Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

Makubwa!?? Ulojo unalevya
 
Kwa taarifa yako, hiyo ndio ilikuwa mipangao ya Magufuli. Na mara nyingi alikuwa akisema ataifanya Tanzania iwe inchi ya kiutalii kwa matibabu.
Hayo yote ni mipango ya Magufuli.
Yeye katumia pesa za covid19 alizopewa na wazungu kujenga hayo madarasa, ambayo Rais wa Zanzibar alisema wao hawawezi kujenga mabanda.
Hivyo yeye kawajengea mabanda watoto wa Tanganyika
 
Mipango sio matumizi ndio maana alishindwa kufanya Kwa Ukubwa anafanya Samia.

Magufuli hajui kutafuta hela zaidi ya kuharibu mirija ya hela.

Kati ya vyote alivyofanya Magufuli,kipi hakikuwepo kwenye Mpango wa maendeleo ya Tanzania 2025? Yaani Vision ya Nchi? Labda bwawa la Nyerere tuu.

Mwisho hii 2T inayoendelea kujenga maelfu ya Shule Inatoka kwenye covid ya mwaka gani? πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1788118738409001004?t=Cx73MF0kr-tVDSCQar6dfg&s=19
 
OK! Kumbe unakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na mipango.
Kilifanyika ni mipango haukutekelezeka kwa sababu ya kifo.
Kuna wadau wameuliza ni mipango ipi aliyoisisi Samia na akatekeleza?
 
OK! Kumbe unakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na mipango?
Kilifanyika ni mipango haukutekelezeka kwa sababu ya kifo?
Kuna wadau wameuliza ni mipango ipi aliyoisisi Samia na akatekeleza?
Mipango sio matumizi.Hakuna kitu kinafanyika bila mipango.Kuhamia Dom ni mipango ya enzi za Nyerere ila hakuweka priority kama Magufuli.

Kuweka Huduma za Afya na Uchumi ni mipango ipo ila wengine hawakuweka priority kama Samia.

Mwisho Samia ameteleza mipango yote Kwa ufanisi zaidi kushinda Rais mwingine yeyote tena kwenye sekta ambazo zilikuwa neglected kama Kilimo ndio maana Kuna vision 10/30.

Kazi zinaongeaπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1787884439248277596?t=837uoqefowD3lGJAAouSFQ&s=19
Mwisho wengine waliasisi mipango gani ambayo haikuwepo Serikalini? Tuanze na Magufuli.
 
OK! Kumbe unakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na mipango.
Kilifanyika ni mipango haukutekelezeka kwa sababu ya kifo.
Kuna wadau wameuliza ni mipango ipi aliyoisisi Samia na akatekeleza?
Mpango mwingine huu hapa,by 2034 Hakuna mtu atatumia Kuni Wala Mkaa

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1788173491004486112?t=xPgvKct6eBLFK1y-RVFxxg&s=19
Utekelezwaji umeanza kama ifuatavyo πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/millardayo/status/1788192923839778974?t=y2ijpgOwq0nrYtnFZxa_FA&s=19
 
Hauko mbali na mimi.
Umeamini mtu mwenye mipango bora hufikia malengo.
Na mtu asiye na mipango kamwe kuyafikia malengo.
Apewe kongole zake Mgufuli kwa mipango iliyoleta hayo unayoyaona.
Kauli zake kwa wakulima za kusema Tanzania inaweza kulisha mataifa mengine ndio hizo takwimu ulizoziweka.
 
Hizo shule zote zilijengwa na mtangulizi wake na aliondoka zikiwa kwenye hatua mbalimbali kamalizia halafu anajitapa amejenga!!!!
 
Kwa mfano wako basi Fieldmashal John Okello alistahili kuwa rais wa Zanzibar, kwani ndiye aliyeongoza mapambano uwanjani mpaka Zanzibar ikakombolewa.
 
Niggaz believe in the government more than they believe in theyselves.
 
Nilifikiri ningekuta "reference" kwa hayo makubwa aliyofanya Samia ila nimekuta maneno matupu.
 
Wewe Kwa ujinga wako unadhani Rais yupi anaweza mfikia Samia? Au unadhani Kila mtu ni mbumbumbu kama wewe?

View: https://twitter.com/MwanzoTvPlus/status/1788173838942937090?t=sOGjwdBA7iPTzPH1X3tHNQ&s=19
Wwe ni mpuuzi tu,nani aliyekwambia watu wanakula maandamano?Sio Watanganyika wote ni wanasiasa hii nchi inamatabaka mengi, Sio wote wanapendelea Siasa,kuna wakulima jana nilikwenda sehemu kuuliza kilo ya mbolea aina ya Yurea kwa ajili ya maindi yangu naambiwa kilo moja 7000 tena unauziwa kama unauziwa bangi, wakati mda sio mrefu tulikuwa tunanunua kilo sh2000,Samia kahamua kutembea na wafanyabiashara na wanasiasa,nchi hii Sasahivi bila rushwa hautoboi,uduma zimekuwa mbovu kwa wanyonge.Wafanybiasha wanauza vitu bei wanayotaka wao na hakuna wa kuwakemea kama hakuna Serikali.Samia ni janga la taifa basi tu watanganyika hatuna cha kufanya.
Wewe Kwa ujinga wako unadhani Rais yupi anaweza mfikia Samia? Au unadhani Kila mtu ni mbumbumbu kama wewe?

View: https://twitter.com/MwanzoTvPlus/status/1788173838942937090?t=sOGjwdBA7iPTzPH1X3tHNQ&s=19
 
Rais yupi wa kumfikia Samia iwe Kwa kazi au maandamano.

Kwenu wapi huko ambako mbolea kilo 7,000 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.Kwa akili Yako ndogo tuu hujiuliza Kwa nini uzalishaji wa mazao Umeongezeka mara 2 zaidi ya miaka iliyopita kama mbolea ni bei ghali hivyo?

Kwa nini huo uzalishaji haikuwa mkubwa kabla ya Samia wakati mnanunua kilo ya mbolea buku au jero? πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/KilimoForum/status/1785972371997815102?t=cTEQsoG5bU54G-yZdryX_Q&s=19
 
Nimekuuliza hapa Mipango.ya Magufuli ni ipi hiyo unayosema Bora? Na Kwa nini yeye hakifikia hayo Malengo badala yake Samia alofikia?

Uliwahi msikia Magufuli anazungumzia kilimo.achilia mbali kutenga Bajeti?

Uliwahi msikia Magufuli anazungumzia uwekezaji achilia mbali kuvutia wawekezaji na Biashara?

Uliwahi msikia Magufuli anazungumzia Ajira achilia mbali Kuajiri?

Uliwahi msikia anazungumzia mamabo ya uvuvi au mifugo?

Uliwahi msikia anazungumzia

Huna hata aibu kumtaja,ona mfano mmja wa aibu hapa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C6hR1-ktT7i/?igsh=amViZTh2dXEzMzdm
Mazao ya Kilimo.yanachuana na Madini Kuingizia pesa za Kigeni

View: https://www.instagram.com/reel/C6oImMHtn5E/?igsh=MWp5dTl3a3FkZDI3eQ==
 
Ukisema amefanya makubwa kuliko maraisi wote, unakosea sana. 😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…