Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022
Report zilizopita walikuwa wanajificha kwenye kichaka Cha Magufuli safari hii sijui watajificha kwenye kichaka Cha nani
. Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize
watamtaja tu watadai ndio sababu we subiri uone 😀
 
It was a bad investment, one of the few mistakes JPM made, but Samia has doubled down on it.
 
Tuone kama walamba asali Mbowe, Lisu, Zito Kabwe wataichambua hii report ya CAG maana imejaa ufisadi tupu na ucheleweshaji wa miradi.
Ni lini CCM imeacha ufisadi? Jana tu Msigwa kasema uzembe na ufisadi vimetamalaki serikali ya Samia. Wala sio Siri hii, kila siku Lema hapa anatoa povu kuhusu vijana kupewa umasikini na kuachiwa bodaboda kama ajira rasmi. Sijui unachopotosha hapa ni nini!!
 
Ndege za JPM kipindi tunasema hazifai mlitutolea povu Leo yakwapi Sasa? Punguzeni ujuaji sukuma gang
Yasni ununuzi wa ndege ulikua ukurupukaji wa mdhalimu mwendazake, ajabu wlijikusanya wakaweka na zulia jekundu kuzipokea na kuziimbia mapambio pasipo kuweka mpango mkakati wa namna ya kuzalisha faida kupitia hizo ndege
 
Sasa hata tukifuatilia haita ondoa ujinga ujinga unaofanywa serikali coz wanaotakiwa wafuatilie ni serikali na sio sisi, raia tunahitaji kuona serikali ikifanyia kazi mapendekezo ya CAG na sio et tufatilie kupewa nyaraka ambazo hawatazifanyia kazi ok

Mara ngapi ofisi ya CAG ikitoa mapendekezo yake serikali haifuatili tena na chuki kuundiwa CAG hadi ofisini anatimiliwa kama mbwa, et hao ndo serikali ya wanyonge pumbavu zao

Hata sasa hii ofisi ya CAG ni upumbavu, tayari hii ofisi ilishakosa sifa kwetu sisi raia, tunahitaji CAG office iliyokamili sio hii iliyochakachuliwa sema tu watanzania hatujitambui make wengi wetu ni mashabiki tu, tena hawajui nchi inatakiwa iendeshwaje
 
Yasni ununuzi wa ndege ulikua ukurupukaji wa mdhalimu mwendazake, ajabu wlijikusanya wakaweka na zulia jekundu kuzipokea na kuziimbia mapambio pasipo kuweka mpango mkakati wa namna ya kuzalisha faida kupitia hizo ndege
Report nzima imesema ubadilifu upo kwenye ndege hizo called za magufuli?

Au unachagua kuchambua kile unachopendezewa?

Kumbuka Tupo awamu ya sita kama ndege azifai wauze tu
 
Back
Top Bottom