Pre GE2025 Rais Samia apishe 2025 Philip Mpango agombee urais, Makonda awe Makamu wa Rais

Pre GE2025 Rais Samia apishe 2025 Philip Mpango agombee urais, Makonda awe Makamu wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
suluhuu.jpeg
makonda.jpg
mpango.jpg

Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli.

Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru.

Mama apishe 2025 yakae majembe yatakayorudisha nidhamu ya kizalendo.

Nawakilisha Mimi Idu wa Igunga.
 
siyo apishe inasound negative ukisema apishe, ila ndivyo inavyoenda kuwa na ndivyo ilivyopangwa, raisi ajaye 2025/35 ni P.Mpango (PhD) …
 
Uko sahihi kabisa. Samia atupishe kabisa.kila kitu amekiharibu.mfano petroli Kwa Sasa ni 3500 kutoka 1500 miaka mitatu nyuma,sembe 2300 kutoka 1000 miaka mitatu nyuma,kuunganishwa umeme 330000 ndani ya mita 15 kutoka 27000miaka mitatu nyuma.miradi yote mikubwa imekufa.anachojua yeye ni kupaaa angani tu kwenda ulaya ili kuiuza Nchi yetu
 
Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli.

Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru.

Mama apishe 2025 yakae majembe yatakayorudisha nidhamu ya kizalendo.

Nawakilisha Mimi Idu wa Igunga.
Tatizo kubwa Chawa wataona wewe ni mpinzani but truth be told , Mama hana Sauti ya Rais , pia capacity ni hakuna na hatuwezi kufika popote na Mama. Kwa wenye uchungu na nchi we have seen that coming , tunakwenda kuwa Mugabe. Hakuna anaemtukana mama , ni laana kumtukana Mama maana ni Mzazi , Watu wanaongea ukweli Mama hana capacity as a president , Katiba ya TZ ni mbovu , mama alitakiwa kuongoza 50 days tu uchaguzi ufanyie

All in all I wish Sana Nchi achukue Isdory au Majaliwa kwa kipindi hiki ili kunusuru taifa na hizo ngonjera za Samia na Mwigulu

Majaliwa namkubali maana ni zaidi ya Ngosha.
Isdor ni muadilifu na ni mkali na hana extended family kubwa. Hawa Watu wa pwani huwa wana Ma extended family mengi snaa : na huwa ni masikini, so wakipewa nchi kazi yao kubwa inakuwa ni kuondoa umasikini wa familia zao na kuwapa connection hata kama ni low IQ. ‘

Kwangu first Choice awe Isdor , Makamu awe Majaliwa, waziri mkuu apewe yule mnyarwanda wa Nishati na madini
Nchi itarudi kwenye mstari
 
Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli.

Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru.

Mama apishe 2025 yakae majembe yatakayorudisha nidhamu ya kizalendo.

Nawakilisha Mimi Idu wa Igunga.
Yaani kwa ufupi mama awe na busara asigombee maana akigombea chawa wake watasababisha mvutano mkubwa. Mama atakua ameitendea nchi jambo la kukumbukwa kwa kuachia kugombea badala yake ahakikishe nchi inapata mwamba jasiri na mzalendo mwingine kuongoza taifa.
 
Back
Top Bottom