Pre GE2025 Rais Samia apishe 2025 Philip Mpango agombee urais, Makonda awe Makamu wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mimi nimezoea kuona Rais akiwa Mtanganyika makamu anakuwa mzanzibari,
Na Rais akiwa Mzanzibari makamu anakuwa Mtanganyika, au nakosea?
Pendekezo lako la Mpango awe rais na makonda awe makamu, kwa sababu ya Muungano ipo wapi nafasi ya Zanzibar hapo?
 
๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Yaani mtu wa Pwani aliyelelewa ni Mwinyi tu, hawa wengine ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ kipindi cha Lowasa walikuwa wakisema watu wa kaskazini hawafi kupewa nchi, mimi nakataa hawa Wapwani hawa hasa Pwani na Tanga hawafai.
 
Umesema ukweli kabisa mwamba!
 
Sijui kama nitakuwa tofauti na nyie ila Makonda akiwa raisi mi nitahama hii nchi nikawachungulie nikiwa ugaibuni hata huyo mnaesifia alikuwa bora na makonda anafuata nyayo zake alikuwa anatumia formulars sio ambapo baada ya muda kazaa nchi ingemshinda na dalili zilianza kuonekana.
Mchagueni mpenda sifa mjute maana watanzania wengi wanatekwa na matukio badala ya utendaji?
Tatizo letu wabongo hatujui tunahitaji nini kwenye maisha yetu huyu huyu Makonda tulitamani aning'inizwe msalabani kama yule SABAYA kwa hila na matendo yake leo hii mnatamani awe rais wenu kama mlikuwa hamjui Makonda ni kiongozi asie na haya kama mnabisha ulizeni familia ya mzee Sita mtaelewa.
 
Ukifuata utamaduni wa Chama, Mama ni Rais mpaka 2031 na nusu, na anatosha wengine wasubiri.
Hivyo vyeo walivyopewa kwa uchama na sio weledi bado hawaridhiki wameshaona hii nchi ni ya kuongozwa na vilaza, nyuzi elfu moja kwa siku jina hilo hilo inaboa sana
 
๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿคญ
 
Yaani, kama hawa, ndio best brain ndani, ya ccm, sasa nimejua tatizo lipo wapi!
Makonda mwizi, tapeli, elimu ndogo ya kuunga unga, Hana academic capability, Mpango,ni kama "the walking dead" Medically yupo unfit, Hana cha maana anachofanya, hata alipokuwa wizarani, ni, makaratasi tu ndio ushujaa wake kama wolivyowasomi wengi wa bongo!
Huyu jamaa nilijua ni mpuuzi,siku anasimama anasema "anachukizwa, na usumbufu unaosababishwa na msafara wake, magari, yanazuiwa kwa, muda mrefu"
Hii ilikuwa, drama tu,nq kiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ