Rais Samia angalia sana, hawa CHADEMA watakulipa malipo waliyomlipa Dr. Kikwete, Rais Mstaafu

Mamamae we, jpm mlimpa muda wa kufanya kazi Wala hamkumsumbua na maandamano yenu ya kingese. Huyo bwana wenu lissu alinusurika kabisa kuigawa lakini Wala hamkutukana. Mna shida nyingine tunayoijua ila kwa heshima ya jukwaa tunakaa kimya tu.
Wewe ni mzanzibar au mwislamu au vyote kwa pamoja? Maana wengi wa wazanzibar sasa hivi mmekuwa wajinga mno.
 
Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani
Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani.
Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane.
Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto .
Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima
Lakini leo hii CHADEMA kwa kushirikiana na vijana wa hovyo kama Mange Kimambi, Recho Dangwa na wengine hawaachi kumtukana Kikwete kila siku.

Magufuli aliyetesa CHADEMA , Magufuli aliyefuta kabisa upinzani kwa hila zake leo hii huwasikii CHADEMA wakimsema vibaya mbele za umma kwa kuwaogopa wananchi.
Sasa Rais Samia please chukua somo kupitia viongozi hawa wawili waliopita.
CHADEMA inapaswa wanyooshwe kweli kweli bila kuonewa huruma kila wanapopinda.
Weye ndiye unamwingiza chocho siyo
 
Wewe ni mzanzibar au mwislamu au vyote kwa pamoja? Maana wengi wa wazanzibar sasa hivi mmekuwa wajinga mno.
Mbona umeikwepa hoja!! Je, mlimsumbua jpm licha ya jamaa yenu kutaka kuuawa mchana kweupee?!! Mngekuwa vile kama lile lingetokea wakati huu wa Samia?!!!! Thubutuuu! Mngechangishana kwa nguvu zote Kisha kukimbilia ulaya na marekani kushitaki Huku hapa Kila siku mkiitisha maandamano.
 
Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani
Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani.
Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane.
Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto .
Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima
Lakini leo hii CHADEMA kwa kushirikiana na vijana wa hovyo kama Mange Kimambi, Recho Dangwa na wengine hawaachi kumtukana Kikwete kila siku.

Magufuli aliyetesa CHADEMA , Magufuli aliyefuta kabisa upinzani kwa hila zake leo hii huwasikii CHADEMA wakimsema vibaya mbele za umma kwa kuwaogopa wananchi.
Sasa Rais Samia please chukua somo kupitia viongozi hawa wawili waliopita.
CHADEMA inapaswa wanyooshwe kweli kweli bila kuonewa huruma kila wanapopinda.
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
 
Mbona umeikwepa hoja!! Je, mlimsumbua jpm licha ya jamaa yenu kutaka kuuawa mchana kweupee?!! Mngekuwa vile kama lile lingetokea wakati huu wa Samia?!!!! Thubutuuu! Mngechangishana kwa nguvu zote Kisha kukimbilia ulaya na marekani kushitaki Huku hapa Kila siku mkiitisha maandamano.
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
 
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
Sema tu Samia, kama mnavyoelekezwa na chadema yenu na kitima......Wala hakuna shida; ya nini' uokarifishe nafsi Yako?!!
 
Al qaida hawakupi hata nafasi ya kuropoka kama hivi
 
Back
Top Bottom