Rais Samia apewe muda, hatumii uongo wala propaganda. Anakuwa Rais wa Kwanza kuleta maendeleo ya kweli

Eleza sifa zake kumi ,Rais Samia akiwa Makamu wa Rais kwa miaka 5 iliyopita ili apewe muda wa kuendelea kuwa Rais.
 
Maendelo gani mapya yamekuja..au tukalie kusifia tu
[/QUOTE]
 
Mlimsikia mzee wasira lakini? Na katibu wenu akakazia juzi....Acheni uchawa na kujikomba bwana argh!
Mzee Tyson kwasasa amechoka japo anaona bado kijana wa kugombania jimbo la Bunda.
 
Tunaenda na mama 👇



 
Mmeshaanza kumgeuka Mwendazake? 🙄
 
Raisi wa kwanza kukata umeme bila sababu ya msingi. Hovyo kabisa.
 
Uchumi utakua kwa kasi sana
Ajira zitakuwa nyingi na vijana watapata pesa
Hapa sawa naona yadi za makontena zinaongezeka kama uyoga, maghorofa ya tazara kwishney Hakuna tena ni yadi za macontena,eneo la wazi Ili jiji lipumue kwishney ni yadi ya makontena tupu.Vingunguti yote kuna mtu anapambana ainunue yote aweke contena.
 
Maendeleo ya kweli yanaletwa bila tozo na migao! Walioweza kujenga nchi bila tozo ndio walioleta maendeleo ya kweli sio kupora hela kwa wananchi halafu mnataka tuweke nyimbo za tumsifu!
 
Pamoja na ongezeko la Bei ya bidhaa bado apewe muda!?
OK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…