Report zilizopita walikuwa wanajificha kwenye kichaka Cha Magufuli safari hii sijui watajificha kwenye kichaka Cha nani
. Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize
watamtaja tu watadai ndio sababu we subiri uone 😀
 
It was a bad investment, one of the few mistakes JPM made, but Samia has doubled down on it.
 
Tuone kama walamba asali Mbowe, Lisu, Zito Kabwe wataichambua hii report ya CAG maana imejaa ufisadi tupu na ucheleweshaji wa miradi.
Ni lini CCM imeacha ufisadi? Jana tu Msigwa kasema uzembe na ufisadi vimetamalaki serikali ya Samia. Wala sio Siri hii, kila siku Lema hapa anatoa povu kuhusu vijana kupewa umasikini na kuachiwa bodaboda kama ajira rasmi. Sijui unachopotosha hapa ni nini!!
 
Ndege za JPM kipindi tunasema hazifai mlitutolea povu Leo yakwapi Sasa? Punguzeni ujuaji sukuma gang
Yasni ununuzi wa ndege ulikua ukurupukaji wa mdhalimu mwendazake, ajabu wlijikusanya wakaweka na zulia jekundu kuzipokea na kuziimbia mapambio pasipo kuweka mpango mkakati wa namna ya kuzalisha faida kupitia hizo ndege
 
 
Yasni ununuzi wa ndege ulikua ukurupukaji wa mdhalimu mwendazake, ajabu wlijikusanya wakaweka na zulia jekundu kuzipokea na kuziimbia mapambio pasipo kuweka mpango mkakati wa namna ya kuzalisha faida kupitia hizo ndege
Report nzima imesema ubadilifu upo kwenye ndege hizo called za magufuli?

Au unachagua kuchambua kile unachopendezewa?

Kumbuka Tupo awamu ya sita kama ndege azifai wauze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…