Rais Samia aondoka Nchini kwenda DR Congo leo Agosti 16, 2022

Rais Samia aondoka Nchini kwenda DR Congo leo Agosti 16, 2022

Ila jamani watalaam wa afya wa Rais muwe makini kidogo isije kuwa mheshimiwa Rais anahitajika pia kupumzika Safari huwa zinachosha Sana kazi hizi zipo tu na zitaendelea kuwepo Mimi naanza kumuonea huruma ila kazi anachapa.
Watalifanyia kazi. Mama anakanyaga twende
 
Na tatizo kubwa lipo hapa,mpaka Jana mafuta yanashuka siku zaidi ya 60 kwetu yanapanda tu,Mimi naona hata hiyo ruzuku ni changa tu hakuna kitu,tunadanganywa sana.,Au sisi mafuta yetu tunanunua sehemu tofaut na nchi nyingine?
Ruzuku imesaidia sana bila ivo saizi tungekua tunapanda daladala buku tunamshukulu sana mama
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es Salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya Kongo, tarehe 16 Agosti 2022.

Rais Samia anaenda kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Kujua safari zingine za Rais soma hapa.

Picha: Ikulu
Voyage continues.........................
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es Salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya Kongo, tarehe 16 Agosti 2022.

Rais Samia anaenda kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Kujua safari zingine za Rais soma hapa.

Picha: Ikulu
President Samia Suluhu Hassan arrives in the Democratic Republic of Congo (DRC) to attend the 42nd Ordinary Summit of the Southern African Development Community (SADC) Heads of State and Government.

More info :


SADC 42nd Summit in Kinshasa, Democratic Republic of Congo, on 17 - 18 August 2022​


The Opening and Closing ceremonies of the 42nd SADC Summit will be broadcast live by Radio Télévision nationale congolaise (RTNC) TV.

The Summit will be held under the theme “Promoting industrialisation through, agro-processing, mineral beneficiation, and regional value chains for inclusive and resilient economic growth”. The theme for 2022 Summit is an endeavour to strengthen implementation of the SADC Regional Indicative Strategic Development Plan (RISDP) 2020-2030 which seeks to further deepen Southern Africa regional integration and foster development in support to the pillar for Industrial Development and Market Integration. During the 42nd Summit, His Excellency Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, President of the Democratic Republic of Congo will take over the chairpersonship of SADC from His Excellency Dr. Lazarus McCarthy Chakwera, President of the Republic of Malawi who assumed the chairpersonship of SADC on 17th August, 2021 during the 41st SADC Summit held in Lilongwe, Malawi.

The Summit will review of progress on Regional Integration in line with SADC’s aspirations as outlined in the RISDP 2020-2030 and Vision 2050, which envisage a peaceful, inclusive, competitive, middle-to high-income industrialised Region where all citizens enjoy sustainable economic well-being, justice, and freedom.

The 42nd SADC Summit will be preceded by the following meetings and events;

  • 9 - 11 August, 2022: Meeting of Standing Committee of Senior Officials and Finance Committee Meetings
  • 13 - 14 August, 2022: Meeting of SADC Council of Ministers
  • 16 August, 2022: SADC Organ Troika Summit
Source : SADC to hold 42nd Summit in Kinshasa, Democratic Republic of Congo, on 17 - 18 August 2022 | SADC
 
17 August 2022
Kinshasa, DR Congo

Rais Félix Tshisekedi afanya mazungumzo ya faragha (tête-à-tête) na kila kiongozi wa SADC ikiwemo Rais Samia Suluhu Hassan ambao wapo mjini Kinshasa


ambao awali waliwasili ktk uwanja ya ndege wa kimataita wa Ndjili Kinshasa kuhudhuria mkutano wa 42 wa wakuu wa nchi. Mazungumzo hayo ya faragha mafupi ni kuhusu mahusiano baina ya DR Congo na nchi hizo za SADC pia kupata wasaa kufahamu hali nzima ya DR Congo kuelekea mkutano huo wa kawaida wa kikao cha 42 cha wakuu wa nchi wanachama wa SADC.

Mwenyekiti wa SADC rais Lazarus Chakwera wa Malawi ambaye alikuwa mwenyeji wa kikao cha 41 kilichofanyika Malawi atamkabidhi uenyekiti wa SADC rais Rais Félix Tshisekedi katika kikao cha 42 cha wakuu hao wa SADC.

1660734599883.png

Rais Lazarus Chakwera na rais Félix Tshisekedi source : 42e Sommet de la SADC : plusieurs dirigeants de l’Afrique australe à Kinshasa

Source : Congo Live TV
 
Back
Top Bottom