokea wapi? Watanzania wengi hatuikubali hio hoja ya kututenganisha, sana sana tunawaona wajinga na mmeishiwa hoja.
Rais Samia, endelea kupiga kazi mama yetu, kazi ya kujenga nchi sio mchezo, ina misukosuko mingi, ina mawimni mengi, sisi wengine tunaopenda amani ya nchi itawale tutaendelea kukuunga mkono mwanzo mwisho hadi kieleweke.Kazi iendelee.
Hizo shule wakimaliza wanaelekea wapi?Nikunukuu, "Hivi leo hakuna kijiji wala kata wala Tarafa wala wilaya ambazo hazina maboresho ya miradi ya elimu, kila shule ya kijiji ina miundombinu mizuri ya madarasa ukilinganisha na marais waliopita", (mwisho wa kunukuu).
Umetembelea Vijiji gani na vingapi Tanganyika, ukakuta hiyo Miradi ya Shule?
Unachoongea ni ndoto za mchana.
Nipo Kijijini.
Katika Kata nzima ninayoishi, hakuna Mradi hata mmoja wa Samia.
Limetengwa eneo la kujenga Sekondari ya Kata, ikasemwa kwamba pesa zitakuja, na hakuna kilichokuja.
Yasemekana pesa zimeliwa Wilayani.
Na waliokula wamekula kwa urefu wa Kamba yao, ambayo ni ruksa katika Awamu ya Sita.
Hakuna anayewajibishwa.
Lakini huko Zanzibar, nimeona kwenye Vyombo vya Habari, picha ya Shule ya Msingi, yenye Ghorofa Tatu, iliyojengwa kwa Hela za Samia.
Huku Tanganyika, tumelamba GARASA.
Tumepigwa changa la macho.
CHADEMA wako sahihi.
Ndiyo sababu Chawa wa Mama wamechanganyikiwa.
Hawana majibu.
Wewe ukiwa mmojawao.
Umemaliza?
Weka hapa hiyo miradi ya geneus kuanzia 2020 Hadi 2016 tulinganishe na hii ya Samia kwenye sekta 1 tuu ya Kilimo 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C6rILxQtUMy/?igsh=Mm9ienliYnQ5bWJy
My Take: Marais wote waliopita ni akili za sisimizi hususani huyo unaemuita geneou.
Sasa ukikopa pesa ukajengea choo,Kwa hiyo kabla ya Samia hajajenga vyoo vya Mkopo mlikuwa mnakunya wapi? 🤣🤣,Ziwani au vichakani? 😁😁
Mzigua gani aunde bunduki?Elimu hii isiyokuwa na manufaa, kaangalia Dubai 1990 ilikuwa jangwa leo iko wapi? Htuwezi kukariri ujinga huo tupeni mikoa yetu tujitegemee muona tutakuwa wapi.
Mmefanya nn mpaka leo? Bunduki zipi wakati kabla ya mkoloni mpaka leo wazigua ni maarufu kwa kutengenzea bunduki , jaribu kzunguka sio kukariri. 😀 😀 Japan wapo 6G wewe na elimu yako ya kuletwa utabaki kuvaa suti kama maiti.
Yani mie huwa nawaona MAFALA wanaomsifia Samia.Unakopa fedha unajenga madarasa?
Mkopo utalipwa na madarasa?