Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makubwa!?? Ulojo unalevyaChama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo nchini ndio hoja kweli ya kuwaambia watanzania?
Hatujui hata mnakosimamia, mara maandamano, mkitoka huko mna hoja ya maisha magumu wakati Tundu Lissu ulimdai Rais Samia hela zako zote za ubunge na amekulipa, sasa hivi unakula raha tu mwenzetu maana maokoto uliyolipwa ya maana.
Tuachane na hoja hizo, ukweli ni kuwa huyo Rais ambaye analalamikiwa kuwa sio mtanganyika ndiye amefanya balaa kubwa la maendeleo hapa nchini.Hivi leo hakuna kijiji wala kata wala Tarafa wala wilaya ambazo hazina maboresho ya miradi ya elimu, kila shule ya kijiji ina miundombinu mizuri ya madarasa ukilinganisha na marais waliopita.
Rais Samia amejenga hospitali kubwa mpya za kisasa mikoani na wilayani, watoto wa Mbowe, shangazi zake, wajomba zake wanakwenda kutibiwa.
Zahanati kila kijiji zimejengwa kwa fedha za serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.Tunamtaja yeye kwa sababu ndiye mwenye serikali.Fedha hizi hazitolewi na Mnyika, wala Heche wala Lissu, ni serikali ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Miradi ya barabara sio ya kawaida, leo Lissu unaharibu barabara iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa maandamano, kazi ya ujenzi wa barabara ilianza wakati wa awamu ya Kikwete lakini kwa sasa Dkt.Samia ameifungua nchi, leo unaweza kutembea umbali wa kilomita 2000 na usikutane na barabara ya vumbi.
Miradi ya maji imeboreshwa sana, kazi ya kumtua mama ndoo kichwani inaendelea.Rais Samia hatumii nguvu kujibizana na watu, yeye anahangaika na maisha ya watanzania, period.
Kwa kazi hiyo anayoifanya Rais Samia ya kujenga miundombinu ya elimu, afya, barabara nk unadhani utazungumza hoja gani zaidi ya ubaguzi wa kifala.
Hao wananchi unaowahutubia kwa kuwaambia unadai Tanganyika yako wanakushangaa kwa sababu hakuna hata mmoja kati ya hao unaowahutubia wanaojua jina hila limetokea wapi? Watanzania wengi hatuikubali hio hoja ya kututenganisha, sana sana tunawaona wajinga na mmeishiwa hoja.
Rais Samia, endelea kupiga kazi mama yetu, kazi ya kujenga nchi sio mchezo, ina misukosuko mingi, ina mawimni mengi, sisi wengine tunaopenda amani ya nchi itawale tutaendelea kukuunga mkono mwanzo mwisho hadi kieleweke.Kazi iendelee.
Ha ha haaaaaaaaaa. Ni kweli Hamijee muuza ugolo, upo sahihiWewe Kwa ujinga wako unadhani Rais yupi anaweza mfikia Samia? Au unadhani Kila mtu ni mbumbumbu kama wewe?
Sio tuu Niko sahihi Bali ni zaidi ya sahihiHa ha haaaaaaaaaa. Ni kweli Hamijee muuza ugolo, upo sahihi
Haya ndio mambo ya Samia 👇👇Makubwa!?? Ulojo unalevya
Kwa taarifa yako, hiyo ndio ilikuwa mipangao ya Magufuli. Na mara nyingi alikuwa akisema ataifanya Tanzania iwe inchi ya kiutalii kwa matibabu.Nyie punguani hivi mnaishi Dunia gani?
Tuanze na Afya
-Amejenga Hospital za Wilaya zote Tanzania (127 Mpya) na kumalizika zile zilizoanzishwa na Mwendazake
-Amejenga Vituo vya Afya zaidi ya 360
-Amejenga Hospital za Mkoa Mpya 5(Shy,Songea, Ukerewe,Rukwa,Mbagala)
-Ameweka MRIMachines 13
-Amenunua CT scans 26
-Amejenga Majengo ya Dharura Hospital zote za Wilaya,Mkoa na Vituo vya Afya
-Amenunua magari ya Wagonjwa 700
-Amenunua Vifaa tiba kushinda Rais mwingine yeyote hapa Tanzania
-Ameajiri maelfu ya Watumishi kwenye sekta ya Afya
-Anajenga hospital ya Rufaa ya Knada ya Magharibi-Kigoma na Kanda ya Ziwa Ukerewe
-Amemaliza Hospital zote ambazo Mwendazake alishindwa
View attachment 2984225View attachment 2984226View attachment 2984227
Vyote hivyo havikuwepo kabla ya 2021-2023 ,na vingine vingi vinaendelea.
Na wewe taja alivyofanya Magufuli
Mipango sio matumizi ndio maana alishindwa kufanya Kwa Ukubwa anafanya Samia.Kwa taarifa yako, hiyo ndio ilikuwa mipangao ya Magufuli. Na mara nyingi alikuwa akisema ataifanya Tanzania iwe inchi ya kiutalii kwa matibabu.
Hayo yote ni mipango ya Magufuli.
Yeye katumia pesa za covid19 alizopewa na wazungu kujenga hayo madarasa, ambayo Rais wa Zanzibar alisema wao hawawezi kujenga mabanda.
Hivyo yeye kawajengea mabanda watoto wa Tanganyika
OK! Kumbe unakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na mipango.Mipango sio matumizi ndio maana alishindwa kufanya Kwa Ukubwa anafanya Samia.
Magufuli hajui kutafuta hela zaidi ya kuharibu mirija ya hela.
Mwisho kati ya vyote alivyofanya Magufuli,kipi hakikuwepo kwenye Mpango wa maendeleo ya Tanzania 2025? Yaani Vision ya Nchi? Labda bwawa la Nyerere tuu.
Mipango sio matumizi.Hakuna kitu kinafanyika bila mipango.Kuhamia Dom ni mipango ya enzi za Nyerere ila hakuweka priority kama Magufuli.OK! Kumbe unakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na mipango?
Kilifanyika ni mipango haukutekelezeka kwa sababu ya kifo?
Kuna wadau wameuliza ni mipango ipi aliyoisisi Samia na akatekeleza?
Mpango mwingine huu hapa,by 2034 Hakuna mtu atatumia Kuni Wala MkaaOK! Kumbe unakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na mipango.
Kilifanyika ni mipango haukutekelezeka kwa sababu ya kifo.
Kuna wadau wameuliza ni mipango ipi aliyoisisi Samia na akatekeleza?
Mipango sio matumizi.Hakuna kitu kinafanyika bila mipango.Kuhamia Dom ni mipango ya enzi za Nyerere ila hakuweka priority kama Magufuli.
Kuweka Huduma za Afya na Uchumi ni mipango ipo ila wengine hawakuweka priority kama Samia.
Mwisho Samia ameteleza mipango yote Kwa ufanisi zaidi kushinda Rais mwingine yeyote tena kwenye sekta ambazo zilikuwa neglected kama Kilimo ndio maana Kuna vision 10/30.
Kazi zinaongea👇👇
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1787884439248277596?t=837uoqefowD3lGJAAouSFQ&s=19
Mwisho wengine waliasisi mipango gani ambayo haikuwepo Serikalini? Tuanze na Magufuli.
Hizo shule zote zilijengwa na mtangulizi wake na aliondoka zikiwa kwenye hatua mbalimbali kamalizia halafu anajitapa amejenga!!!!Ni Samia ndio amefanya Mageuzi makubwa ya Elimu , wengine vipaombele vyao ilikuwa ni madaraja huku wakiendelea kuwaacha na ujinga wenu kichwani.
Kwa Samia Hilo ni historia,uelekeo ni Elimu ujuzi na wewe unajua kwamba amefanya Mageuzi ya mitaala na Sasa kazi ya utekelezwaji imeanza.
Hakuna mtoto wa Tanzania atamaliza ngazi yeyote ya Elimu awe hajui skills yeyote View attachment 2984262View attachment 2984263
Kwa mfano wako basi Fieldmashal John Okello alistahili kuwa rais wa Zanzibar, kwani ndiye aliyeongoza mapambano uwanjani mpaka Zanzibar ikakombolewa.Nyie punguani hivi mnaishi Dunia gani?
Tuanze na Afya
-Amejenga Hospital za Wilaya zote Tanzania (127 Mpya) na kumalizika zile zilizoanzishwa na Mwendazake
-Amejenga Vituo vya Afya zaidi ya 360
-Amejenga Hospital za Mkoa Mpya 5(Shy,Songea, Ukerewe,Rukwa,Mbagala)
-Ameweka MRIMachines 13
-Amenunua CT scans 26
-Amejenga Majengo ya Dharura Hospital zote za Wilaya,Mkoa na Vituo vya Afya
-Amenunua magari ya Wagonjwa 700
-Amenunua Vifaa tiba kushinda Rais mwingine yeyote hapa Tanzania
-Ameajiri maelfu ya Watumishi kwenye sekta ya Afya
-Anajenga hospital ya Rufaa ya Knada ya Magharibi-Kigoma na Kanda ya Ziwa Ukerewe
-Amemaliza Hospital zote ambazo Mwendazake alishindwa
View attachment 2984225View attachment 2984226View attachment 2984227
Vyote hivyo havikuwepo kabla ya 2021-2023 ,na vingine vingi vinaendelea.
Na wewe taja alivyofanya Magufuli
Wewe Kwa ujinga wako unadhani Rais yupi anaweza mfikia Samia? Au unadhani Kila mtu ni mbumbumbu kama wewe?
View: https://twitter.com/MwanzoTvPlus/status/1788173838942937090?t=sOGjwdBA7iPTzPH1X3tHNQ&s=19

Rais yupi wa kumfikia Samia iwe Kwa kazi au maandamano.Wwe ni mpuuzi tu,nani aliyekwambia watu wanakula maandamano?Sio Watanganyika wote ni wanasiasa hii nchi inamatabaka mengi, Sio wote wanapendelea Siasa,kuna wakulima jana nilikwenda sehemu kuuliza kilo ya mbolea aina ya Yurea kwa ajili ya maindi yangu naambiwa kilo moja 7000 tena unauziwa kama unauziwa bangi, wakati mda sio mrefu tulikuwa tunanunua kilo sh2000,Samia kahamua kutembea na wafanyabiashara na wanasiasa,nchi hii Sasahivi bila rushwa hautoboi,uduma zimekuwa mbovu kwa wanyonge.Wafanybiasha wanauza vitu bei wanayotaka wao na hakuna wa kuwakemea kama hakuna Serikali.Samia ni janga la taifa basi tu watanganyika hatuna cha kufanya.
Mada ni Samia sio John Okello.Kwa mfano wako basi Fieldmashal John Okello alistahili kuwa rais wa Zanzibar, kwani ndiye aliyeongoza mapambano uwanjani mpaka Zanzibar ikakombolewa.
Nimekuuliza hapa Mipango.ya Magufuli ni ipi hiyo unayosema Bora? Na Kwa nini yeye hakifikia hayo Malengo badala yake Samia alofikia?Hauko mbali na mimi.
Umeamini mtu mwenye mipango bora hufikia malengo.
Na mtu asiye na mipango kamwe kuyafikia malengo.
Apewe kongole zake Mgufuli kwa mipango iliyoleta hayo unayoyaona.
Kauli zake kwa wakulima za kusema Tanzania inaweza kulisha mataifa mengine ndio hizo takwimu ulizoziweka.
Ukisema amefanya makubwa kuliko maraisi wote, unakosea sana. 😡Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo nchini ndio hoja kweli ya kuwaambia watanzania?