Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022
Ninadhani labda Mh. Rais angevunja baraza la mawaziri maana idara zilizo chini ya wizara wamefanya mafyongo
 
Kuhusu shirika la ndege Tanzania mnisikie: hatutegemei kwa utendaji uliopo kupata faida hata miaka 50 ijayo!
 
Mwanasheria mkuu wa serikali nae ameshindwa kusimamia mikataba vizuri na wakati mwingine ameingilia mikataba.
TAKUKURU wangeanza na mwanasheria mkuu wa serikali
 
Sitachangia uzi huu, haya mambo tumeyaandika humu mara nyingi na kurudia tena na tena, viongozi wa nchi hii wanajifanya Wanazo akili nyingi kutuzidi na wanatuona sisi wote ni mabwege, kisa ni madaraka.

Katiba mpya iweke kipengere cha kuwashitakia viongozi wabishi, baada ya ile kinga yao kuondolewa.
 
Rais Samia wakati anapokea report ya CAG ya mwaka 2023 amesema Tanzania imeporomoka kwenye asilimia za kupambana na rushwa kutoka 53% za mwaka juzi hadi 45% mwaka huu hivyo amewataka watanzania kukaza buti.
 
Haya sasa kumekucha
 
Nchi ngumu sanaa hiii.

FISIEMU imezidi kuichakaza nchii hii

namsikia huyu bibi anasema tutaendelea kukopa
 
Back
Top Bottom