dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... tunajenga bwawa ra kuzarisha umeme; tumejenga madaraja darisalama; tunajenga daraja mwanza kigongo busisi; tunapanua balabala njia nane hadi kibaha; fvc%#$! thats your job!
Mahitaji ya wananchi (maendeleo ya watu) ni ya kawaida sana na ndio kero kuu; matibabu kwa wazee; wazee kupishwa siti na barobaro kwenye usafiri wa umma; wazee kupatiwa pensheni kama wale wa zanzibar; malezi ya vijana; yule kamanda arudishwe kumaliza ujambazi dar; n.k. hayo ndio mambo wananchi wanataka kusikia na kutekelezewa! Hawahitaji kukuona ukijimwambafy na msururu wa ma-v8 vijijini; wanahitaji faraja zaidi; neno la kutuliza mioyo yao.