Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Watu si walisema Mama atamwaga pesa, imekuwaje tena?Atukumbuke na sisi tunaoidai serikali maana kama ni kufa tumekufa moyo siku nyingi lakini alipoingia madarakani akatukumbuka!
Wewe unaongeza nn aseeee? Hapa kazi tu amepokea kijiti mwacheni amalizie mbio zake na hii ndio inakamilisha msemo wa mama anaupiga mwingi, atapumzika baadae.Ila jamani watalaam wa afya wa Rais muwe makini kidogo isije kuwa mheshimiwa Rais anahitajika pia kupumzika Safari huwa zinachosha Sana kazi hizi zipo tu na zitaendelea kuwepo Mimi naanza kumuonea huruma ila kazi anachapa
Hao hao wataalamu wa afya, wamshauri pia awe anapitapita Gym mara moja moja, kwa afya pia.Ila jamani watalaam wa afya wa Rais muwe makini kidogo isije kuwa mheshimiwa Rais anahitajika pia kupumzika Safari huwa zinachosha Sana kazi hizi zipo tu na zitaendelea kuwepo Mimi naanza kumuonea huruma ila kazi anachapa
Kwani analazimishwa? kule nje kuna mabalozi lakini anataka kila jambo afike yeyeIla jamani watalaam wa afya wa Rais muwe makini kidogo isije kuwa mheshimiwa Rais anahitajika pia kupumzika Safari huwa zinachosha Sana kazi hizi zipo tu na zitaendelea kuwepo Mimi naanza kumuonea huruma ila kazi anachapa
Hawawezi kushusha sasa hivi...Ngoja kwanza waipige ile "RUZUKU" ya kushusha bei.Unaweza kuta mafuta yanauzwa bei rahisi drc huku yanapita hapa,jamani mafuta yameshuka kwenye soko la dunia miezi miwili iliyopita,hapa kwetu mbona hivyo?mama kazungukwa na wapiga dili tu
90% ya petrol station ni mali za makada wa CCM, usitegemee muujizaUnaweza kuta mafuta yanauzwa bei rahisi drc huku yanapita hapa,jamani mafuta yameshuka kwenye soko la dunia miezi miwili iliyopita,hapa kwetu mbona hivyo?mama kazungukwa na wapiga dili tu
Aiseee !!Ukiona anafanya ziara mikoani ujue anajiandaa kusafiri nje ya nchi
Huwa anaanza na gia hiyoAiseee !!
Na tatizo kubwa lipo hapa,mpaka Jana mafuta yanashuka siku zaidi ya 60 kwetu yanapanda tu,Mimi naona hata hiyo ruzuku ni changa tu hakuna kitu,tunadanganywa sana.,Au sisi mafuta yetu tunanunua sehemu tofaut na nchi nyingine?90% ya petrol station ni mali za makada wa CCM, usitegemee muujiza