Pre GE2025 Rais Samia asaini miswada ya Sheria za Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa zilizosambazwa kwa vyombo vya Habari Nchini Tanzania zinaeleza kwamba Rais wa Nchi hiyo amesaini ile Miswada mibovu inayopingwa na kila mwenye akili timamu

Bila Shaka kwa kitendo hiki inamaanisha kwamba Rais Samia AMEWAPUUZA KABISA WALE WOTE WANAOPINGA MISWADA HIYO MIBOVU YA SHERIA ZA UCHAGUZI .

---

Rais Samia Suluhu Hassan amesaini miswada minne ya sheria iliyopitishwa na bunge kuwa sheria. Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ametaja sheria hizo kuwa ni Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani; Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa; Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa na Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali.

Soma: Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024

Ndio maana akasema tunawaacha waandamane wee... ile kauli ilikuwa na mengi yamejificha ndani yake.

Kubwa zaidi Rais aliyaona yale maandamano kama mchezo wa kuigiza.

Sasa ni kazi ya Chadema na waandamanaji wengine kumuonesha Rais yale maandamano hayakuwa mchezo wa kuigiza.

Vinginevyo kama mtaenda kwenye uchaguzi kwa sheria zile, mjiandae kwa lolote, wao naona wameshaanza maandalizi ya uchaguzi ujao kwa namna tofauti kuanzia teuzi mpaka sheria kandamizi.
 
Maandamano yalikua ya bandari na sukari uchaguzi tume ni ile ile subirini tu safari hata kura yako hutoona karatasi imekwenda wapi!
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Ndio maana akasema tunawaacha waandamane wee... ile kauli ilikuwa na mengi yamejificha ndani yake.

Kubwa zaidi Rais aliyaona yale maandamano kama mchezo wa kuigiza.

Sasa ni kazi ya Chadema na waandamanaji wengine kumuonesha Rais yale maandamano hayakuwa mchezo wa kuigiza.

Vinginevyo kama mtaenda kwenye uchaguzi kwa sheria zile, mjiandae kwa lolote, wao naona wameshaanza maandalizi ya uchaguzi ujao kwa namna tofauti kuanzia teuzi mpaka sheria kandamizi.
Ile kauli ilikuwa ya kibabe sana, yan yeye hatishiki na maandamano kabisaaa
 
Taarifa zilizosambazwa kwa vyombo vya Habari Nchini Tanzania zinaeleza kwamba Rais wa Nchi hiyo amesaini ile Miswada mibovu inayopingwa na kila mwenye akili timamu

View attachment 2951509View attachment 2951512

Bila Shaka kwa kitendo hiki inamaanisha kwamba Rais Samia AMEWAPUUZA KABISA WALE WOTE WANAOPINGA MISWADA HIYO MIBOVU YA SHERIA ZA UCHAGUZI .
Kwaiyo mmeandama Bure?
 
Eti sheria zinapingwa na kila mwenye akili?
Wajinga mnataka serikali ya ccm itunge sheria za kuwaingiza wapinzani kwenye madaraka kwa upendeleo? Wanataka kwa mfano itungwe sheria inasema '...hairuhusiwi chama kimoja cha siasa kuongoza kwa mihula zaidi ya miwili. Yaani baada ya upinzani kushindwa kila uchaguzi kushika serikali hata wataalam wa sheria upinzani wamepoteza akili hawaelewi tena demokrasia ni nini.
Kinachotakiwa upinzani kushika dola ni kushinda uchaguzi. Wangechukua fursa wakati huu ccm inaanza kupoteza imani kwa umma wa wananchi kuwashawishi watu kwamba wao ni mbadala badala ya kutafuta upendeleo kwenye katiba.
 
Back
Top Bottom