Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

By the way hao wanaosikiliza wanasikiliza nini ? (Ukimya)

Na matusi ni subjective unachosema matusi kwako huenda mwingine anaona unaambiwa ukweli.., Binafsi kwangu mimi matusi na kashfa ni kuambiwa mtu anaupiga mwingi wakati kiuhalisia mambo sio mambo (Hawa watu kwangu mimi wana-insult my intelligence)
 
"Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya kutoa fursa hii ya mikutano ya hadhara.

"Hatukutoa fursa ile watu wakavunje sheria, watu wakasimame kutukana, watu wakasimame kukashifu, watu wakasimame kuchambua dini za watu, lakini sishangangai kwanini haya yanatokea kwasabbu ya kuzungumzwa hakuna!.

"Tulianza oh na katiba, tukaenda ikakatika katikati... bandari, imeenda ah sasa imerudi tena katiba, inapokuwa hakuna na unalazimisha lazima ufanye jambo utazungumza yasiyokuwepo au yasiyo katika muelekeo huo." -
Rais Samia

reconciliation, resilience, reforms & rebuilding​

Unaposema watu hawana cha kuzungumza wakati wakizungumza badala ya kuwajibu unadai umeziba masikio, unaonesha usivyojielewa.

Kutumia silaha ya kunyamaza badala ya kuwajibu kunaonesha usivyojitambua, usiyejua wajibu wako kwa wale unaowaongoza, umejiachia tu nature ikuongoze, halafu ajabu unajiona mshindi!.

Hata anaposema "anatukanwa" hicho ni kisingizio tu cha kukwepa kujibu hoja, na maswali anayoulizwa.
 
"Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya kutoa fursa hii ya mikutano ya hadhara.

"Hatukutoa fursa ile watu wakavunje sheria, watu wakasimame kutukana, watu wakasimame kukashifu, watu wakasimame kuchambua dini za watu, lakini sishangangai kwanini haya yanatokea kwasabbu ya kuzungumzwa hakuna!.

"Tulianza oh na katiba, tukaenda ikakatika katikati... bandari, imeenda ah sasa imerudi tena katiba, inapokuwa hakuna na unalazimisha lazima ufanye jambo utazungumza yasiyokuwepo au yasiyo katika muelekeo huo." -
Rais Samia
Hayo matusi mbona hatuyasikii zaidi ya wao kutuambia! Sugu walimkamata kwa kishindo mpaka kipazasauti kikang'oka, mwisho wa siku mahakama haikuona tusi.
 
"Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya kutoa fursa hii ya mikutano ya hadhara.

"Hatukutoa fursa ile watu wakavunje sheria, watu wakasimame kutukana, watu wakasimame kukashifu, watu wakasimame kuchambua dini za watu, lakini sishangangai kwanini haya yanatokea kwasabbu ya kuzungumzwa hakuna!.

"Tulianza oh na katiba, tukaenda ikakatika katikati... bandari, imeenda ah sasa imerudi tena katiba, inapokuwa hakuna na unalazimisha lazima ufanye jambo utazungumza yasiyokuwepo au yasiyo katika muelekeo huo." -
Rais Samia
Yapi ambayo hayapo,

Mkataba wa bandari na kasoro zake, halipo
Ngorongoro vs warabu vipi

Katiba ipo wapi?

Hizi wala sio kashifa ni mambo yanataka majibu,
 
Kichwa kikiwa kitupu, mdomo hulopoka chochote
Moja ya udhaifu mkubwa wa katiba yetu ni huu: Imekupa uhuru wa kutoa maoni kisha ikakupokonya uhuru huo upande wa pili!

Ndugu, huna huo uhuru unaojidanganya! Uraisi ni taasisi na siyo Samia kumbuka! Tumia lugha ya staha unapokosoa mamlaka.
 
"Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya kutoa fursa hii ya mikutano ya hadhara.

"Hatukutoa fursa ile watu wakavunje sheria, watu wakasimame kutukana, watu wakasimame kukashifu, watu wakasimame kuchambua dini za watu, lakini sishangangai kwanini haya yanatokea kwasabbu ya kuzungumzwa hakuna!.

"Tulianza oh na katiba, tukaenda ikakatika katikati... bandari, imeenda ah sasa imerudi tena katiba, inapokuwa hakuna na unalazimisha lazima ufanye jambo utazungumza yasiyokuwepo au yasiyo katika muelekeo huo." -
Rais Samia
ukisikiliza hotuba za Lisu, hivi kuna matusi gani pale, zaidi ya kusema ukweli?
 
"Tulianza oh na katiba, tukaenda ikakatika katikati... bandari, imeenda ah sasa imerudi tena katiba, inapokuwa hakuna na unalazimisha lazima ufanye jambo utazungumza yasiyokuwepo au yasiyo katika muelekeo huo." - Rais Samia

Lazime CCM, Msajili wa Vyama pia watawala wakasirike maana mdau mkubwa CHADEMA kutotokea leo huku kuna wadau wa maendeleo kutoka balozi za ulaya wamefika ukumbini na lazima mabalozi watajiuliza sababu za chama kikuu cha upinzani CHADEMA kutotokea kuna kitu hakipo sawa.
Mabalozi wanaonekana wakituma jumbe txt kwa simu janja za kiganjani kuwa kuna hadaa kubwa ya kisiasa ya Chama Dola Kongwe CCM inaendelea Tanzania mbali ya mkutano huo pia mchakato wa marekebisho ya katiba kufadhiliwa na balozi zao
PICHA YA MABALOZI WA ULAYA UKUMBINI YABEBA UJUMBE MZITO KWA SIKU YA LEO
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2023.
1694433379507.png

Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2023
 
Hii mikutano imewatisha sana ccm, hawakutegemea kama hali itakua hivi
Huo mtazamo wako; ila dakika kadhaa za tuliyempa dhamana zime reduce to ZERO miruko yote ya +255
  1. Hakuna katiba hadi watu wote tuelewe- mzituburuze
  2. Bandari HGA, concession and lease agreement ziko mezani- soon maboresho yanaanza
 
"Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya kutoa fursa hii ya mikutano ya hadhara.

"Hatukutoa fursa ile watu wakavunje sheria, watu wakasimame kutukana, watu wakasimame kukashifu, watu wakasimame kuchambua dini za watu, lakini sishangangai kwanini haya yanatokea kwasabbu ya kuzungumzwa hakuna!.

"Tulianza oh na katiba, tukaenda ikakatika katikati... bandari, imeenda ah sasa imerudi tena katiba, inapokuwa hakuna na unalazimisha lazima ufanye jambo utazungumza yasiyokuwepo au yasiyo katika muelekeo huo." -
Rais Samia
Secretary Asante
 
Back
Top Bottom