Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022
Zamani kidogo hizo report ingezikuta jamiiforumu hata kabla ya kuwasilishwa kwa Rais , jamiiforumu ya sasa mpaka muda huu ni donoa donoa tu report full hakuna.

Mwenye nayo aweke hapa

USSR
 
Kama ripot ya CAG haijaonyesha ubadilifu uliofanyika kwenye UJENZI wa madarasa ya UVIKO na madarasa ya mwaka jana DISEMBA 2022 HALMASHAURI YA BUCHOSA basi nafunga safari kwenda IKULU kumuonyesha ushaidi rais SAMIA
 
Ubadilifu uliofanyika BUCHOSA DC katika mradi wa UJENZI wa madarasa ya UVIKO ni another white elephant. DED aliyekuwepo aliondokewa na maafisa wengine akiwepo wa manunuzi na DSEO. Kama RIPOTI ya CAG haijataja ubadilifu huo basi nafunga safari kwenda CHAMWINO au MAGOGONI
 
Only that? nime miss kile kicheko cha magu cha ihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii halafu angekaza sura na;
1. Kuagiza jeshi limkamate DG wa NHIF kwa kulipa Vituo vya afya visivyostahili Bil 14,
2. TANAPA wangetapika hizo Posho kinyume na utaratibu walizolipana,
3. Mifuko ya Hifadhi za jamii DG wangewekwa kikaangani,
4. Bandari na TRA wangepewa seven days mifumo isomane,
5. Mkurugenzi MOI angetiwa hatiani na TAKUKURU kwa kuchepusha makusanyo nje ya GePG
6. Baadhi ya DG na CEOs wangetemwa hapo hapo kwamba hawatoshi!

We miss u Buddy JPM!!
Magufuli huyu huyu aliye kwapua 1.5trillion na nyingine akafika china?

Unaakili wewe?
 
Rais wa JMT amekemea tabia ya wizi unaofanywa na baadhi ya Watu waliopo serikali huku akisema wanadhulumu Haki za wengine na kuzorotesha maendelea.
Screenshot_20230329-135543.jpg
 
Wakati CAG akisema deni la serikali limezidi kuongezeka na kufikia Tilioni 71,Rais Samia ametetea na kusema Serikali yake inakopa Kwa akili na Kwa Ajili ya Maendelea.

Hatuwezi kuogopa Kukopa Kwa sababu Kukopa ni maendelea,amesema Rais Samia.
Screenshot_20230329-135632.jpg
Screenshot_20230329-135343.jpg
 
Sasa hata tukifuatilia haita ondoa ujinga ujinga unaofanywa serikali coz wanaotakiwa wafuatilie ni serikali na sio sisi, raia tunahitaji kuona serikali ikifanyia kazi mapendekezo ya CAG na sio et tufatilie kupewa nyaraka ambazo hawatazifanyia kazi ok.

Mara ngapi ofisi ya CAG ikitoa mapendekezo yake serikali haifuatili tena na chuki kuundiwa CAG hadi ofisini anatimiliwa kama mbwa, et hao ndo serikali ya wanyonge pumbavu zao.

Hata sasa hii ofisi ya CAG ni upumbavu, tayari hii ofisi ilishakosa sifa kwetu sisi raia, tunahitaji CAG office iliyokamili sio hii iliyochakachuliwa sema tu watanzania hatujitambui make wengi wetu ni mashabiki tu, tena hawajui nchi inatakiwa iendeshwaje.
Mkuu nimeanza kutambua sasa, kuwa ndio maana Serikali inakipenda sana hichi Chama kinacho isimamia, maana aidha hakina meno ama wana lamba wote hii keki ya Taifa
 
Asa dawa ya wizi mbona ipo uliza wachina watakwambia mwizi auawe na familia yake itengwe maana wizi ni mbegu kama mbegu nyingine
 
Rais Samia amesema kujiingiza kwa Madiwani kwenye mchakato wa mikopo ya Vijana, Wanawake na Walemavu limesababisha uwepo wa Vikundi hewa na Wengi kushindwa kurejesha mikopo

Hivyo Kuanzia mwaka wa Fedha ujao mikopo hiyo itapitia Benki ambako kuna umahiri wa kuifuatilia na kudai Madeni

Rais Samia amesema kiasi cha tsh 88 bilioni ambazo haziwezekani kurejeshwa tena zingesaidia kujenga Zahanati za kutosha

Source TBC
 
Uchungu atue wapi ye na Tanganyika wapi na wapi
Mkuu huko ni kumonea. Ninyi wenyewe mpo zaidi ya 60trion na hampendani. Lawama zingine hazipendezi. Hebu jichunguzeni ninyi wenyewe kwanza kabla ya kuwanyoshea wengine vidole
 
Back
Top Bottom