Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

[emoji2][emoji2],yaani kuna vitu vinashangaza,watu wanataka kuzungumza mnawatuma polisi wakazuie halafu baadae unasema hakuna cha kuzungumzwa?
Angalia umatii unavyowafata Chadema. Ni ishara tosha kuna cha kuzungumza..!! Wanaona maji yanazidi unga na Wamasai wanachoma card zao za kijani..
 
"Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya kutoa fursa hii ya mikutano ya hadhara.

"Hatukutoa fursa ile watu wakavunje sheria, watu wakasimame kutukana, watu wakasimame kukashifu, watu wakasimame kuchambua dini za watu, lakini sishangangai kwanini haya yanatokea kwasabbu ya kuzungumzwa hakuna!.

"Tulianza oh na katiba, tukaenda ikakatika katikati... bandari, imeenda ah sasa imerudi tena katiba, inapokuwa hakuna na unalazimisha lazima ufanye jambo utazungumza yasiyokuwepo au yasiyo katika muelekeo huo." -
Rais Samia
Total failure so called president.....
 
Back
Top Bottom