Rais Samia aondoka Nchini kwenda DR Congo leo Agosti 16, 2022

Madelu kampimia mafuta? maana katuambia ataanza mpango wa kutupimia mafuta kwenye kidebe kubana matumizi ya siri kali.
 
MBEYA MJINI-CHUNYA-KYELA-NJOMBE-IRINGA-TANGA-CONGO

AKIFA MTASEMA SUKUMA GANG WAMEMUUA, DR.JANANI HEBU MSHAURI VIZURI CHIEF HANGAYA.
 
Sawa lakini sisi tuko tayari? Tumejiandaa kwa hizo fursa? Oda zitakuja za mafuta ya alizeti na mawese je tunayo ya kupeleka nje? Oda za ufuta, parachichi au ndizi mbivu zitakuja je tunavyo vya kupeleka nje? Oda za mbuzi na ngombe na kondoo zitakuja je tumeshajiandaa? Tunakazana kujenga vituo vya petroli na dizeli badala ya maghala na kufungua mashamba spesheli kwa ajili ya hizo fursa!!!
 
tunamtakia safari njema na yenye mafanikio nchini Kongo.

Watanzania tunaona manufaa makubwa ya ziara za Rais wetu.

Tanzania na DRC ni ndugu katika biashara mbalimbali, asilimia kubwa ya wafanyabiashara wa kongo wanaagiza bidhaa zao Tanzania, kupitia bandari ya DSM pia kupitia bandari ya Kigoma
 
Na tatizo kubwa lipo hapa,mpaka Jana mafuta yanashuka siku zaidi ya 60 kwetu yanapanda tu,Mimi naona hata hiyo ruzuku ni changa tu hakuna kitu,tunadanganywa sana.,Au sisi mafuta yetu tunanunua sehemu tofaut na nchi nyingine?
Mfano hai ni Zanzibar mafuta 2600 utadhani wao wanaishi sayari tofauti na sisi na wakati mafuta yote yanapita Dar kabla ya kwenda Zanzibar
 
Nimekumbuka wimbo wa Mbaraka Miwinshehe.............Usikose kutusalimia mabingwa wenzetu wa mziki wa huko Zaire........
 
Kila la kheri kwake...kuna ripoti ya imetoka (nimeisoma hapa JF) kuwa wajeshi wetu walipoeda kwa peace keeping mission wameacha watoto wengi sana kule...basi asisahau kuwatafuta na kuwasalimia wajukuu zake!
 

Uwepo wa M/Rais, PM, CDF, TISS DG ndani ya Dar inaamanisha Ikulu imehama from Dom to Dar
 
Ila jamani watalaam wa afya wa Rais muwe makini kidogo isije kuwa mheshimiwa Rais anahitajika pia kupumzika Safari huwa zinachosha Sana kazi hizi zipo tu na zitaendelea kuwepo Mimi naanza kumuonea huruma ila kazi anachapa.
Huruma gani na kuchoka kupi mtu anapewa huduma zote kwa kiwango cha hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…