Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Bado hajajikwaa.Watu si walisema Mama atamwaga pesa, imekuwaje tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hajajikwaa.Watu si walisema Mama atamwaga pesa, imekuwaje tena?
Watu si walisema Mama atamwaga pesa, imekuwaje tena?
Sawa lakini sisi tuko tayari? Tumejiandaa kwa hizo fursa? Oda zitakuja za mafuta ya alizeti na mawese je tunayo ya kupeleka nje? Oda za ufuta, parachichi au ndizi mbivu zitakuja je tunavyo vya kupeleka nje? Oda za mbuzi na ngombe na kondoo zitakuja je tumeshajiandaa? Tunakazana kujenga vituo vya petroli na dizeli badala ya maghala na kufungua mashamba spesheli kwa ajili ya hizo fursa!!!Mh Rais anachapa kazi bila kupumzika, Huyu Ni zawadi kwetu watanzania, Tumuunge mkono mh Rais wetu, maana Ni katika mikutano hiyo anakutana na watu, mashirika na taasisi mbalimbali, ambapo Ni katika mikutano hiyo mh Rais anapofanya mazungumzo nao ya kuwaeleza fursa mbalimbali zinazopatikana hapa nchini ili waje wawekeze hapa nchini
Nikupitia uwekezaji huu tunapoongeza ajira na hata mapato ya nchi kupitia kodi.
Hongera Sana mh Rais na pole Sana kwa kazi kubwa uifanyayo ya kuijenga nchi hii kwa ajili yetu watanzania
Kila la Heri mh Rais katika mkutano huo, Watanzania Tunakuombea mh Rais uende salama na kurejea salama hapa nchini.
Watanzania tunaendelea kukuunga mkono Rais wetu katika juhudi zako za kuijenga nchi yetu.
Sio tuu anaenda kuhudhuria bali at chair huo mkatukato wa SADC huko DRC.
Watu si walisema Mama atamwaga pesa, imekuwaje tena?
Mfano hai ni Zanzibar mafuta 2600 utadhani wao wanaishi sayari tofauti na sisi na wakati mafuta yote yanapita Dar kabla ya kwenda ZanzibarNa tatizo kubwa lipo hapa,mpaka Jana mafuta yanashuka siku zaidi ya 60 kwetu yanapanda tu,Mimi naona hata hiyo ruzuku ni changa tu hakuna kitu,tunadanganywa sana.,Au sisi mafuta yetu tunanunua sehemu tofaut na nchi nyingine?
Hapo wamelipana posho za kutosha, Ni Tanzania pekee matumizi ya hovyo kama haya ndiyo yapo, sijawahi kuona Uhuru anasindikiza na utitiri wa viongozi hivyo..serikali nzima imehama toka Dom kuja Dar kumuaga raisi?
Nimekumbuka wimbo wa Mbaraka Miwinshehe.............Usikose kutusalimia mabingwa wenzetu wa mziki wa huko Zaire........
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es Salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya Kongo, tarehe 16 Agosti 2022.
Rais Samia anaenda kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Kujua safari zingine za Rais soma hapa.
Picha: Ikulu
Kila la kheri kwake...kuna ripoti ya imetoka (nimeisoma hapa JF) kuwa wajeshi wetu walipoeda kwa peace keeping mission wameacha watoto wengi sana kule...basi asisahau kuwatafuta na kuwasalimia wajukuu zake!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es Salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya Kongo, tarehe 16 Agosti 2022.
Rais Samia anaenda kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Kujua safari zingine za Rais soma hapa.
Picha: Ikulu
Sijajua why ila taarifa inaonyesha atakuwa co chair wa mkutano...why?
..tz si tulishakuwa mwenyekiti wakati wa jpm?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es Salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya Kongo, tarehe 16 Agosti 2022.
Rais Samia anaenda kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Kujua safari zingine za Rais soma hapa.
Picha: Ikulu
Huruma gani na kuchoka kupi mtu anapewa huduma zote kwa kiwango cha hali ya juu.Ila jamani watalaam wa afya wa Rais muwe makini kidogo isije kuwa mheshimiwa Rais anahitajika pia kupumzika Safari huwa zinachosha Sana kazi hizi zipo tu na zitaendelea kuwepo Mimi naanza kumuonea huruma ila kazi anachapa.
Mfano hai ni Zanzibar mafuta 2600 utadhani wao wanaishi sayari tofauti na sisi na wakati mafuta yote yanapita Dar kabla ya kwenda Zanzibar
Si wanapendeleana hawaMfano hai ni Zanzibar mafuta 2600 utadhani wao wanaishi sayari tofauti na sisi na wakati mafuta yote yanapita Dar kabla ya kwenda Zanzibar