Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

... tunajenga bwawa ra kuzarisha umeme; tumejenga madaraja darisalama; tunajenga daraja mwanza kigongo busisi; tunapanua balabala njia nane hadi kibaha; fvc%#$! thats your job!

Mahitaji ya wananchi (maendeleo ya watu) ni ya kawaida sana na ndio kero kuu; matibabu kwa wazee; wazee kupishwa siti na barobaro kwenye usafiri wa umma; wazee kupatiwa pensheni kama wale wa zanzibar; malezi ya vijana; yule kamanda arudishwe kumaliza ujambazi dar; n.k. hayo ndio mambo wananchi wanataka kusikia na kutekelezewa! Hawahitaji kukuona ukijimwambafy na msururu wa ma-v8 vijijini; wanahitaji faraja zaidi; neno la kutuliza mioyo yao.
 
Mungu amsaidie mama na Watanzania tumwombee MUNGU ampe moyo wa unyenyekevu Kama alivyoanza. Siyo mwendazake vitu vidogo vya kukumbushana anatufokea. Anataka tumwombee kwa kutufokea huko sijui anamfokea Nani?
 
Statistics za serikali sizielewi.

Wazee 2M.

Population 60M

Tax payers 3M.

Employed: Total 2M hii ni private plus 600k approximately of government employees.

Hii nchi 55M ni work force ondoa watoto na wategemezi wa miaka 0 hadi 21 ambao tufanye maximum ni 25M, maana yake nguvu kazi ni 30M, lakini walipa kodi hawafiki 4M.

Hii nchi walipakodi wangefika hata 8M tungekua mbali sana

Hii nchi haiwezi kwenda mbali.
Umejaribu kuchambua lkn bado u unaonekana kwenye kasi ya magufuli badilika tupo na SSH sasa.
 
Back
Top Bottom