Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe ni punguani wa mwisho.Soma hii trend hapa chini ya Wizara kuanzia mwaka 2021-2023 maana imeonesha pesa zilizotoka hapa,hakuna Wizara imepata pesa chini ya 60% 👇Nitajie wizara ambayo ilipata % 60 ya ela zote za bajet yake mwaka wa fedha uliopita
Kuanzia Mwendazake kurudi nyuma shule zilikwua hovyo hovyo tuu kidogo JK alijitahidi na Shule zake za Kata.Wakati wa Nani haukuwa na shule ?
Umewahi sikia Tanzania imeshindwa kulipa deni au imeshindwa kukopesheka? 😂😂😂😂Kweli kafanya makubwa maana hata deni limekuwa kubwa
Kuanzia Mwendazake kurudi nyuma shule zilikwua hovyo hovyo tuu kidogo JK alijitahidi na Shule zake za Kata.
Unaulizia Shule awamu ya Samia? Are you serious? 👇👇View attachment 2984325View attachment 2984327View attachment 2984329
Nyie nyumbu na wapuuzi wengine hakuna sekta unayoweza mtask Samia ukakuta ame underperform,sio sawa na wale walikuwa wanasingizia Sgr sijui madaraja.Samia amepiga kote na hakuna kisingizio au wewe umewahi msikia anasingizia kama Magufuli?
Yaani wewe ni punguani wa mwisho.Soma hii trend hapa chini ya Wizara kuanzia mwaka 2021-2023 maana imeonesha pesa zilizotoka hapa,hakuna Wizara imepata pesa chini ya 60% 👇
View attachment 2984322View attachment 2984323
Samia amejenga shule hizo za Gorofa Mikoa yote 26 ni maalumu Kwa Ajili ya Wasichana (Women Empowerment-Form 5&6)Ha ha ha ha we jamaa bwana dah
Hizo shule ziko elf ngapi? Wilayani kwako kuna shule kama hiyo?
Shule za display ndio unaweka kama za inchi mzima?
Nenda mtwara, newala, tandahimba, Lete shule za huko
Field kuko hivi ,mkalama Singida👇Haya si makaratasi Tu? Uhalisia ukoje?
Ww unaongea mambo Kwa hewani Tu
Njoo fld uone
Hakuna hizo vitu
Miradi mingapi ya wizara husika ilikuwepo kwenye bajet la year na haijafanyika
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo nchini ndio hoja kweli ya kuwaambia watanzania?
Hatujui hata mnakosimamia, mara maandamano, mkitoka huko mna hoja ya maisha magumu wakati Tundu Lissu ulimdai Rais Samia hela zako zote za ubunge na amekulipa, sasa hivi unakula raha tu mwenzetu maana maokoto uliyolipwa ya maana.
Tuachane na hoja hizo, ukweli ni kuwa huyo Rais ambaye analalamikiwa kuwa sio mtanganyika ndiye amefanya balaa kubwa la maendeleo hapa nchini.Hivi leo hakuna kijiji wala kata wala Tarafa wala wilaya ambazo hazina maboresho ya miradi ya elimu, kila shule ya kijiji ina miundombinu mizuri ya madarasa ukilinganisha na marais waliopita.
Rais Samia amejenga hospitali kubwa mpya za kisasa mikoani na wilayani, watoto wa Mbowe, shangazi zake, wajomba zake wanakwenda kutibiwa.
Zahanati kila kijiji zimejengwa kwa fedha za serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.Tunamtaja yeye kwa sababu ndiye mwenye serikali.Fedha hizi hazitolewi na Mnyika, wala Heche wala Lissu, ni serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Miradi ya barabara sio ya kawaida, leo Lissu unaharibu barabara iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa maandamano, kazi ya ujenzi wa barabara ilianza wakati wa awamu ya Kikwete lakini kwa sasa Dkt.Samia ameifungua nchi, leo unaweza kutembea umbali wa kilomita 2000 na usikutane na barabara ya vumbi.
Miradi ya maji imeboreshwa sana, kazi ya kumtua mama ndoo kichwani inaendelea.Rais Samia hatumii nguvu kujibizana na watu, yeye anahangaika na maisha ya watanzania, period.
Kwa kazi hiyo anayoifanya Rais Samia ya kujenga miundombinu ya elimu, afya, barabara nk unadhani utazungumza hoja gani zaidi ya ubaguzi wa kifala.
Hao wananchi unaowahutubia kwa kuwaambia unadai Tanganyika yako wanakushangaa kwa sababu hakuna hata mmoja kati ya hao unaowahutubia wanaojua jina hila limetokea wapi? Watanzania wengi hatuikubali hio hoja ya kututenganisha, sana sana tunawaona wajinga na mmeishiwa hoja.
Rais Samia, endelea kupiga kazi mama yetu, kazi ya kujenga nchi sio mchezo, ina misukosuko mingi, ina mawimni mengi, sisi wengine tunaopenda amani ya nchi itawale tutaendelea kukuunga mkono mwanzo mwisho hadi kieleweke.Kazi iendelee.
Kwani umeambiwa ndani ya miaka 3 Samia ataweza Jenga zahanato Kila Kijiji?Kijiji chetu hakuna Zahanati .....!!
Wewe wa wapi kwaniWabara wengi hawana uwezo wa kiakili zaidi ya kukariri masomo ya kizungu.
Tanganyika ikirudi itakusaidia nini sasa,mnajazwa akili za kifala na hao wendawazimu na nyinyi mnajaa...tupo wengi tu, ninyi magaidi ndio hamuitaki Tanganyika, ila sisi wengine, Tanganyika is just a matter of time, itarudi tu.
Wewe si umesema Zahanati kila kijiji ....!!Kwani umeambiwa ndani ya miaka 3 Samia ataweza Jenga zahanato Kila Kijiji?
Hata hivyo Kama hakuna mwaka huu wa Fedha ,mtapata zahanato kabla ya 2030 manaa mwaka ujao wa Fedha Kuna mabilioni yametengwa Kwa Ajili ya zahanati Mpya na kumalizika maboma ya Wananchi.
Wapi niliposema? Weka hapa nilisema hivyo.Wewe si umesema Zahanati kila kijiji ....!!
Zahanati kila kijiji zimejengwa kwa fedha za serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.Tunamtaja yeye kwa sababu ndiye mwenye serikali.Fedha hizi hazitolewi na Mnyika, wala Heche wala Lissu, ni serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Tukiachana na kumalizia viporo Samia amefanya nini? Labda kuuza Rasilimali za nchi hapo Sawa. Na kufunga taa za Barabarani Kwenye kila mijiChama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo nchini ndio hoja kweli ya kuwaambia watanzania?
Hatujui hata mnakosimamia, mara maandamano, mkitoka huko mna hoja ya maisha magumu wakati Tundu Lissu ulimdai Rais Samia hela zako zote za ubunge na amekulipa, sasa hivi unakula raha tu mwenzetu maana maokoto uliyolipwa ya maana.
Tuachane na hoja hizo, ukweli ni kuwa huyo Rais ambaye analalamikiwa kuwa sio mtanganyika ndiye amefanya balaa kubwa la maendeleo hapa nchini.Hivi leo hakuna kijiji wala kata wala Tarafa wala wilaya ambazo hazina maboresho ya miradi ya elimu, kila shule ya kijiji ina miundombinu mizuri ya madarasa ukilinganisha na marais waliopita.
Rais Samia amejenga hospitali kubwa mpya za kisasa mikoani na wilayani, watoto wa Mbowe, shangazi zake, wajomba zake wanakwenda kutibiwa.
Zahanati kila kijiji zimejengwa kwa fedha za serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.Tunamtaja yeye kwa sababu ndiye mwenye serikali.Fedha hizi hazitolewi na Mnyika, wala Heche wala Lissu, ni serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Miradi ya barabara sio ya kawaida, leo Lissu unaharibu barabara iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa maandamano, kazi ya ujenzi wa barabara ilianza wakati wa awamu ya Kikwete lakini kwa sasa Dkt.Samia ameifungua nchi, leo unaweza kutembea umbali wa kilomita 2000 na usikutane na barabara ya vumbi.
Miradi ya maji imeboreshwa sana, kazi ya kumtua mama ndoo kichwani inaendelea.Rais Samia hatumii nguvu kujibizana na watu, yeye anahangaika na maisha ya watanzania, period.
Kwa kazi hiyo anayoifanya Rais Samia ya kujenga miundombinu ya elimu, afya, barabara nk unadhani utazungumza hoja gani zaidi ya ubaguzi wa kifala.
Hao wananchi unaowahutubia kwa kuwaambia unadai Tanganyika yako wanakushangaa kwa sababu hakuna hata mmoja kati ya hao unaowahutubia wanaojua jina hila limetokea wapi? Watanzania wengi hatuikubali hio hoja ya kututenganisha, sana sana tunawaona wajinga na mmeishiwa hoja.
Rais Samia, endelea kupiga kazi mama yetu, kazi ya kujenga nchi sio mchezo, ina misukosuko mingi, ina mawimni mengi, sisi wengine tunaopenda amani ya nchi itawale tutaendelea kukuunga mkono mwanzo mwisho hadi kieleweke.Kazi iendelee.
hela zetu hazitakuwa zinatumikwa kwa wazanzibari, zitatumika kujenga Tanganyika, pia, hatutakuwa na mtu toka nchi za nje anayetalawa Tanganyika, tutakuwa na Rais mwenye uchungu na Tanganyika's bandari, mbuga za wanyama na maliasili zote, hatutakuwa na mtu mwenye uchungu wa nchi nyingine kama zanzibar lakini anatawala Tanganyika. tutawacharge umeme wazanzibar hawatasamehewa mamia ya mabilioni ya umeme kama walivyosamehewa, hatutagawa bandari, hatutagawa vingi. na ni muhimu sana hili manake, tukiwa na Tanganyika, aliyeingia mikataba na "tanzania" ataitafuta ilipo, kila kitu itabidi kiingiwe upya. hasa hao dp word na KIA iliyopewa kwa wajomba Oman.Tanganyika ikirudi itakusaidia nini sasa,mnajazwa akili za kifala na hao wendawazimu na nyinyi mnajaa...
Unapigania jina katika zama hizi kama siyo uchizi tuite nini sasa.
tujadili bila matusi, kwa ustaarabu tu, kama angekuwa serious, angenunua hizo mashine kidogo hivyo? unajua hela tu ya umeme ambao zanzibar wamesamehewa inatosha kununua hizo mashine ngapi, hela anayotumia kusafiri nchi za nje au niseme aliyosafiri hadi sasaivi inaweza kununua izo mashine hata zaidi ya 100? kwanini msiwe honest kwa nafsi zetu tu?Ndio maana nakwambia wewe ni punguani kama sio mpumbavu.Wakati unasali ni chache hakuna hata Mkoa mmja ulikuwa na hivyo vifaa kabla ya 2021.Kama ni bei chee why hawakununua?
Nikikuita punguani nitakuwa nimekosea? Bei za hivyo vifaa ninzaodinya Bilioni 3 CT Scan 1 ,Zaidi ya Bil.6 MRI na Kwa taarifa Yako tuu amenunua Digita X rays Kwa hospital zote za Wilaya ,hivyo vifaa mlikuwa mnavipata hospital chache sana hapa Tanzania.
Usirudie tena kumlinganisha Samia na wajinga mliozoea maneno badala ya kazi.