Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

Mama swali ni hilo: na wazee wa umri mkubwa watasimama kuitwa kwa Mungu ili faida ikipatikana wagawiwe?
 
Ni wazee wa Dar as Salaama au Wazee wa CCM wa Dar as Salaam.
Naona anaanza ujinga.
 
"Waswahili wa Zanzibar wanasema 'isiyo kongwe haivushi', kuna fursa kadhaa tumezitoa kwa wazee, nakipongeza chama changu cha cha Mapinduzi (CCM) wametambuliwa na wana baraza lao. Nafasi za wazee katika CCM tumeziweka katika Jumuiya ya Wazazi"
 
"Tangu tumepata uhuru sera yetu ni kuwatunza wazee, tutaendelea kujenga makazi ya wazee. Wazee wana watoto wao na wengine wana ndugu zao, kinachopendeza ni kuona watoto wakiwatunza wazee wetu. Naomba Watanzania, tutunze wazee wetu"
 
Miaka 60 sasa toka tumepata uhuru, na miaka yote tumeimbishwa tujenge nchi kwa shuruba nzito, lini hiyo faida tutaanza kugawana?
 
Nafasi za uwakilishi za wazee katika Baraza la madiwani na Ubunge, nishukuru Chama changu CCM baada ya marekebisho limekaa vizuri kwenye kundi a jumuiya ya wazazi
 
Nilichokitegemea sicho, Basi naishia hapa maana nitavuruga ukumbi. Mom ameniacha Chalinze!
 
Kama serikali ikiwa na plan ya kuwapa kila mwezi wazee wetu ya Tsh 50,000/= kwa mwezi itawacost 90B ,ni pesa ndogo kwa serikali ambayo inaingiza 2000B kwa mwezi.
 
Walikua wanamuogopa magufuli hawavai leo wote wamevaa wameona ushenzi huu kisa cha kufa kijinga nini?
ACHA UONGO KASEMA BARAKOA ZIMEAVALIWA KUWALINDA WAZEE NA KWA SABABU WATU NI WENGI
 
Hata Sophia Simba alipovuliwa uwananchama wa CCM Speaker aliufuta ubunge wake lakini ni Speaker huyohuyo anaomba muhtasari wa kikao cha kuwafuta Ubunge Mzee Halima na wenzake pamoja na Katiba ya Chadema.
CCM walipeleka muhtasari
 
Back
Top Bottom