Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wanasubiri uteuziKwani chawa wa mama wao wanasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasubiri uteuziKwani chawa wa mama wao wanasemaje?
Only that? nime miss kile kicheko cha magu cha ihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii halafu angekaza sura na;Ameitaka Taasisi inayohusika na manunuzi ya Serikali kupunguza urasimu katika manunuzi ili bidhaa na huduma zifike haraka kwa walengwa.
how mkuu?Kuna vichwa vitaondoka na hiyo ripoti. Mama ameshakarishwa na Wizara ya mambo ya nje
Mama ni mkweli sanaKwani chawa wa mama wao wanasemaje?
[emoji38][emoji38]Mwakani 20%
Jinai haifi, mnajua mliiba ipo siku yenu tu mnazitoa kupitia matundu yenu yoteHii ni ripoti ya ukaguzi kwa mwaka 2021/2022. Magufuli alikuwepo huo mwaka?
kama tunataka kuendelea tuache siasa mfu kama hizi.
Mungu Ibariki Tanzania. 🇹🇿
Huyu Maza wa AJABU Sana.Tukaze buti au yeye na Serikali yake waongeze mijeledi??
Unafiki tuYule wa TAKUKURU aliyeanza kusoma hotuba na kusifia, anajisikiaje boss wake kasema ukweli?
Na hizo ni zile Rushwa kubwakubwaTukaze buti au yeye na Serikali yake waongeze mijeledi??