Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
"Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya kutoa fursa hii ya mikutano ya hadhara.
"Hatukutoa fursa ile watu wakavunje sheria, watu wakasimame kutukana, watu wakasimame kukashifu, watu wakasimame kuchambua dini za watu, lakini sishangangai kwanini haya yanatokea kwasabbu ya kuzungumzwa hakuna!.
"Tulianza oh na katiba, tukaenda ikakatika katikati... bandari, imeenda ah sasa imerudi tena katiba, inapokuwa hakuna na unalazimisha lazima ufanye jambo utazungumza yasiyokuwepo au yasiyo katika muelekeo huo." - Rais Samia