Yego mlaunu
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 234
- 269
Kwa mfano ile ziara yake ya Ulaya (Ubeligiji,Ufaransa nk) ilileta trilion 17 za uwekezaji, na ile ya Uarabuni ilileta trilioni 11 za uwekezaji...Hii ni kazi kubwa sana.Mh Rais anachapa kazi bila kupumzika, Huyu Ni zawadi kwetu watanzania, Tumuunge mkono mh Rais wetu, maana Ni katika mikutano hiyo anakutana na watu, mashirika na taasisi mbalimbali, ambapo Ni katika mikutano hiyo mh Rais anapofanya mazungumzo nao ya kuwaeleza fursa mbalimbali zinazopatikana hapa nchini ili waje wawekeze hapa nchini
Nikupitia uwekezaji huu tunapoongeza ajira na hata mapato ya nchi kupitia kodi.
Hongera Sana mh Rais na pole Sana kwa kazi kubwa uifanyayo ya kuijenga nchi hii kwa ajili yetu watanzania
Kila la Heri mh Rais katika mkutano huo, Watanzania Tunakuombea mh Rais uende salama na kurejea salama hapa nchini.
Watanzania tunaendelea kukuunga mkono Rais wetu katika juhudi zako za kuijenga nchi yetu.
Tunaomba utusaidie kuuliza huko juu zimeshafika Nchini ngapi hadi sasa?