Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kitendo cha kuona ndege hazifai ni ukosefu wa uerevu kwa hiyo ulikuwa unataka Taifa lisilokuwa na ndege kisa kuogopa hasara?waza nje ya box wewe acha kujizima dataNdege za JPM kipindi tunasema hazifai mlitutolea povu Leo yakwapi Sasa? Punguzeni ujuaji sukuma gang
Yaani mkuu hata inakera ni kma vile anapiga story wkt mabilioni inaonekana yamepigwa, haoni hata uchungu atoe karipio.Niko nimebadilisha na channel naangalia BBC world news nimeshindwa kumaliza hiyo hotuba
CAG katoa ripoti ya upotevu wa mabillion na millions of money kwenye sekta na mashirika mbalimbali, mbali zaidi ulambaji asali uliokithiri kwenye halmashauri.
Ila analiongelea as if ni jambo la kawaida, kwanini asiwawajibishe hao wahusika na kuwatumbua??
Ama kweli hakuna rangi tutaacha ona this term.
Uchungu atue wapi ye na Tanganyika wapi na wapiSio lazima ukaripie ukiwa umekunja ndita, ninaamini wote waliofanya hivyo majibu watayapata tena ya haraka sana.
Yaani mkuu hata inakera ni kma vile anapiga story wkt mabilioni inaonekana yamepigwa, haoni hata uchungu atoe karipio.
Uchungu atue wapi ye na Tanganyika wapi na wapi
Sijapata yakeTanesco
Mwaka uliopita ni hatua gani alichukua kwa upotevu uliotokea?Mnataka mpaka afoke wakati Ana deal na madudu ya report kwa utaratibu kabisa? Unajua alichokisema kwenye pesa ya mikopo ya halmashauri, NDC na TTC ACHENI CHUKI NYIE