Pre GE2025 Rais Samia apishe 2025 Philip Mpango agombee urais, Makonda awe Makamu wa Rais

Pre GE2025 Rais Samia apishe 2025 Philip Mpango agombee urais, Makonda awe Makamu wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nukuu toka kwa JKikwete " 2025 tuanenda na mwenyekiti wetu Mama kizimkazi og labda mambo yaharibike sana"
Hii kauli ilikuwa ina maana ndefu sana kwanini aseme labda mambo yaharibike, Kumbuka JK hata shemeji yake Membe alimpiga changa la macho 2020, swahiba wake Lowasa alimtia shimoni . Huyu mzee ni tasisi sio mtu.
 
Sasa hao wote si ni Watanganyika? Labda Mpango agombee halafu Mwinyi aje awe Makamu na wa huku akamalizie ngwe kule Unguja. Mzee wa Kolomije awe Waziri Mkuu.
 
Ha
Sio kigezo muhimu hicho

mimi kwangu a Christian President ni kigezo namba moja, kama siyo Christian won’t pass haijalishi ana quality gani nyingine za kidunia, siwezi kupigia mgombea ambaye siyo Christian …
 
Back
Top Bottom