luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Waneingia dar kwa mbwembww na ndiga zao nyeusi kama wanaenda msibani.It's too late now, Waarabu washachukua tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waneingia dar kwa mbwembww na ndiga zao nyeusi kama wanaenda msibani.It's too late now, Waarabu washachukua tayari.
Vitabu vya historia ya Tanzania vilivyoandikwa wakati wa Nyerere vimeharibu sana bongo za watanzania.Kila anapoingia mtu mwenye asili ya uarabu inakuwa nongwa sana.Mitambo ya dOwans ilipogundulika kuna hisa za mwarabu ikawa mibaya lakini alipoinunua mzungu ikasifiwa ni mizuri.Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari.
Dp World anaweza kuiajiri TICC iliyofeli kama sub contract akaendelea kula cha juu. Akili za waarabu haziaminiki sometimes
Sekta ya bandari ndio sekta inayobeba uchumi mkubwa wa dunia pia ndio sekta yenye matapeli wakubwa mithili ya nyangumi wasio na huruma. Watu hao hutafuta upenyo wa dili moja tuu la matrilion kisha hupiga pakubwa na kupumzika
Sasa kwenye mkataba wa makubaliano uliyompa ridhaa Prof. Mbarawa ku sain kuna udhaifu ambao wachache tumegundua.
Kwanza Tanzania imekubali kuwa inferior kwa Dubai na wakati Tanzania ndio host region na owner wa rasilimali. Uo mkataba wa awali ulitakiwa uoneshe authority na muscles za Tanzania sababu DP World hana anachomiliki zaidi ya technology ambayo kimsingi sio yeye pekee kwenye hii dunian. Kitendo cha framework kuja bila time frame, requirements wala dissolution ni kuonesha waziri wako na timu yake walifeli kwenye bargaining power. Pia imeonesha sehemu kubwa imekubaliwa na waarabu wa Dubai na ni sehemu ndogo tuu ya huo mkataba ndio imekubaliwa na Tanzania
Unaweza ukawa msomi sana kama Prof. Mbarawa ila huna exposure.
Waliokushauri ulete azimio bungeni huenda wakawa wamekupoteza sababu kwa azimio hilo huwezi kurudi kunyume nyume lazima tuu ukubaliane na DP World sasa kama hukumalizana nao ndio umeingia chaka wataalamu wako watakuwa wamekupoteza na hutaweza kukubali kuwapa advantage wapinzani kwa kufuta azimio.
Angalizo. Waarabu wa Dubai wanawaona waarabu wa Africa sio waarabu bali ni waafrica. Na kwa asili Mwarabu akipata hapokei simu
Sasa ukianza kupiga simu Dubai hawapokei usishangae
Sasa tega na tegua uo mtego kwa tahadhari. Mbarawa pekeyake atakuangusha ongeza timu kwenye hili swala Chukua vichwa hivi
Mwanasheria mkuu wa serikali
Prof kabudi
Chenge
Gwajima
Masaju
Pascal Mayala
Tulia - awe ana backup
Ccm 3
Tiss 3
Ofisi yako 3
Wachumi 2 nje ya wizara
Ma engineer 3
Independent harbour operator consultants 2
Yaani na wewe uwe muuni
Ili wakileta za kuleta una cancel na io timu inakusafisha unabaki msafi bila doa
Usiamini vitu kwa urahisi lazima waarabu wajue uko serious na waone u serious huo kwenye process za mikataba
Ukiona wamekimbia jua walitaka kuiba
Mwarabu anavyomtreat mzungu sio sawa na amavyo m treat mwafricaVitabu vya historia ya Tanzania vilivyoandikwa wakati wa Nyerere vimeharibu sana bongo za watanzania.Kila anapoingia mtu mwenye asili ya uarabu inakuwa nongwa sana.Mitambo ya dOwans ilipogundulika kuna hisa za mwarabu ikawa mibaya lakini alipoinunua mzungu ikasifiwa ni mizuri.
Uhalisia wa historia na ushahidi wa kila hali waarabu ni wenyeji wa Afrika na Tanzania na ndio waanzilishi wa miradi mingi ya kiuchumi ya kibiashara na kilimo kabla ya wengine kupata utaalamu huo na kuchukua ujanja kutoka kwao.
Ukweli mwengine ni kuwa hao waarabu wa Dubai na mashariki ya kati wa sasa wengi waokimila ni wazungu zaidi.Ndio hao hao wanaonunua timu za mpira na kufanya mambo mengine ya shari kama wanayofanya wazungu.vile vile unaweza ukampata mmoja akawa ni mzuri sana asiye na khiyana yoyote lakini ukashindwa kushirikiana naye kwa hofu tu iliyopandikizwa na wahafidhina wa Nyerere ambao inashangaza wakifa wazee wanarihiwa na watoto wao.
Hao wote uliowataja baadhi wamehongwa tayari pesa hasa huyo bibi wa bungeni hawana ubavu wowoteRais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari.
Dp World anaweza kuiajiri TICC iliyofeli kama sub contract akaendelea kula cha juu. Akili za waarabu haziaminiki sometimes
Sekta ya bandari ndio sekta inayobeba uchumi mkubwa wa dunia pia ndio sekta yenye matapeli wakubwa mithili ya nyangumi wasio na huruma. Watu hao hutafuta upenyo wa dili moja tuu la matrilion kisha hupiga pakubwa na kupumzika
Sasa kwenye mkataba wa makubaliano uliyompa ridhaa Prof. Mbarawa ku sain kuna udhaifu ambao wachache tumegundua.
Kwanza Tanzania imekubali kuwa inferior kwa Dubai na wakati Tanzania ndio host region na owner wa rasilimali. Uo mkataba wa awali ulitakiwa uoneshe authority na muscles za Tanzania sababu DP World hana anachomiliki zaidi ya technology ambayo kimsingi sio yeye pekee kwenye hii dunian. Kitendo cha framework kuja bila time frame, requirements wala dissolution ni kuonesha waziri wako na timu yake walifeli kwenye bargaining power. Pia imeonesha sehemu kubwa imekubaliwa na waarabu wa Dubai na ni sehemu ndogo tuu ya huo mkataba ndio imekubaliwa na Tanzania
Unaweza ukawa msomi sana kama Prof. Mbarawa ila huna exposure.
Waliokushauri ulete azimio bungeni huenda wakawa wamekupoteza sababu kwa azimio hilo huwezi kurudi kunyume nyume lazima tuu ukubaliane na DP World sasa kama hukumalizana nao ndio umeingia chaka wataalamu wako watakuwa wamekupoteza na hutaweza kukubali kuwapa advantage wapinzani kwa kufuta azimio.
Angalizo. Waarabu wa Dubai wanawaona waarabu wa Africa sio waarabu bali ni waafrica. Na kwa asili Mwarabu akipata hapokei simu
Sasa ukianza kupiga simu Dubai hawapokei usishangae
Sasa tega na tegua uo mtego kwa tahadhari. Mbarawa pekeyake atakuangusha ongeza timu kwenye hili swala Chukua vichwa hivi
Mwanasheria mkuu wa serikali
Prof kabudi
Chenge
Gwajima
Masaju
Pascal Mayala
Tulia - awe ana backup
Ccm 3
Tiss 3
Ofisi yako 3
Wachumi 2 nje ya wizara
Ma engineer 3
Independent harbour operator consultants 2
Yaani na wewe uwe muuni
Ili wakileta za kuleta una cancel na io timu inakusafisha unabaki msafi bila doa
Usiamini vitu kwa urahisi lazima waarabu wajue uko serious na waone u serious huo kwenye process za mikataba
Ukiona wamekimbia jua walitaka kuiba
Kimsingi wanaweza kurudi kinyume nyume tulia yuko smart kwenye mikataba awepo tuu akiona tunapotea anamtonya mama tunasepa na mpunga tayari umepigwaHao wote uliowataja baadhi wamehongwa tayari pesa hasa huyo bibi wa bungeni hawana ubavu wowote
sio,"kilidondoka",sema,"kiidondoshwa!"Tungefanyaje na chuma kilidondoka gafla
We nae huelewi nn? Huyo kalipwa na yupo upande wa DP world yeye na mama ake hawana ubavuKimsingi wanaweza kurudi kinyume nyume tulia yuko smart kwenye mikataba awepo tuu akiona tunapotea anamtonya mama tunasepa na mpunga tayari umepigwa
ushauri mzuri lakin tumeshachelewa pakubwa Sanaa Tena mnoo. nchi imeuzwa kijinga sanaaaRais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari.
Dp World anaweza kuiajiri TICC iliyofeli kama sub contract akaendelea kula cha juu. Akili za waarabu haziaminiki sometimes
Sekta ya bandari ndio sekta inayobeba uchumi mkubwa wa dunia pia ndio sekta yenye matapeli wakubwa mithili ya nyangumi wasio na huruma. Watu hao hutafuta upenyo wa dili moja tuu la matrilion kisha hupiga pakubwa na kupumzika
Sasa kwenye mkataba wa makubaliano uliyompa ridhaa Prof. Mbarawa ku sain kuna udhaifu ambao wachache tumegundua.
Kwanza Tanzania imekubali kuwa inferior kwa Dubai na wakati Tanzania ndio host region na owner wa rasilimali. Uo mkataba wa awali ulitakiwa uoneshe authority na muscles za Tanzania sababu DP World hana anachomiliki zaidi ya technology ambayo kimsingi sio yeye pekee kwenye hii dunian. Kitendo cha framework kuja bila time frame, requirements wala dissolution ni kuonesha waziri wako na timu yake walifeli kwenye bargaining power. Pia imeonesha sehemu kubwa imekubaliwa na waarabu wa Dubai na ni sehemu ndogo tuu ya huo mkataba ndio imekubaliwa na Tanzania
Unaweza ukawa msomi sana kama Prof. Mbarawa ila huna exposure.
Waliokushauri ulete azimio bungeni huenda wakawa wamekupoteza sababu kwa azimio hilo huwezi kurudi kunyume nyume lazima tuu ukubaliane na DP World sasa kama hukumalizana nao ndio umeingia chaka wataalamu wako watakuwa wamekupoteza na hutaweza kukubali kuwapa advantage wapinzani kwa kufuta azimio.
Angalizo. Waarabu wa Dubai wanawaona waarabu wa Africa sio waarabu bali ni waafrica. Na kwa asili Mwarabu akipata hapokei simu
Sasa ukianza kupiga simu Dubai hawapokei usishangae
Sasa tega na tegua uo mtego kwa tahadhari. Mbarawa pekeyake atakuangusha ongeza timu kwenye hili swala Chukua vichwa hivi
Mwanasheria mkuu wa serikali
Prof kabudi
Chenge
Gwajima
Masaju
Pascal Mayala
Tulia - awe ana backup
Ccm 3
Tiss 3
Ofisi yako 3
Wachumi 2 nje ya wizara
Ma engineer 3
Independent harbour operator consultants 2
Yaani na wewe uwe muuni
Ili wakileta za kuleta una cancel na io timu inakusafisha unabaki msafi bila doa
Usiamini vitu kwa urahisi lazima waarabu wajue uko serious na waone u serious huo kwenye process za mikataba
Ukiona wamekimbia jua walitaka kuiba
Popoma tulia tumshauri mamaWewe popoma tulia kazi iendelee🐒🐒🐒View attachment 2653426
MaombiGwajima??anaenda ongeza nini kwenye negotiation??
Hata betina ni mwanasheriaMayalla yuko vizuri financially anakunja pesa nyingi zaidi ya DC
Kitu pekee kwa Pascal ni mkweli
Jamea anapenda ukweli na amenyooka
Pia ni mwanasheri
Media personnel
Na political analyst
Anatakiwa awepo kwenye hii timu
.Maombi
Chunguza wanafunzi wa Yesu alikua nao utapata jibu,Uislamu nao ukazungumza mchana kweupe bila kupepesa macho.[emoji119]Kwenye bibilia imeandikwa baba ni kichwa cha familia sasa nyinyi mnafanya vice versa wacha mlie na bado.
Umeandika wivu mtupu. Wabunge wamepelekewa azimio na wamelifanyia kazi. Hayo mambo ya waarabu wa Dubai na wale waafrika ni maneno ya kike, ni kulia wivu, kulia chuki na kulia hasira.Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari.
Dp World anaweza kuiajiri TICC iliyofeli kama sub contract akaendelea kula cha juu. Akili za waarabu haziaminiki sometimes
Sekta ya bandari ndio sekta inayobeba uchumi mkubwa wa dunia pia ndio sekta yenye matapeli wakubwa mithili ya nyangumi wasio na huruma. Watu hao hutafuta upenyo wa dili moja tuu la matrilion kisha hupiga pakubwa na kupumzika
Sasa kwenye mkataba wa makubaliano uliyompa ridhaa Prof. Mbarawa ku sain kuna udhaifu ambao wachache tumegundua.
Kwanza Tanzania imekubali kuwa inferior kwa Dubai na wakati Tanzania ndio host region na owner wa rasilimali. Uo mkataba wa awali ulitakiwa uoneshe authority na muscles za Tanzania sababu DP World hana anachomiliki zaidi ya technology ambayo kimsingi sio yeye pekee kwenye hii dunian. Kitendo cha framework kuja bila time frame, requirements wala dissolution ni kuonesha waziri wako na timu yake walifeli kwenye bargaining power. Pia imeonesha sehemu kubwa imekubaliwa na waarabu wa Dubai na ni sehemu ndogo tuu ya huo mkataba ndio imekubaliwa na Tanzania
Unaweza ukawa msomi sana kama Prof. Mbarawa ila huna exposure.
Waliokushauri ulete azimio bungeni huenda wakawa wamekupoteza sababu kwa azimio hilo huwezi kurudi kunyume nyume lazima tuu ukubaliane na DP World sasa kama hukumalizana nao ndio umeingia chaka wataalamu wako watakuwa wamekupoteza na hutaweza kukubali kuwapa advantage wapinzani kwa kufuta azimio.
Angalizo. Waarabu wa Dubai wanawaona waarabu wa Africa sio waarabu bali ni waafrica. Na kwa asili Mwarabu akipata hapokei simu
Sasa ukianza kupiga simu Dubai hawapokei usishangae
Sasa tega na tegua uo mtego kwa tahadhari. Mbarawa pekeyake atakuangusha ongeza timu kwenye hili swala Chukua vichwa hivi
Mwanasheria mkuu wa serikali
Prof kabudi
Chenge
Gwajima
Masaju
Pascal Mayala
Tulia - awe ana backup
Ccm 3
Tiss 3
Ofisi yako 3
Wachumi 2 nje ya wizara
Ma engineer 3
Independent harbour operator consultants 2
Yaani na wewe uwe muuni
Ili wakileta za kuleta una cancel na io timu inakusafisha unabaki msafi bila doa
Usiamini vitu kwa urahisi lazima waarabu wajue uko serious na waone u serious huo kwenye process za mikataba
Ukiona wamekimbia jua walitaka kuiba
Mkuu nchi hii inao bado wazalendo wenye umakini katika kuipambania.Nina path mashaka sana na uwezo wa Mbarawa kwenye bargaining table nazani is too inferior hatumii akili zake
Uje na sababu haswa ni kwanini ashindwe kuwa kiongozi. Kasumba hizi za mtaani zitaishia kukupa maumivu ya moyo.Ifike hatua KATIBA itamke" mwanamke hatakiwi kuwa kiongozi wa serikali"