Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
hawa CHADEMA ni tatizo sanaMwalimu nyerere alijitajia maadui wa3 wa Taifa.
1. Maradhi
2. Umasikini
3. Ujinga.
Naona ni wakati sasa Serikali itangaze wazi kua no. 4 Ni CHADEMA
Ili kila mtu ajue
Lini Chadema wamemsema Kikwete kwenye mikutano yao ? Hii Chadema inawatesa sana majizi ya kura. Samia amemzidi Magufuli kwa ukatili, Magufuli aliua makumi lakini Samia ameua makumi ya maelfu.Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani
Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani.
Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane.
Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto .
Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima
Lakini leo hii CHADEMA kwa kushirikiana na vijana wa hovyo kama Mange Kimambi, Recho Dangwa na wengine hawaachi kumtukana Kikwete kila siku.
Magufuli aliyetesa CHADEMA , Magufuli aliyefuta kabisa upinzani kwa hila zake leo hii huwasikii CHADEMA wakimsema vibaya mbele za umma kwa kuwaogopa wananchi.
Sasa Rais Samia please chukua somo kupitia viongozi hawa wawili waliopita.
CHADEMA inapaswa wanyooshwe kweli kweli bila kuonewa huruma kila wanapopinda.
Bora umri wako uende umalize "MP" tu.Unakuwa mjingamjinga hadi unaonekana ni "nokoa" wa kike wa mamwinyi wa pwani.Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani
Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani.
Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane.
Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto .
Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima
Lakini leo hii CHADEMA kwa kushirikiana na vijana wa hovyo kama Mange Kimambi, Recho Dangwa na wengine hawaachi kumtukana Kikwete kila siku.
Magufuli aliyetesa CHADEMA , Magufuli aliyefuta kabisa upinzani kwa hila zake leo hii huwasikii CHADEMA wakimsema vibaya mbele za umma kwa kuwaogopa wananchi.
Sasa Rais Samia please chukua somo kupitia viongozi hawa wawili waliopita.
CHADEMA inapaswa wanyooshwe kweli kweli bila kuonewa huruma kila wanapopinda.
CHADEMA inawafanya majizi CCM kujikuna upele uliowatoka katikati ya misamba yao.CHADEMA ni kiboko!Napenda tuendelee hivihivi hadi kieleweke.Mwalimu nyerere alijitajia maadui wa3 wa Taifa.
1. Maradhi
2. Umasikini
3. Ujinga.
Naona ni wakati sasa Serikali itangaze wazi kua no. 4 Ni CHADEMA
Ili kila mtu ajue
Mkwere hajawahi kuipa favor CHADEMA bali tofauti ni kwamba hakuwa katili kama Jiwe, hakuna mtu yoyote wa opposition regardless the party ambaye anamtetea au hakumpinga Jiwe. Mkwere kushambuliwa muda huu anastahili kwani ndiye aneyeiharibu nchi currently, kila siku anaposhambuliwa Jiwe nyie wenyewe ndiyo hukimbilia kusema eti mnamshambulia marehemu kwa kuwa hawezi kujitetea sasa acha aendelee kushambuliwa aliye hai ili kama ana la kujitetea ajitetee tuone.Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani
Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani.
Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane.
Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto .
Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima
Lakini leo hii CHADEMA kwa kushirikiana na vijana wa hovyo kama Mange Kimambi, Recho Dangwa na wengine hawaachi kumtukana Kikwete kila siku.
Magufuli aliyetesa CHADEMA , Magufuli aliyefuta kabisa upinzani kwa hila zake leo hii huwasikii CHADEMA wakimsema vibaya mbele za umma kwa kuwaogopa wananchi.
Sasa Rais Samia please chukua somo kupitia viongozi hawa wawili waliopita.
CHADEMA inapaswa wanyooshwe kweli kweli bila kuonewa huruma kila wanapopinda.
Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani

CHADEMA inapaswa wanyooshwe kweli kweli bila kuonewa huruma kila
CHADEMA wameshapita level za kumpetipeti mtu kwa sababu anawachekea, chadema wako kwenye level ya kudeal na mambo ya kitaifa zaidi. Kama wewe umeshindwa kucontrol ufisadi hata uwaonyeshe gego la mwisho wataruka na wewe tu. Wanamponda kikwete kwa sababu alishindwa kudeal na mafisadi alikuwa na urais wa kujishowshow tu bila kuwagusa wanyonge. Magu pamoja na udikteta wake hakucheka na nyani na mambo yake ya kusimamia huduma za jamii kwa kucha lazima kila mtu amkumbuke. Samia pamoja na kumwaga damu za raia angekuwa strong kudeal na mafisadi na kustabilise uchumi wa nchi chadema wangekosa hoja.Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani
Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani.
Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane.
Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto .
Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima
Lakini leo hii CHADEMA kwa kushirikiana na vijana wa hovyo kama Mange Kimambi, Recho Dangwa na wengine hawaachi kumtukana Kikwete kila siku.
Magufuli aliyetesa CHADEMA , Magufuli aliyefuta kabisa upinzani kwa hila zake leo hii huwasikii CHADEMA wakimsema vibaya mbele za umma kwa kuwaogopa wananchi.
Sasa Rais Samia please chukua somo kupitia viongozi hawa wawili waliopita.
CHADEMA inapaswa wanyooshwe kweli kweli bila kuonewa huruma kila wanapopinda.
CHADEMA wakinyooshwa ndio mashimo ya barabara zetu yatatoweka!!Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani
Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani.
Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane.
Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto .
Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima
Lakini leo hii CHADEMA kwa kushirikiana na vijana wa hovyo kama Mange Kimambi, Recho Dangwa na wengine hawaachi kumtukana Kikwete kila siku.
Magufuli aliyetesa CHADEMA , Magufuli aliyefuta kabisa upinzani kwa hila zake leo hii huwasikii CHADEMA wakimsema vibaya mbele za umma kwa kuwaogopa wananchi.
Sasa Rais Samia please chukua somo kupitia viongozi hawa wawili waliopita.
CHADEMA inapaswa wanyooshwe kweli kweli bila kuonewa huruma kila wanapopinda.
Samahani kamanda, kwani upo hai?!!! Maana kwa maneno haya ni dhahiri Kuna tatizo mahali.Lini Chadema wamemsema Kikwete kwenye mikutano yao ? Hii Chadema inawatesa sana majizi ya kura. Samia amemzidi Magufuli kwa ukatili, Magufuli aliua makumi lakini Samia ameua makumi ya maelfu.
Samia ni mkosi kwa watanzania mpaka 2030 atakuwa amechoka au hata kuachia njiani.Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani
Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani.
Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane.
Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto .
Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima
Lakini leo hii CHADEMA kwa kushirikiana na vijana wa hovyo kama Mange Kimambi, Recho Dangwa na wengine hawaachi kumtukana Kikwete kila siku.
Magufuli aliyetesa CHADEMA , Magufuli aliyefuta kabisa upinzani kwa hila zake leo hii huwasikii CHADEMA wakimsema vibaya mbele za umma kwa kuwaogopa wananchi.
Sasa Rais Samia please chukua somo kupitia viongozi hawa wawili waliopita.
CHADEMA inapaswa wanyooshwe kweli kweli bila kuonewa huruma kila wanapopinda.
Naandika nafuta naandika nafuta naandika nafuta ila kwa kifupi wewe ni k inayonukaRais Kikwete alikula pamoja na wapinzani
Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani.
Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane.
Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto .
Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima
Lakini leo hii CHADEMA kwa kushirikiana na vijana wa hovyo kama Mange Kimambi, Recho Dangwa na wengine hawaachi kumtukana Kikwete kila siku.
Magufuli aliyetesa CHADEMA , Magufuli aliyefuta kabisa upinzani kwa hila zake leo hii huwasikii CHADEMA wakimsema vibaya mbele za umma kwa kuwaogopa wananchi.
Sasa Rais Samia please chukua somo kupitia viongozi hawa wawili waliopita.
CHADEMA inapaswa wanyooshwe kweli kweli bila kuonewa huruma kila wanapopinda.
Mamamae we, jpm mlimpa muda wa kufanya kazi Wala hamkumsumbua na maandamano yenu ya kingese. Huyo bwana wenu lissu alinusurika kabisa kuigawa lakini Wala hamkutukana. Mna shida nyingine tunayoijua ila kwa heshima ya jukwaa tunakaa kimya tu.CHADEMA wameshapita level za kumpetipeti mtu kwa sababu anawachekea, chadema wako kwenye level ya kudeal na mambo ya kitaifa zaidi. Kama wewe umeshindwa kucontrol ufisadi hata uwaonyeshe gego la mwisho wataruka na wewe tu. Wanamponda kikwete kwa sababu alishindwa kudeal na mafisadi alikuwa na urais wa kujishowshow tu bila kuwagusa wanyonge. Magu pamoja na udikteta wake hakucheka na nyani na mambo yake ya kusimamia huduma za jamii kwa kucha lazima kila mtu amkumbuke. Samia pamoja na kumwaga damu za raia angekuwa strong kudeal na mafisadi na kustabilise uchumi wa nchi chadema wangekosa hoja.