2035 na Katiba Mpya ikija kama chadomo wanavyosema ndio hapo ataanza rasmi kuhesabu Hadi 2040Mama Samia mpaka 2030!!
Si bure utakuwa sukuma ngang
Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli.
Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru.
Mama apishe 2025 yakae majembe yatakayorudisha nidhamu ya kizalendo.
Nawakilisha Mimi Idu wa Igunga.
Ila Moja Takatifu la Mitume mjue Mungu anawaona πππsiyo apishe inasound negative ukisema apishe, ila ndivyo inavyoenda kuwa na ndivyo ilivyopangwa, raisi ajaye 2025/35 ni P.Mpango (PhD) β¦
Tatizo kubwa Chawa wataona wewe ni mpinzani but truth be told , Mama hana Sauti ya Rais , pia capacity ni hakuna na hatuwezi kufika popote na Mama. Kwa wenye uchungu na nchi we have seen that coming , tunakwenda kuwa Mugabe. Hakuna anaemtukana mama , ni laana kumtukana Mama maana ni Mzazi , Watu wanaongea ukweli Mama hana capacity as a president , Katiba ya TZ ni mbovu , mama alitakiwa kuongoza 50 days tu uchaguzi ufanyie
Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli.
Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru.
Mama apishe 2025 yakae majembe yatakayorudisha nidhamu ya kizalendo.
Nawakilisha Mimi Idu wa Igunga.
Wapi imeandikwaKilaza wewe rais na makamo wake hawawezi kutokea upande mmoja wa muungano,pia makonda ni empty set
Ila Moja Takatifu la Mitume mjue Mungu anawaona πππ
Ubaki tu huko ulime Mpunga Siasa waachie wengine
Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli.
Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru.
Mama apishe 2025 yakae majembe yatakayorudisha nidhamu ya kizalendo.
Nawakilisha Mimi Idu wa Igunga.
Udini utakuuaIla Moja Takatifu la Mitume mjue Mungu anawaona πππ
Yaani kwa ufupi mama awe na busara asigombee maana akigombea chawa wake watasababisha mvutano mkubwa. Mama atakua ameitendea nchi jambo la kukumbukwa kwa kuachia kugombea badala yake ahakikishe nchi inapata mwamba jasiri na mzalendo mwingine kuongoza taifa.