Rais Samia angalia wajanja wasikuingize mjini

Vitabu vya historia ya Tanzania vilivyoandikwa wakati wa Nyerere vimeharibu sana bongo za watanzania.Kila anapoingia mtu mwenye asili ya uarabu inakuwa nongwa sana.Mitambo ya dOwans ilipogundulika kuna hisa za mwarabu ikawa mibaya lakini alipoinunua mzungu ikasifiwa ni mizuri.
Uhalisia wa historia na ushahidi wa kila hali waarabu ni wenyeji wa Afrika na Tanzania na ndio waanzilishi wa miradi mingi ya kiuchumi ya kibiashara na kilimo kabla ya wengine kupata utaalamu huo na kuchukua ujanja kutoka kwao.
Ukweli mwengine ni kuwa hao waarabu wa Dubai na mashariki ya kati wa sasa wengi waokimila ni wazungu zaidi.Ndio hao hao wanaonunua timu za mpira na kufanya mambo mengine ya shari kama wanayofanya wazungu.vile vile unaweza ukampata mmoja akawa ni mzuri sana asiye na khiyana yoyote lakini ukashindwa kushirikiana naye kwa hofu tu iliyopandikizwa na wahafidhina wa Nyerere ambao inashangaza wakifa wazee wanarihiwa na watoto wao.
 
Mwarabu anavyomtreat mzungu sio sawa na amavyo m treat mwafrica
Jambo la pili waarabu wako too tricky nimefanya nao kazi zaidi ya miaka 15 nawajua vizuri mambo yao hayajanyooka hasa ao waarabu wa Dubai huwa wana calculate risk kwao tuu sio kwako

Pia wakipata wanachokitaka hukimbia mail Mia na kukuacha solemba

Hivyo Rais asichukulie poa hili swala ni linahitaji umakini mkubwa
 
Hao wote uliowataja baadhi wamehongwa tayari pesa hasa huyo bibi wa bungeni hawana ubavu wowote
 
Hao wote uliowataja baadhi wamehongwa tayari pesa hasa huyo bibi wa bungeni hawana ubavu wowote
Kimsingi wanaweza kurudi kinyume nyume tulia yuko smart kwenye mikataba awepo tuu akiona tunapotea anamtonya mama tunasepa na mpunga tayari umepigwa
 
ushauri mzuri lakin tumeshachelewa pakubwa Sanaa Tena mnoo. nchi imeuzwa kijinga sanaaa
 
Mayalla yuko vizuri financially anakunja pesa nyingi zaidi ya DC
Kitu pekee kwa Pascal ni mkweli
Jamea anapenda ukweli na amenyooka
Pia ni mwanasheri
Media personnel
Na political analyst
Anatakiwa awepo kwenye hii timu
Hata betina ni mwanasheria
 
Umeandika wivu mtupu. Wabunge wamepelekewa azimio na wamelifanyia kazi. Hayo mambo ya waarabu wa Dubai na wale waafrika ni maneno ya kike, ni kulia wivu, kulia chuki na kulia hasira.

Uwekezaji utakuja na kuzifaidisha pande mbili zote. Walioamua kujenga SGR waliona mbali kwamba ipo siku utafanyika uwekezaji mkubwa kulingana na mahitaji ya usafiri mzima wa reli.

Kama Kenya kapoteza fursa ya kiuchumi na anakwenda kuburuzwa na Tanzania hayo ni matatizo yenu ya ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…