Pre GE2025 Rais Samia apishe 2025 Philip Mpango agombee urais, Makonda awe Makamu wa Rais

Pre GE2025 Rais Samia apishe 2025 Philip Mpango agombee urais, Makonda awe Makamu wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli.

Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru.

Mama apishe 2025 yakae majembe yatakayorudisha nidhamu ya kizalendo.

Nawakilisha Mimi Idu wa Igunga.

Mimi nimezoea kuona Rais akiwa Mtanganyika makamu anakuwa mzanzibari,
Na Rais akiwa Mzanzibari makamu anakuwa Mtanganyika, au nakosea?
Pendekezo lako la Mpango awe rais na makonda awe makamu, kwa sababu ya Muungano ipo wapi nafasi ya Zanzibar hapo?
 
Uko sahihi kabisa.hili lisamia atupishe kabisa.kila kitu amekiharibu.mfano petroli Kwa Sasa ni 3500 kutoka 1500 miaka mitatu nyuma,sembe 2300 kutoka 1000 miaka mitatu nyuma,kuunganishwa umeme 330000 ndani ya mita 15 kutoka 27000miaka mitatu nyuma.miradi yote mikubwa imekufa.anachojua yeye ni kupaaa angani tu kwenda ulaya ili kuiuza Nchi yetu
👍👍
 
Tatizo kubwa Chawa wataona wewe ni mpinzani but truth be told , Mama hana Sauti ya Rais , pia capacity ni hakuna na hatuwezi kufika popote na Mama. Kwa wenye uchungu na nchi we have seen that coming , tunakwenda kuwa Mugabe. Hakuna anaemtukana mama , ni laana kumtukana Mama maana ni Mzazi , Watu wanaongea ukweli Mama hana capacity as a president , Katiba ya TZ ni mbovu , mama alitakiwa kuongoza 50 days tu uchaguzi ufanyie

All in all I wish Sana Nchi achukue Isdory au Majaliwa kwa kipindi hiki ili kunusuru taifa na hizo ngonjera za Samia na Mwigulu

Majaliwa namkubali maana ni zaidi ya Ngosha.
Isdor ni muadilifu na ni mkali na hana extended family kubwa. Hawa Watu wa pwani huwa wana Ma extended family mengi snaa : na huwa ni masikini, so wakipewa nchi kazi yao kubwa inakuwa ni kuondoa umasikini wa familia zao na kuwapa connection hata kama ni low IQ. ‘

Kwangu first Choice awe Isdor , Makamu awe Majaliwa, waziri mkuu apewe yule mnyarwanda wa Nishati na madini
Nchi itarudi kwenye mstari
Yaani mtu wa Pwani aliyelelewa ni Mwinyi tu, hawa wengine 🚮🚮🚮 kipindi cha Lowasa walikuwa wakisema watu wa kaskazini hawafi kupewa nchi, mimi nakataa hawa Wapwani hawa hasa Pwani na Tanga hawafai.
 
Uko sahihi kabisa.hili lisamia atupishe kabisa.kila kitu amekiharibu.mfano petroli Kwa Sasa ni 3500 kutoka 1500 miaka mitatu nyuma,sembe 2300 kutoka 1000 miaka mitatu nyuma,kuunganishwa umeme 330000 ndani ya mita 15 kutoka 27000miaka mitatu nyuma.miradi yote mikubwa imekufa.anachojua yeye ni kupaaa angani tu kwenda ulaya ili kuiuza Nchi yetu
Umesema ukweli kabisa mwamba!
 
Sijui kama nitakuwa tofauti na nyie ila Makonda akiwa raisi mi nitahama hii nchi nikawachungulie nikiwa ugaibuni hata huyo mnaesifia alikuwa bora na makonda anafuata nyayo zake alikuwa anatumia formulars sio ambapo baada ya muda kazaa nchi ingemshinda na dalili zilianza kuonekana.
Mchagueni mpenda sifa mjute maana watanzania wengi wanatekwa na matukio badala ya utendaji?
Tatizo letu wabongo hatujui tunahitaji nini kwenye maisha yetu huyu huyu Makonda tulitamani aning'inizwe msalabani kama yule SABAYA kwa hila na matendo yake leo hii mnatamani awe rais wenu kama mlikuwa hamjui Makonda ni kiongozi asie na haya kama mnabisha ulizeni familia ya mzee Sita mtaelewa.
 
Ukifuata utamaduni wa Chama, Mama ni Rais mpaka 2031 na nusu, na anatosha wengine wasubiri.
Hivyo vyeo walivyopewa kwa uchama na sio weledi bado hawaridhiki wameshaona hii nchi ni ya kuongozwa na vilaza, nyuzi elfu moja kwa siku jina hilo hilo inaboa sana
 
Tatizo kubwa Chawa wataona wewe ni mpinzani but truth be told , Mama hana Sauti ya Rais , pia capacity ni hakuna na hatuwezi kufika popote na Mama. Kwa wenye uchungu na nchi we have seen that coming , tunakwenda kuwa Mugabe. Hakuna anaemtukana mama , ni laana kumtukana Mama maana ni Mzazi , Watu wanaongea ukweli Mama hana capacity as a president , Katiba ya TZ ni mbovu , mama alitakiwa kuongoza 50 days tu uchaguzi ufanyie

All in all I wish Sana Nchi achukue Isdory au Majaliwa kwa kipindi hiki ili kunusuru taifa na hizo ngonjera za Samia na Mwigulu

Majaliwa namkubali maana ni zaidi ya Ngosha.
Isdor ni muadilifu na ni mkali na hana extended family kubwa. Hawa Watu wa pwani huwa wana Ma extended family mengi snaa : na huwa ni masikini, so wakipewa nchi kazi yao kubwa inakuwa ni kuondoa umasikini wa familia zao na kuwapa connection hata kama ni low IQ. ‘

Kwangu first Choice awe Isdor , Makamu awe Majaliwa, waziri mkuu apewe yule mnyarwanda wa Nishati na madini
Nchi itarudi kwenye mstari
🤔🤔🤭
 
Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli.

Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru.

Mama apishe 2025 yakae majembe yatakayorudisha nidhamu ya kizalendo.

Nawakilisha Mimi Idu wa Igunga.
Yaani, kama hawa, ndio best brain ndani, ya ccm, sasa nimejua tatizo lipo wapi!
Makonda mwizi, tapeli, elimu ndogo ya kuunga unga, Hana academic capability, Mpango,ni kama "the walking dead" Medically yupo unfit, Hana cha maana anachofanya, hata alipokuwa wizarani, ni, makaratasi tu ndio ushujaa wake kama wolivyowasomi wengi wa bongo!
Huyu jamaa nilijua ni mpuuzi,siku anasimama anasema "anachukizwa, na usumbufu unaosababishwa na msafara wake, magari, yanazuiwa kwa, muda mrefu"
Hii ilikuwa, drama tu,nq kiki
 
Back
Top Bottom